Search results

  1. mansakankanmusa

    Siasa za bara la Africa zinatia kinyaa sana

    Mnapoanza kususia inaleta shida kwa wazalendo. Haipendezi na haitaki kususa. Waswahili, "susia nguruwe utakuta kala muhogo, jaribu kukaza na kulegeza hizo nyonga. Mwisho wa Sikh hawo majuha na wewe na hao wanaofikiri wataishi milele watafikia mwisho wao. Playy your part...usiachie majuha na...
  2. mansakankanmusa

    Usimdhalau usiye mjua!

    Dhahili shahili, majasusi wa nchi jirani yetu wapo
  3. mansakankanmusa

    Pamoja na kuongea na Viongozi Wastaafu, Hakuna mabadiliko

    Mshahara mwezi July haina mabadiliko. Paschael sikuelewi
  4. mansakankanmusa

    Afande Siro Magari ya bagamoyo-Dsm Mengi mabovu

    Bei kwa mujibu wa sumatra 1000/=, Semi luxury bus 1,500, Luxury bus 1,600/= kibaha, bagamoyo he?
  5. mansakankanmusa

    Nimeamua kutengeneza 'benki' yangu mwenyewe baada ya kuchoshwa na makato yasiyo na tija

    Asilimia kubwa sana watz wanaugua kichaa....vyuma hivi no nomaa.
  6. mansakankanmusa

    Afande Siro Magari ya bagamoyo-Dsm Mengi mabovu

    Wangekuwa wanayafanyia service lkn hayana hiyo..hawayasamini magar yao. Fikiria kondakta anakimbia na nauli za abiria...kisa apange asikose kabisa. Sasa anatesa abria na waginjwa na wasafiri wa mikoa ya mbali. Bagamoyo DSM ni barabara ya mkoa inayostahili magari bora na si bora magari...
  7. mansakankanmusa

    Afande Siro Magari ya bagamoyo-Dsm Mengi mabovu

    Jose umewahi nafasi yako..uko vzr Madereva wanahujumu sana maisha yetu. Bagamoyo DSM siyo njia ya kuipa magari mabovu . kwanza inalipa sana....safari moja si chini ya 100000 kwa mini abiria wasitendewe ihisani
  8. mansakankanmusa

    Afande Siro Magari ya bagamoyo-Dsm Mengi mabovu

    Moja kwa moja niende kaende kaenye point Mabasi asilimia zaidi ya 90 ni chakavu, yanalazimishwa kutembea barabara ya bagamoyo dsm msata. Nasikitika sana barabara inatengenezwa na kodi tunalipa iweje madereva na makondakta wanachuma pesa kwa magari mabovu yasiyofaa kutumika. Njoo uone...
  9. mansakankanmusa

    Nahitaji msaada wenu hali yangu ni mbaya

    Nahitaji mschana wa ndani, utakuwa free kufanya application zako, lkn muda mwingi utasaidia kazi
  10. mansakankanmusa

    Ama kweli majuto ni mjukuu..

    Mkuu mambo haya tuliyakosa sana JF, watu mna mabusara sana. thanks
  11. mansakankanmusa

    Ama kweli majuto ni mjukuu..

    Mkuu hiyo ni ishara kwamba nidhamu yako ni ndogo sana, unadharau laki 300000? wewe kweli hamnazo
  12. mansakankanmusa

    Habari njema kwa wanaume

    Kama hamjui in ujinga kutojua mini kinamaliza Nguvu Jamaa ana onekana ana drive, hana mazoezi lishe sio, kula vitu vyenye protein uone. Piga mazoezi uone, zoezilihusishe miguu,kiuno mapaja, then kifua.. Halafu rudi hapa unipe mrejesho
  13. mansakankanmusa

    Ama kweli majuto ni mjukuu..

    Mnapotaja nidhamu ya pesa...tusaidienitusaidienitusaidienitusaidieni wenzenu tunashindwa nikipata laki 300000 monthly nifanyeje
  14. mansakankanmusa

    JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    Sisi a engine hapa jf tunajifunza achikia mbali suasa
  15. mansakankanmusa

    Ananiuliza simu ina ukubwa gani

    HAPOHAPO UMEKUJA RAM AU SPACE TOFAUTI GANI IPO HAPO
  16. mansakankanmusa

    Ananiuliza simu ina ukubwa gani

    Nikijibu ina GB 4 au Jibu sahihi ni lipi? wanataaluma msada
  17. mansakankanmusa

    Maswali na Majibu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

    je nikiswali nyummban tu inafaa?
  18. mansakankanmusa

    Maswali na Majibu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

    nakuwa mvivu wa kuswali, nifanye nini, kufunga nafunga
Back
Top Bottom