Search results

  1. Frey Cosseny

    Club ya wafadhili CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

    Nimeona wachangiaji wa masuala ya Siasa hapa nchini wakichangia kinachoitwa Uchaguzi ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Changamoto kubwa inayowakumba wanasiasa hapa nchini ni kuwa wameingia ktk siasa aidha kwa Ushabiki au lengo ya kusaka madaraka ndani ya vyama ivyo au ndani...
  2. Frey Cosseny

    Wagombea wa upinzani na utapeli wa kisiasa

    UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA: WAPINZANI NA PROPAGANDA NYEUSI Moja ya kitengo muhimu katika vyama vya siasa ni Kitengo cha Propaganda. Vyama vingi vya kifidhihina (Conservatives) utumia propaganda nyeusi kufikisha ujumbe kwa wafuasi wao ili kuwarubuni wasing'amue ukweli ya mambo yaliyomo ndani...
  3. Frey Cosseny

    Angalia mwongozo wa kanuni uliyowachinja Wapinzani

    WALE WANAOLALAMIKA WAMEONEWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAMEZINGATIA HAYA? 1 . Kama majina yake yatatofautiana kati ya majina aliyojaza kwenye fomu na majina aliyojiandikisha kwenye daftari. Angalia kanuni ya 13 (e) Uk. 152 2. Endapo mdhamini hataandika majina matatu na cheo ktk vyama...
  4. Frey Cosseny

    Hotuba ya Leo ya Mh Rais Dr John Pombe Magufuli unaweza kwenda kuombea mkopo World Bank bila Riba

    Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ambaye pia ni Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli amesema nchi za kiafrika si maasikini hivyo ziache kujitangaza kuwa ni duni mbele ya mataifa mengine. “Tusikubali kusafirisha tu malighafi nje ya Afrika, hii inaatufanya tuwe...
  5. Frey Cosseny

    Balozi wa Marekani na Uingereza mmetukosea sana Watanzania

    Nimeona Tangazo la Balozi la America na Balozi la Uingereza, kwanza nimeshamgazwa na matamko yao wakiongelea haki za Raia. Hivi Waingereza na Wamerikani ni watu wa kutufundisha sisi Watanzania kuhusu haki ya Raia? Wamerikani hawa kwa kushirikiana na Waingereza ambao walisomba watu kutoka...
  6. Frey Cosseny

    Zitto Kabwe na siri ya watekaji wa msaidizi wake

    Bunge mtunga sheria anaajiri raia wa kigeni kuwa Msaidizi wake kwenye chama bila kibali, anampa Password yake ya Mitandao ya Kijamii anakuwa moderater wa account ya mitandao ya kijamii anatukana vya kutosha Serikali, halafu wanafanya mpango wanamficha baada ya siku tatu wanajitokeza kuwa...
  7. Frey Cosseny

    Wasomi wa Tanzania na Uchambuzi butu

    Ili andiko nimelikuta Twitter Makarai wa Bavicha wakilieneza. Ni andiko la Msomi Mhadhiri wa Chuo Kikuu na Mtu anayejiita Mwanahabari nguli Komred Dotto Bulendu. Ukisoma andiko ili utagundua kwanini Tanzania hatuna wanahabari bali tuna Maripota wa habari kama Mhadhiri wa Shule ya wanahabari huu...
  8. Frey Cosseny

    Zitto Kabwe, kushikiliwa kwa laptop na simu hakuondoi wewe kumiliki password

    Ina maana Zitto Kabwe anadhani sisi Watanzania wajinga kiasi icho kiasi cha kutudanganya kitoto hivi? Mwambieni vinavyoshikiliwa na Vyombo vya Dola kwa mujibu wa Mkewe Mdogo Anna Bwana ni simu yake na Laptop siyo Password yake ya mitandao ya kijamii. Sisi watu wazima tungemwelewa kama...
  9. Frey Cosseny

    Mwanakotide yuko wapi?

    Vijana wa Chadema mnaotumika jifunzeni kutoka kwa msanii Fulgence Mapunda Maarufu Mwanakotide. Huyu msanii alitumika na akina Tundu Lissu 2016 mpka 2017 akatungiwa wimbo wa kumtusi mh Rais na mwenyekiti wa Taifa wa ccm Dr John Pombe Magufuli lakini msanii huyu ametelekezwa. Taarifa inasema...
  10. Frey Cosseny

    Maalim Seif amekuwa akisaka Urais kwa miaka 35

    Je wajua kuwa Maalim Seif Sharif Hamad ndiye mtu pekee Duniani aliyetafuta Urais kwa muda mrefu bila kufanikiwa? Maalim alianza kutafuta Urais 1984 mpaka sasa ni miaka 35. Wakati huo Maalim Seif anasaka Urais Dr John Pombe Magufuli alikuwa bado mwanafunzi wa Chuo huenda hata alikuwa hajaoa...
  11. Frey Cosseny

    Haya ndio matokeo ya upinzani kukosa agenda

    Naona vijana wa Act Wazalendo baada ya Kubanwa Kiongozi wao Mkuu wa Chama athibitishe walau jina au picha ya Afisa Usalama wa Taifa aliyemtisha sasa Wamemrukia Thobias Mwesiga [emoji2][emoji2][emoji1] wamepata mnyonge wao. Kwa Jinsi hii vijana wa CCM kaeni chonjo kila moja atakuwa Afisa Usalama...
  12. Frey Cosseny

    Nini tatizo la RC Mrisho Gambo na wasaidizi wake?

    Nimeona wanachama wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi wakiongelea kwa hisia tukio la Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu yangu Mrisho Mashaka Gambo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha ndugu yangu Gabriel Daqaro. Bahati nzuri hawa wote ni marafiki zangu tofauti ni kuwa Dc wa Arusha siyo mwanasiasa kabisa lakini wote...
  13. Frey Cosseny

    Tumethubutu Tumeweza ccm mbele kwa mbele

    Kesho majira ya saa mbili siku mbili kabla ya krismas Watanzania wote Wazalendo na wapenda maendeleo na wanademokrasia watakuwa wakiangalia juu kupokea ndege yetu mpya AirBusA200. Wale mafisadi na mawakala wa ushoga wanatamani kesho kusikuche. Wanaendelea kusoma namba
  14. Frey Cosseny

    Azimio la Wapinzani Zanzibar ulidhaminiwa nani?

    Na Frey Cosseny. Ule mkutano unaoitwa Azimio la Zanzibar uliyowakutanisha viongozi Kadhaa wa vyama vya Upinzani nchini taarifa zinadai ulidhaminiwa na taasisi za Wasenge na Mashoga kutoka Ulaya. Taasisi hizo zilikutana na kufanya mazungumzo na Katibu mkuu wa chama cha Wananchi Seif Sharif Hamad...
  15. Frey Cosseny

    Wananchi wakosa upinzani nchini

    Baada ya Bunge la Ulaya kutoa maazimio dhidi ya serikali ya Tanzania Watanzania wengi wamezidi kuchukizwa na vyama vya Upinzani hapa. Moja ya kosa la kiufundi iliyofanywa na vyama vya Upinzani ni kutetewa na Wazungu. Ili jambo kisiasa inazidi kumjenga mh mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na...
  16. Frey Cosseny

    Lema amvizia Rais Magufuli kwa Maaskofu

    Jakaya kikwete aliwai kusema akili ya kuambiwa changanya na yako.
  17. Frey Cosseny

    Pasaka Njema Watanzania wenzangu

    Nichukue fursa hii kuwatakia watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Pasaka. Pasaka ni sikukuu ya ufufuko wa Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai. Mnamo miaka zaidi ya 2000 iliyopita nyakati Kama hizi Bwana wetu Yesu Kristo alisulubishwa kwa shinikizo la makuhani (Maaskofu) na wapambe wao waliyotumia...
  18. Frey Cosseny

    Pole sana Makamu Mwenyekiti wa Nccr Mageuzi, Leticia Ghati Mosore

    Nichukue fursa hii kutoa salaam za Pole kwa Makamu Mwenyekiti wa Nccr Mageuzi Mama Leticia Ghati Mosore kwa kufiwa Leo usiku na Mumewe katika hospital ya MUHAS Mloganzila Jijini Dar es salaam. Mungu akutie nguvu wewe na familia yako katka wakati huu mgumu.
  19. Frey Cosseny

    CHADEMA na Siri za vyombo vya dola

    Nimemsikia jana mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya chama cha Demokrasia na maendeleo bwana Godbless Lema akidai kuwa kila kinachopangwa na vyombo vya dola na Watumishi wa serikali wao wanakuwa na taarifa mapema. Hii dhana Moja kwa Moja linaondoa ukakasi uliyopo hapa nchini kuhusu watu wanaotekwa...
  20. Frey Cosseny

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alichukia Usaliti

    Usaliti ni Moja ya vitu ambavyo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivichukia sana. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hakuwai kuwa na huruma na mtu yeyote aliyesaliti Taifa letu tukufu ya Tanzania. Nikuombe Mh Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama Cha Mapinduzi Dr John Pombe...
Back
Top Bottom