Search results

  1. Mookiesbad98

    Msaada wa kupakua mziki YouTube

    Mimi ni mpenzi wa muziki na miaka 3 nyuma nilikuwa naweza kupakua miziki niitakayo kutoka YouTube yeyotena kuisave ili kuiplay kutumia y2mate lakini kwa sasa naona nakwama. Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuipata tena maana miziki mixes, freestyle kama za kina nasty nazikosa.
  2. Mookiesbad98

    Umeme na maji vimekuwa kero kubwa hapa Dar es salaam kwa sasa

    Umeme unakatika siku 2 mfululizo bila taarifa yoyote na maji pia yanatoka usiku asubuhi yamekatika yana katwa rudisha kwa masaa mengi imekuwa ni utaratibu. Tunamkumbuka hayati Magufuli angekuwepo huu uhuni aofanywa na tane esco. Enyi tuliowapa dhamana mnaobimba na masuti ya laki 7 na ma simu ya...
  3. Mookiesbad98

    Critical suggestion za mradi wa sewarage unaotekelezwa Dar es salaam

    Haya ni maoni juu ya upungufu wa ubunifu na akilichanya kwa wahusika waziri wa maji, Dawasa waliodhinisha huu mradi wa kuzoa maji taka toka nyumba za watu yakiwemo maji ya vyooni. Mtekelezaji wa mradi ni kampuni ya kichina inayoitwa BCEG wanachimhua barabara katikati na kufukia bomba ndogo...
  4. Mookiesbad98

    Waziri wa Maji tunaomba huo mgao utufikie

    Kwako waziri tunaomba ile ratiba ya mgao ifike maana kumekuwa na ubaguzi mkubwa wa wananchi kupata maji kuna maeneo maji hayajapatikana mwezi sasa. Hili pia limeshindikana kusimamiwa. Huku ndii kumfitinisha raisi na wananchi wake sasa.
  5. Mookiesbad98

    Serikali ingilieni kati kushusha bei ya vitu

    Tunaomba serikali haswa waziri wa fedha na uchumi aumize kichwa kujaribu kusadia kushuka kwa bei ya vitu haswa vya ujenzi. Nondo mm 10 sasa hivi imefika 20,000. Nondo mm 16 kutoka 25000 mpaka 45,000. Gypsum board ya Thailand imefika 30,000. Tani moja ya nondo imetoka 1,850,000 mpaka kufikia...
  6. Mookiesbad98

    Uchaguzi 2020 Jimbo gumu kupata mwakilishi ni Kawe

    Hili jimbo kwa ujumla ni gumu kupata mwakilishi sahihi kwa upande wa Chama chetu Tawala. Ni jimbo liko mjini, lina wapiga kura wataalazi sababu ya literacy level iko juu, na linachangamoto nyingi za barabara, mifereji, wingi wa wanafunzi, wingi wa bodaboda, wafanyabiashara ndogondogo na...
  7. Mookiesbad98

    Wakubwa wa jiji, hali ya uzoaji takataka mitaani hairidhishi

    Mh Makonda, Mkurugenzi wa Jiji na wengineo wote hali ya uzoaji takataka inatisha. Tumesikia contract amepewa mtu mwingine lakini maajabu ya Mussa ni pale wakandarasi wa uzoaji takataka wanapokuwa hawana vifaa ikiwemo malori ya uhakika, hawazoi kwa wakati unaotakikana. Kuna maeneo kama ya...
  8. Mookiesbad98

    UGANDA: Mbunge akubali kurudia mtihani wa kidato cha nne baada ya kushinda kesi ya pingamizi dhidi ya vyeti vyake

    Mbunge wa jimbo la Busiro Kusini huko Uganda imemlazimu kwa hiari yake mwenyewe arudie kufanya mtihani wa darasa la nane nchini Uganda baaada ya kesi ya pingamizi dhidi ya Ubashite wa vyeti vyake. Tunalo la kujifunza hapa kwa waheshimiwa wetu wabunge ambao wana vyeti na profile za kuungaunga...
  9. Mookiesbad98

    TBS na TFDA, mmesikia Kenya walivyofungia unga wa mahindi?

    Kenya wamefungia aina tano za unga wa mahindi maarufu kama Unga wa Ugali uliogundulika kuwa na kemikali za sumu zinazotokana na Afloxacin zinahusishwa na uletaji wa magonjwa hatari kama kansa kwa binadamu endapo atatumia unga wa ugali kwa matumizi ya chakula. Hapa kwetu wajasiriamali wengi...
  10. Mookiesbad98

    Mkanganyiko mkubwa wa kibali Cha kufanya kazi na kibali Cha kuishi Kama mgeni

    Ni Nani Kati ya Uhamiaji au Labour inspector anatakiwa afanye ukaguzi. Eneo Hilo limejaa rushwa nyingi Sana sababu wageni ni wengi haswa kwenye sekta ya viwanda,mahotelini,mashuleni na kwenye biashara. Serikali lipitieni vizuri hili mapato yanapotea mikononi mwa maofisa wachache wanaofanya...
  11. Mookiesbad98

    Fair competition commission na TBS igeni haya toka Kenya.Simu feki ni nyingi mtaani

    There was a shop raid on Tuesday, 26th March, in Nairobi’s Luthuli Avenue and the Anti-Counterfeit Authority (ACA) has managed to arrested five suspects and confiscated Ksh8 million worth of fake mobile phones during a raid. According to the authorities, other accessories including chargers...
  12. Mookiesbad98

    TRA kunani kwenye leseni za udereva

    Watu wengi tunakata leseni tunabaki na risiti. Hili swala Kama TRA limewashinda au. Hi ni aibu Sasa. Material za plastic tub za leseni zinawashinda. Vitu haviendi on time tatizo Nini. Hebu tupeni press release mkieleza what is wrong na leseni za udereva Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mookiesbad98

    Rubani aliyefanya kazi kwa miaka 20 na vyeti feki hatimae astaafu huko Afrika ya Kusini

    A pilot, William Chandler has resigned from South African Airways (SAA) after flying for more than 20 years with a fake licence. South African Airways said it discovered William Chandler's paperwork was forged after a "reportable incident" during a flight from South Africa to Germany. The...
  14. Mookiesbad98

    NSSF bado tuna safari ndefu

    Nilibahatika kufika Nssf Ubungo plaza. Kiukweli Hali no mbaya Sana kwa wateja halafu kwanini sekta hi mfanyakazi anapokuja kudai mafao yake anaonekan Kama ni ombaomba fulani. Nadhani Kuna haha ya mheshimiwa Waziri aliangalie hili suala kwa kweli tuna Safari ndefu kama taifa kwa Ofisi ya mafao...
  15. Mookiesbad98

    Kwa wanaojua Mkataba wa uwekezaji wa NHC 711 pale Kawe

    Nimekuwa nikiwasikia wanasiasa wakiongea kwamba Mkataba wa uwekezaji wa NHC pale Kawe nao umekaa vibaya. Yawezekana mikataba mingi ya NHC iko vibaya ndio maana ikapelekea Ndg Mchechu kupumzishwa pembeni kwa muda. Haya tumeyaona kwenye mifuko ya pensheni na kupelekea Ssra bigboss kutengeneza...
  16. Mookiesbad98

    Haya happy kwetu hayatokeagi? Au huwa hayaripotiwi kabisa

    An Ecobank customer, Saheed Abayomi, 46, has been arraigned Lagos Magistrate Court for alleged conniving with the fleeing former female Branch Manager of the Apapa branch of the bank, identified simply as Theresa, to fraudulently withdraw the sum of N482 million from the account of the bank and...
  17. Mookiesbad98

    OPEN BEACH JANGWANI YAVAMIWA

    Waziri wa Mazingira,Waziri wa Ardhi,Mkuu wa mkoa na wilaya ya kinondoni,Mbunge wa Kawe Sisi wananachi tunaopenda kwenda kupumzika kwenye beach za wazi sasa tunazidi kuzuiwa na matajiri wachache. Ilianza Mbezi beach rainbow kule alikojenga Mch Rwakatare na sasa Kule Jangwani beach nyuma ya...
  18. Mookiesbad98

    Uzoaji wa Takataka katika Halmashauri zetu ungaliwe kwa makini

    Kumekuwa na kero kubwa katika utaratibu wa uzoaji wa Takataka katika mitaa tunayoishi. Magari yamekuwa ni mabovu,hayapiti kwa wakati na utoaji wa risiti za kielectronic umekuwa wa kubabaisha. Serikali ya Mkoa haswa Jembe Makonda tunaomba ufuatilie hizi tenda za uzoaji wa taka zilitolewa kwa...
  19. Mookiesbad98

    Wale wauzaji wa mikongo na mivule, Nahitaji tufanye biashara

    Napenda kujua bei ya Mkongo,mvuke na mninga bei iliyo nzuri yenye kuakisi hali ya uchumi wa awamu ya Tano? Mahali ulipo ili tufanye biashara
  20. Mookiesbad98

    Mamlaka ya mkoa wa DSM ipige marufuku wezi wanaovaa viatu vya matairi

    Jana nilipita barabara ya kinondoni manyanya kwenda moroco ghafla nikasikia kishindo nyuma ya gari kijana aliyevaa viatu vya matairi(Roller shoes skating) kangangania bamba la gari langu na ufinyu wa barabara ile kwa kweli leo naona bampa langu limelegea nadhani alikuwa anataka kufungua buti la...
Back
Top Bottom