Search results

  1. LICHADI

    Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

    Niliskia pia ila nachojua mm wajeda wamefunzwa didhamu kubwa
  2. LICHADI

    Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

    Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu sababu gari ni express kama ilivyoandikwa simama manzese kama ilivyo taratibu Dereva akasimama na...
  3. LICHADI

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Huwa inatokea sana temeke huko kubeba wezi wa sim usiku, huyo kama kesi yake ni hiyo tu bas mtampata ila mtapigwa hela
  4. LICHADI

    Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu kwenye ndoa

    Mzee umemaliza ni kweli kabisa
  5. LICHADI

    Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

    Hapo lazma ujiulize hii kazi analipwa nq nani na kwa dhumuni gani
  6. LICHADI

    Mabinti wanaomaliza vyuo na kurudi nyumbani wananyanyapaliwa sana na wazazi kuliko vijana wa kiume

    Ndio maana madem wengi wakimaliza chuo tu wakipata bwana wanang'ang'ania uwapangie au wahamie kwako huku nnapoishi nashuhudia sio po Huwa hawapendi kurudi mikoani kabisaaa
  7. LICHADI

    Mnaomiliki gari za kimarekani zina changamoto gani?

    Zile gari uwe na pesa maana Gari yoyoye kisanga huwa ni mahali pa kuzipata spea zake , na mafundi wanaozijulia la sivyo utakuja kulia
  8. LICHADI

    Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu za kiuchumi zinamkera

    We ni chizi hata mm ningehama moshi ni sumu ule usijione mjanja
  9. LICHADI

    Mkiambiwa mke wa mtu sumu nimeamini sumu kweli

    [emoji81][emoji81][emoji81][emoji568]
  10. LICHADI

    Uwe makini sana na watu wenye tabia hizi WhatsApp

    1. Mtu yoyote ambae anatumia whatsap na kaondoa Blue tick, unapofanya Biashara na mtu kama huyu uwe makini sana kama humfaham hata hela usitume, mara nyingi watu wanaotumia mfumo huu huwa ni watata hata hela usije jaribu kumkopesha. 2. Mtu alieset whatsap yake kwa mfumo wa disappearing message...
Back
Top Bottom