jamaa kina rostam ,lowasa na hao vibaraka kuna january walikubaliana na rex attorney kwamba siri kuhusu power of attorney isitolewe hadharani rex wakawapa wajanja waitoe nd hasira imewapanda now waawamaliza mwenye macho haambiwi aone
kweli mnaomtetea lowasa bado mna akili timamu najaribukuwaza na kuwazia kwani yeye kazaliwa kuwa rais ccm fukuzeni huyu mtu kama hamtaona mabadiliko uande wenu
huyu lowasa na ra wote ni hatari wamesimika spika wao na mara ghafla kamati za bunge zimekuwa na nguvu kliko hata mawaziri kulikoni au sababu wenyeviti wengi wa kamati za bnge n vibaraka wao
tuwe wa kweli chadema ni chama makini lakini kwa hili walikosea maana kama wangeweza kuingia kituoni wangechukua silaha arusha pasingekalika maana wenye vurugu kama hizo wezi wenye nia na kuiba silaha wasingekosekana
anachosema ni kweli kabisa rostam na magazeti yake wana kazi ya kuwachafua watu wote wanaowahisi kwamba wanataka urais,hivi rostam na kundi lake wakipata huo urais si watatuuza mpaka raia wao. Maana hawa kina membe rostam jk sita lowasa na wengineo ndiyo walikuwa wana mtandao sasa interest...
tuwe serious je kuna mtu atujulishe kuhusu habari hiyo pili nimepata taarifa mataka karudi tena atcl kulikoni wakati nilipata taarifa nafasi yake imechukuliwa na mtu anaitwa wiliam haji kulikoni mwenye taarifa atujulishe, niliambiwa wiliam alikuwa amelimudu shirika
kwa kweli nimekumbuka mbali jamani longer wapi siku hizi na ndgugu yetu mkingule nasikia ni kanali wa jeshi makao makuu, longer yuko nmb dsm, maskini thomas ndulute alifariki kama miaka mitatu iliyopit ,nimecheka sana kuhusu hassan musa alianza ufisadi na mwalimu wa usafiri kutulangua tiketi za...
kwa mawazo yangu pungufu hii habari siyo ya kweli mengi ni kawaida yake kutumia combo chake kuwamaliza wengine ,huyu mzee ni mtu mwema nusu mtu mbaya nusu manake usipokubaliana na matakwa yake anakumaliza
yupo jimboni anatafuta kura baada ya kumwibia aex shauri kura zake,manake alibwagwa na jamaa kwenye maoni mpaka akapata presha akiwa mbamba bay,ana timu nzuri ya wezi wa kura chadema muwe macho jamaa ni balaa kwa uchakachuaji
yani hata mimi nawashangaa sana hawa ma doct wa aghakhan,tena usipokuwa makini unaweza ukafia pale,hata ukizaa kawaida hawako serius na kazi zao,nina rafiki yangu alijifungua hapo kipindi cha nyuma kama miezi mitatu imepita wakaacha kumsafisha vizuri basi weeeeeeeeee ilikuwa ni mungu tu maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.