Search results

  1. H

    Makamu Mwenyekiti BAVICHA Taifa akamatwa na Polisi

    Safi kamanda endeleza mapambano
  2. H

    Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Nanyie vjana Wa kiislamu mmbadilike ukweli muuone wenyewe hakuna uhusiano kati ya serikali na ukristo.hapa sio Vatican.sijui MNA matope gani kchwani mpigwe na serikali mlipize kwa wakristo.wallahi kama Luna mungu wenu Wa hivi naana waambia nihaki Mimi Siku ya kiama naanipige mateso...
  3. H

    Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Nyie mnamatatzo sana kwanini yakitokea mauaji mnaunga mkono?unaongelea central afrika nani walio anzsha kuwaua wenzao Islamic or Christian?mnakaa MNA lalamika lalamika tuu ooo serikali inapendelea wapi kuna mitihani ya kicristo na kiislamu Hamna lolote nyie ukweli dini inamafundisho ya kigaidi...
  4. H

    Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Kwahyo una shauri nin?kwahyo Hugo mwanafunz kakosa ajila? poor thinking.ongelea Tatzo lililop hapa sio kuchengesha ukweli Wa mambo mbona ukristo hatuna magaid always Islamic wao ndo wanao baguliwa na serikali au? Hii sio Dino ya mwenyez mungu kamwe.
  5. H

    Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

    Piga chini hawa viumbe wanakela sana Mimi binafsi skuhiz moyo wamapenzi haupo ataukisamehe hakuna kitu.pigaaaa chiiiiiiniiiiiiiiiii puuuuuuuu!!!!!!jalibu kuwa una soti piga nakuacha kaugonjwa ketu nikama safari hakuna asie safiri.
  6. H

    mgomo wa madereva ijumaa

    Kwani wana tatzo gani mpaka kufikia mgomo?fafanua vizuri mkuu tuchangie
  7. H

    Unaweza Kukisia Huyu Paka anapanda ngazi juu au anashuka ngazi kwa chini?

    Wewe huna tatzo ila walio muona wengine wanasema ana panda wengine anashuka.duuu!!! huyu paka ninoma kama sio chuma ulete!!!!.
  8. H

    Unaweza Kukisia Huyu Paka anapanda ngazi juu au anashuka ngazi kwa chini?

    Anapanda mahindi ana shuka la kujifunika.chezea nyau wewe
  9. H

    Baadhi ya Mikoa Kukabiliwa na baa la njaa kutokana na Ukosefu wa Mvua

    Haahaaa!!! tafta na mtu Wa sururu tung'oe visiki vya mafisadi
  10. H

    Baadhi ya Mikoa Kukabiliwa na baa la njaa kutokana na Ukosefu wa Mvua

    Maajabu ya serikali ya ccm wana sema"KILIMO KWANZA"huku wakifuta michapuko yote ya somo la kilimo mashuleni.wana nchi tuamkeni nani katuloga?
  11. H

    Baadhi ya Mikoa Kukabiliwa na baa la njaa kutokana na Ukosefu wa Mvua

    Tabola,shnyanga,kahama hali kazalika katavi kwa sasa debe la mahind ni Tsh7000 tofauti na misimu ilyo pita kwani nimapema sana kutokea halo hii naukiangalia ndo mikoa inayo toa nafaka kwa wingi.
  12. H

    Chaji Simu yako kwa dakika mmoja

    Zetu Ku copy na Ku pest.
  13. H

    Baadhi ya Mikoa Kukabiliwa na baa la njaa kutokana na Ukosefu wa Mvua

    Ukosawa mkuu;maana wakulima mpaka nafaka zinaozea kwenye magala solo halisomeki!!!!!
  14. H

    Baadhi ya Mikoa Kukabiliwa na baa la njaa kutokana na Ukosefu wa Mvua

    Wanajamvi naleta mada hii kwenu kulingana na hali yamvua baadhi ya Maeneo mengi kutokuwapo na mvua ya kukidhi. Binafsi nimepita maeneo mengi nakujionea jinsi mazao yalivyonyauka. Karibuni kuchangia nini chakufanya kulingana na hii hali?
  15. H

    Tanzania ina mpango gani kuinua Utalii?

    Goog;gooder and goodest
Back
Top Bottom