Search results

  1. PNC

    Rais Samia Hajawahi toa hotuba Iliyofuatiliwa na watu wengi na kushangiliwa kama leo

    Ukweli lazima usemwe Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Tukirudi nyuma wakati mama yetu anaingia bila shaka alianza vizuri sana ila alianza kwenda mrama baada ya kuingizwa kingi kwenye tukio la kubumba la kesi ya ugaidi dhidi ya Mh Freeman Mbowe. Kama hiyo haitoshi akazid boronga baada ya...
  2. PNC

    Wataalam wakutana kupitia Wimbo wa Taifa

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu leo Mei 10, 2022 jijini Dodoma amekutana na wataalamu wa Ala za Muziki ambao wanapitia Wimbo wa Taifa, Wimbo wa Uzalendo na Wimbo wa Afrika Mashariki kwa ajili ya kubaini makosa yanayofanyika wakati wa uimbaji na hatimaye...
  3. PNC

    CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

    CHADEMA kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu kutupilia mbali rufaa zao keshokutwa. Chanzo: Darmpya
  4. PNC

    Tundu Lissu atema cheche kuhusu miradi inayoendelea Chato

    CHATO! CHATO! CHATO! Tundu AM Lissu, MB Tienen, Ubelgiji Chato imetamalaki kwenye vichwa vya habari vya magazeti mengi ya Tanzania katika siku za karibuni. Chato imetawala mijadala katika mitandao ya kijamii ya Tanzania. Chato imo midomoni mwa watu wengi wanaofuatilia siasa za Tanzania na hata...
  5. PNC

    Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

    Mbunge CCM Babu Tale amekiri kuwa yeye huwa anavaa Underwear japo hawez kufua. Hii ndio dizaini ya wabunge wa CCM tulionao huku tukitegemea ndio watutungie sheria kwa uzwazwa huu
  6. PNC

    Mkutano wa CHADEMA Morogoro wapigwa marufuku na jeshi la polisi kwa sababu za kiusalama

    Mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ufanyike tarehe 16/6/2019 umefutwa na jeshi la polisi kwa sababu za kiusalama. Huku mkutano wa CCM unaofanyika leo Morogoro ukiruhusiwa Kwa hali ya kisiasa ilipofikia Mbowe hatakiwi kuwa mpole inabidi afanye kitu ili nao CCM wajifunze kuwa Wapinzani sio...
  7. PNC

    CHADEMA haiwezi kufa

    Wanamageuzi waliochoshwa na mateso na chuki za serikali ya awamu ya tano mnakaribishwa NAONA KAMANDA MBOWE KAAMUA na ikumbukwe CCM ndio walikuwa wa kwanza kutangaza kufanya kampeni
  8. PNC

    Final ni Ujerumani vs Chile kombe la Mabara

    Ukweli usiopingika ndio huo na kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kombe hili basi utakubaliana nami kwani UJERUMANI na Mexico wamekamilika kila idara sasa Mexico na Portugal wajiandae kufungasha mabegi SEMI FINAL Mexico vs Germany Portugal vs CHILE Endapo Ureno angepangiwa UJERUMANI...
  9. PNC

    UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

    Leo ni draw ya kombe la UEFA Champions league na UEFA Europa league hatua ya robo fainali. Draw inafanyika mchana huu saa nane mchana (2:00pm) Ratiba ya UEFA mechi zijazo ni kama ifuatavyo: Quarter-finals: 11/12 + 18/19 April 1st leg Tuesday (11 April) Borrusia Dortmund - AS Monaco Juventus...
  10. PNC

    Jinsia ya kike mbadilike

    Ukijaliwa kuwa msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani, urembo wako hauwasumbui, kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako na hawana...
  11. PNC

    PUNGUZENI MKOROGO

    Hawa WANAWAKE na hivi vipodozi vyao vya kujichubua usoni tu Dada mmoja Leo kapanda kwenye daladala kujichubua usoni kawa mweupee alafu mikono mieusi tii. Basi kuna muda aliingiza mkono mfukoni atoe simu yake watu wakapiga kelele we Dada unaibiwa simu yako mfukoni kumbe ni ule mkono wake...
  12. PNC

    MSAADA WAKUU

    Nimeikumbuka Ile movie ya Jack Chain "THE DRUNKEN MASTER" kiukweli nimeimiss sana na bahati mbaya sinayo.... Nimejaribu kuiGoogle lakini kila nikiandika THE DRUNKEN MASTER Google inanisahihisha na kusema DID YOU MEAN THE DRUNKEN MINISTER? mwenye nayo tafadhali anisaidie.. [emoji120] [emoji120]
  13. PNC

    Europa final: Liverpool vs Sevilla

    Leo ndio leo Mtoto hatumwi sokoni katika jiji la BASEL mida ya saa 3:45 Usiku Liverpool vs Sevilla Europa League Final Niko nawe kukuletea Update KIUFUP: Liverpool ni ya 8 katika EPL na inahitaji ushindi kwani utawapeleka mojakwamoja UEFA msimu ujao huku Sevilla wakiwa ni wa 7...
  14. PNC

    Kipi kichekesho kikali

    MAMBO YA KUJARIBU JARIBU OVYO. Jamaa kanunua kifaa cha kukamulia ng'ombe maziwa, alipofika kwake akasema ngoja nikijaribu, Akakivaa kwenye UUME Akawasha kikawa kinamtekenya mpaka akamwaga shahawa, Sasa anaangalia pakuzimia hapaoni, akaona namba ya kampuni akapiga cm akawauliza nizime wapi...
  15. PNC

    Nimempa mimba mama mkwe wangu

    .
  16. PNC

    Mkude Simba Special Thread

    Hapa utapata vichekesho vya mkude simba kwa kadiri nitakavyokuwa navipata sio mbaya kama nawe unavyo tukashare pamoja *********UPDATE****** VICHEKESHO VILIVYOONGEZWA NI VITATU VYA CHINI (kuanzia mkude malaika hadi kizibo) hii imetokana na jamii forum kutoruhusu zaidi ya file 20 hvyo tutakuwa...
  17. PNC

    Ujinga wa hali ya juu

    Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize... Kaka, mbona u mnyonge hivyo?" Jamaa : 'aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya uso, Mwanaharamu sasa nashindwa kumtambua!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  18. PNC

    Pale kuku wako anapikufa siku ya Pasaka

    Pale kuku wako anapokufa siku ya Pasaka
  19. PNC

    NI UTANI JAPO ULIOPITILIZA

    Hii imezid
  20. PNC

    KISWAHILI TUWAACHIE BAKITA

    Bado unasema Kiswahili ni lugha nyepesi eti kwa kuwa tunaelewana tu!!!? Tazama....... KIINGEREZA------KISWAHILI Device-------------Kitumi Photocopier------Kinukuzi... Duplicating Machine --Kirudufu Resistor-----------kikinzani Power Saw-------Msumeno oto Sensor-----------Kisimbuzi Lap...
Back
Top Bottom