Search results

  1. S

    Hivi na nyie wapenzi wenu wako kama huyu wangu?

    Pole mkuu kwa uvumilivu ulonao. Binafsi yeyote alonitamkia ivo bila kupoteza muda tunaachana coz hicho ndo kimtokacho mtu nafsini mwake ndiyo uhalisia kwamba hakupendi na ipo siku mtaachana. For believers watanielewa vizuri,hata shetani hushughulika sana na maneno ayatamkayo mtu toka nafsini...
  2. S

    Wanaume siku hizi wana Vitambi na Kitandani hawafanyi kitu

    This's full of contraductions! Mumeo hana litumbo bt u seem to know in and out bout vitambi vya wanaume,hapo kuna shida sehemu. Pia being a social worker na cases unazozipata haitoshi ku-conclude ivo,you must be participating with them weak men,sio coz of vitambi. Je,hujapata wanaume...
  3. S

    Am tired aisee!

    Duh,hii kali! Ucjali dada,bunge karibu litaanza sogea hapo mjengoni utapata mmoja asiejua matumizi ya kodi zetu atakupeleka out Ulaya na baadae kwene matibabu India.
  4. S

    Sifa za mwanamke makini hasa ndani ya ndoa

    Hahahahahahaha,hizi sifa nilimwona alipractise bibi yangu wa Kisukuma kwa babu hasa no.1,23,7,8,18 na 29! Leo hii hata wajukuu wake hayupo anayefata nyayo zake! Kama yupo humu anayeweza hata robo ajitokeze nitamuoa!
  5. S

    Najuta kutafuta mchumba JF kwa utani

    Wakubwa!!! Bongo bana,kila kitu ni imagination! Wakati unatamka ulikuwa umerukwa na akili? Wewe unatakiwa kushitakiwa wala ignorance yako haiwezi kukusaidia mbele ya sheria. How many men and how much have been affected by your ignorance physically,mentally and materially? Will they trust any...
  6. S

    Wanajitokeza wenye watoto tu!

    Asante sana kwa ushauri wako Imanihope,nmekuelewa sana.
  7. S

    Wanajitokeza wenye watoto tu!

    Kupasha kiporo pia naiogopa sana Sirmudy japo huwezi mchunga mwanamke labda ajiheshimu mwenyewe tu.
  8. S

    Wanajitokeza wenye watoto tu!

    Tatizo ni wivu nilonao nahisi sitokuwa na imani nae from the beginning! Pia nahisi wazazi ni vigumu kuachana hasa kama hawakugombana. Binafsi nishaweka nadhiri ya kutopata mtoto nje wala kuoa alopata mtoto nje au kabla ya ndoa,na ikitokea nmempa mwanamke mimba itabidi nmwoe tu.
  9. S

    Wanajitokeza wenye watoto tu!

    Ndiyo Mmalila,wapo wenye mapenzi ya dhati lakn lazima awe wazi juu ya mzazi mwenzie sio kudanganya.
  10. S

    Wanajitokeza wenye watoto tu!

    Habari wanajf. Nilitoa thread humu ya kumtafuta mke mwema na rafiki yangu mpendwa. Ninachoshangaa zaidi,wengi wao ni kina dada ambao tayari washapata watoto. Pia wengi wanadai baba zao watoto waliwakataa watoto toka wakiwa tumboni (mimba) mwa mama zao. Hofu yangu,je wanasema kweli au...
  11. S

    Mapenzi yananitesa

    Kama ni mvumilivu,mnasikilizana each 2other,anajitambua, na upendo wa dhati,mvumilie tu,pia omba Mungu atambadilisha pole pole. Mi nilitoa thread,cha ajabu wanajitokeza walio na watoto(tayari wamezaa na wanaume wengine),utata mtupu!
  12. S

    Hivi ni kweli wasichana wenye elimu wana kiburi?

    Uko sahihi mkuu,juzi tu nimesikia statement kama hiyo kwa binti mmoja,alisema yeye tayari ana kazi na ameanza kujenga nyumba yake,kinachofata ni kupata mwanaume amzalishe aishi na mtoto wake kisa hataki kuolewa ataanza kubanwa na kuwekewa utaratibu wakati ye anataka uhuru na anayamudu maisha...
  13. S

    Majirani wanamcheka mpenzi wangu

    Mmmmh,kama ni kweli ulichosema basi,huyo mwanaume anataka akupime upendo,imani na uvumilivu wako juu yake! Pia wenye maduka wengi kama Wahindi na Waarabu hawapendi wahudumu/vibarua wapendeze au kula vizuri. Chunguza zaidi dada,lakn kama yuko sawa ktk thinkn and reasoning,no problem utambadilisha...
  14. S

    Mke wangu kapata bwana Instagram

    Ndoa nyingi zitayumba hapa,watabaki wenye macho ya Kiroho kuona na kujua madhara ya mitandao. Wenzetu wanatumia kutangaza brands za biashara zao,sisi tunatumia kupotezea muda na kutafuta umbea! Unawezaje kuchat zaidi ya 4hrs wakati uko maskini? Simu yenyewe ya kununuliwa,wake up guys tusiwe...
  15. S

    Na huyu naye kasema nisubiri, je mambo hayatakuwa kama yale?

    Kwani wasio na hela hawaoi? Au ndo wale siku zimekosa unanuna? True love first then money comes in! Huwezi ona maana ya hela au kazi yangu kama ndani hakuna amani na upendo.
  16. S

    Na huyu naye kasema nisubiri, je mambo hayatakuwa kama yale?

    Jamani,naomba nieleweke hivi,sijawahi kutafuta wala kuweka kigezo cha bikira huwa inatokea tu tena unakuja kufahamu tayari ushatengeneza msingi fulani katika uhusiano. Nashukuru kwa mawazo yenu wana JF,nimejifunza sana pia kwa msaada wa Mungu nimefanya maamuzi magumu ya kutafuta aliye tayari...
  17. S

    Mada: Je, ni sahihi kwa mwanamke na mwanaume kuishi pamoja kiunyumba bila ya ndoa?

    Duh,umemgusa mtu wangu kachukua mdada wakaishi kama miezi 2 akapata ujauzito ulotunga nje ya mfuko wa uzazi,kwenda hosp wakaambiwa ivo coz mfuko ushaharibiwa kwa abortions na hana uwezo wa kushika mimba tena! Mbaya zaidi mfuko umeanza kuoza,ikabidi kupeleka hosp kubwa Moshi ili kuepusha...
  18. S

    Na huyu naye kasema nisubiri, je mambo hayatakuwa kama yale?

    Hata mie nimehisi ana mtu mwingine coz naona hata akitaka kupokea simu lazima aende mbali kama mita 20 hivi hasa tunapokuwa pamoja,nachukulia easy wala sijawahi kuuliza mambo yanayohusu simu yake. Pia jana tu nimemuuliza kama tunaweza kufanya utambulisho kwa wazazi pande zote mwaka huu...
Back
Top Bottom