Search results

  1. jamii01

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Population ya Arusha ni ndogo sana kulinganisha na Mwanza,kama Serikali wangetaka kujenga uwanja na kisha baadaye uanze kuingiza mapato ni Mwanza hata sijui wamefikilia nini,naamin baada ya hayo mashindano kuisha uwanja wa Arusha utakuwa useless na watakuja kutudanganya kwenye media maana bado...
  2. jamii01

    BoT waruhusuni/wapeni muongozo Benki kuongeza kiwango cha kutoa pesa ATM

    ATM iwe na uwezo wa kutoa Mil.1 kwa wakati mmoja na mil.10 kwa siku na makato ya ATM yapunguzwe ..
  3. jamii01

    Nifanye biashara gani. Ushauri wenu unahitajika

    Fungua depot ya Vinywaji Vikali uza kwa jumla baada ya Mwaka mmoja njoo utoe ushuhuda hapa..
  4. jamii01

    Nimenunua umeme wa elfu 5 nimepata units 9.8

    Mimi nimenunua umeme wa 3,000 nikapewa unit 2.
  5. jamii01

    Kwanini hakuna usawa Ujenzi wa Majengo ya Shule, Kati ya Tanganyika na Zanzibar?

    sionagi maana ya huu mungano..kuwe na serikali moja kwisha habari au serikali 3 kila pande zipambane na khali zake
  6. jamii01

    NEMC iangazieni kwa Tunza lodge Mwanza haraka (noise pollution)

    unamchukuliaje hatua wakati haujamsaidia mtu kufanya uwekezaji? au unadhani ni grocery hiyo? uwekezaji kama ule serikali inaulinda kuliko unavyofikiri..
  7. jamii01

    NEMC iangazieni kwa Tunza lodge Mwanza haraka (noise pollution)

    Umeambiwa kama hautaki kelele nenda kaishi Dodoma..Miji ya Dar es salaam na Mwanza ni Miji ya biashara. Kwa kukumbusha tu agizo na mkuu wa mkoa wa Mwanza NEMC hairusiwi kufunga biashara ya bar Kwa sababu ya kelele. Zaidi hapo kuanzia tarehe 01.07.2023 hakuna taasisi yoyote ya serikali...
  8. jamii01

    NEMC yaitoza Lake Oil faini ya bilioni 3.3 kwa kutozingatia utunzaji wa mazingira

    Wametoka kwenye bar ameamia kwenye petrol station
  9. jamii01

    Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    Mzanzibari anakuja bara anafanya biashara,anapata ajira za serikali,anapata teuzi ana miliki ardhi ila Kwa mtanganyika hiyo kitu haipo.. KATAAA MUUNGANO..
  10. jamii01

    Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara Anabembelezwa Kulipa Kodi?

    Kwa mfanyabiashara yoyote kama haujawahi kukutana na kadhia ya TRA bado wewe haujawa mfanyabiashara.. TRA niwasumbufu kupita maelekezo.wanakatisha tamaa sana ya mtu kupambana na biashara.. Nilikutana TRA wanakuja kuomba receipt za Efd saa 7 usiku kwenye bar. Unakutana na makadirio ya Kodi...
  11. jamii01

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Haya mambo jinsi wanavyo yazungumzia ndivyo yanavyozidi kuenea kwa kasi ni bora wangekaa kimya wakapambana kimya kimya. Binafsi nimekuja kujua neno shoga nilipofikisha 28 Yrs. Haya mambo yapo tangu kuubwa kwa ulimwengu na wala hayawezi kuisha kwa namna yoyote ile. Serikali ipambane kutatua...
  12. jamii01

    Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

    Dini ya kislamu hairuhusu mwanamke kuongoza..huyo sio mwislamu bali amejifunika mwanamvuli wa uislam..over!..
  13. jamii01

    Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Huo mchezo ulikuwepo na Magomeni pia
  14. jamii01

    Mzee Wangu Mohammed Said haandiki tena mada za kutetea waislamu wenzetu

    TAFUTA PESA MZEE DINI ZILILETWA ILI KUTAWALA AKILI NA FIKIRA ZAKO MTU MWEUSI..
  15. jamii01

    Rais Samia tafadhali acha kumnanga kila mara kimafumbo Hayati Dkt. Magufuli

    Nadhani inapaswa kumkumbusha Mama Maghufuri bado anakubalika kwa watanzania wengi mpaka sasa japo hayupo hai kuliko alivyo yeye hapo madarakani.. Watanzania wengi wanajua hawakumchagua Mama bali walichamgua JPM hivyo ni kheri aendelee kukaa kimya aendele kusubiri mbeleko ya CCM 2025.. Asimame...
  16. jamii01

    Igoma - Kishiri - Buhongwa

    Mbunge wako anasemaje kwani?
  17. jamii01

    Sipati chaneli ya Russia Today kwenye Azam TV

    Hapo ndio itagundua ubeberu una nguvu..
  18. jamii01

    Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

    Mwanamke ni kiumbe asiyetabirika...unaweza kuishi naye zaidi ya miaka 10 kwenye kitanda kimoja akakugeuka ndani ya siku moja..
Back
Top Bottom