Huyu dr hata kama asilimza babu zake ni Burundi huyo ni mtanzania, amesoma hapa na amekulia Regent estate mtaa wa chato au uporoto. Alofaulu vizuri amesoma udaktari Muhas. Ni mtu mfanyaji kazi kwelikweli na hilo la kunyanyasa wafanyakazi hapana dr kwa tuliowahi kuwa nae karibu hawezi kukaa na...
Tatizo la ajira zakujuana ndio linaonekana sasa, kuna shida kwenye kitengo cha mwasialino kwa umma. Hakuna video director aliyesoma vizuri, editing na proof reading hakuna. Kuna mtu anakula mshahara bila kutimiza wajibu wake . Ukiwaona kwenye misafara na masuti yao utawaona wa maana sana.
Hivi mbona nchi hii hakuna waziri, mchumi, consultant wala mbunge ambaye akihojiwa anaongelea scale ya mshahara kwamba uko irerelevant and very informal.
Hakuna scale inayoelewela ya mishahara ya watu kuanzia watu wasio na elimu mpaka wenye elimu. Its about time waziri ummy akae ale pesa yake au...
Kiukweli katika waziri ambaye ataiweza hii wizara ni Jerry Silaa. Sababu kibwa anafuata sheria na amesoma sheria. Nimeona mfano wa sheli pale mikocheni kwa Rupia, Sayore na Mama Tibaijuka pale kuna suala la rushwa mpaka kibali kikatoka kisheria cha kujenga sheli.
Jerry ilikuwa ni kuionesha...
Cbe sio chuo kizuri kina changamoto nyingi sana ya uzembe wa watendaji hapo. Watoto wanarudia miaka sababu tu records zimepotea ofisini kwa walimu. Usiende kabisa
Kimsboy kuna mambo umeongea yanasononesha sana watu wenye macho. Kila kitu kwetu kinafanyika chini ya kiwango na mawaziri wapo. Mfano mdogo ni BRT. Angalia BRT ya kigali na ya hapa ya kwetu ni uchafu mtupu tunalingana sana na nigeria kwenye implementation ya miradi sababu ya rushwa, ubinafsi na...
Kila mwenye akili anajua hiyo treni haijafikia viwango vya duniani kama fast train. Ingesaidia sana badala ya kulazimisha kujenga ma BRt hata hapa mjini dsm na miji mingine mikubwa. Hiyo ni tazara iliyopakwa rangi
Why is it ni kama hakuna kiongozi anayeona haya matatizo na kuyaongelea na kutoa a waya forward ni kama wote wamelala kazi kupiga mapicha millard ayo na masuti yao kila siku ni hafla ya kuapisha huyu, kupokea hichi, kutia saini hichi,
Nani katuloga watu weusi. Umeme wa shida kwanini mkurugenzi...
Ni kweli huyu mwamba toka Bi mkubwa achukue utawala nimeona watu wengi wakijipendekeza kwake kuanzia wasanii, wabunge, mawaziri, na watumishi wengine kuna siku magoti anamsifia huyu jamaa halafu kampost. Biblia inasema ukitaka kuelti meza kuu ya bwana ni lazima upitie kwake kristo so he is Monte...
Kuna kitabu mwanangu anatafuta kimeandikwa na lecturer wa usatawi wa jamii anaitwa mwakajinga lucas kinaitwa developement studies for colleges and universities. Soft copy pls
Toka teuzi zimeanza kutangazwa kupanda kwa maisha umepungua, umeme umepatikana, maji yanatoka masafi na ya uhakika hakuna.
Wacha wateuane wale kwa urefu wa kamaba zao
Mgao wa.mchongo huu Tanesco ili libinafsishwe na kusiwe na.kelele kama za DP world inabidi lionekane limeshindwa kazi halafu wahuni wanaunda.offshore company dubai inakuja kuwekeza bila.mtaji
Bila kupepesa macho mtu mwenye tabia za hivi za kuingilia uhuru wa vyombo vingine ni Makonda hakuna mwingine aliyepiga simu usafini wasimrushe lissu ni makonda.
Makonda oe of his poweful tool ni kutrend kwenye vyombo vya habari. Ona toka amepata uenezi amechukua videographer wa millard ayo kila...
Mimi ni mpenzi wa muziki na miaka 3 nyuma nilikuwa naweza kupakua miziki niitakayo kutoka YouTube yeyotena kuisave ili kuiplay kutumia y2mate lakini kwa sasa naona nakwama.
Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuipata tena maana miziki mixes, freestyle kama za kina nasty nazikosa.
Mbona inaonekana kama raisi wa nchi jirani ana akili kutuzidi anafikiria kujenga vinu vya nyuklia kufua umeme rwanda si vibaya kama raisi wetu akaomba ushauri na utaalamu ili na sisi tujenge nyuklia.
Kinachosikitisha wananchi wengi ni kama raisi hili la umeme halimuhusu na hana uzito analolipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.