Search results

  1. Mechanist

    Wauguzi (Nurses) wanalipwa kidogo na wana amani na furaha

    Mimi nawashangaa wauguzi wa nchi hii! Kwanza nawapongeza kwa kazi ngumu mnazofanya kuwahudumia watanzania. Lakini kuna mambo yananishangaza sana katika taaluma hii! Kwanza haithaminiwi na serikali pamoja na wauguzi wenyewe. Pili wauguzi wamechoka mno na wako stressed mno na hii ndio sababu...
  2. Mechanist

    Nilitegemea aseme medical attendant asifanye kazi ya Nurse na si kumzuia Nurse kuuza dawa

    Hii nchi ya ajabu sana, eti unazuia nurse asiuze dawa meanwhile unaruhusu medical attendant aendelee kufanya kazi za nurse wakati hajasoma nursing! Halafu kuna watu wanakurupuka na kusifu ati hiyo ni kazi ya mfamasia! Hamjui madaktari, manesi na wafamasia wote husoma clinical pharmacology...
  3. Mechanist

    Kivuko cha Busisi ni kero

    Sasa imeshakuwa too much! Yaani hiki kivuko kinaboa mara ferry isimame njiani, mwendo kama wa kobe, mara mchukue mda mwingi kusubiria ferry yaani ni taabu tupu. Sijui hii nchi ina laana? Hivi ni lini serikali itatoa huduma bora? Maana si shule, si hospitalini huduma za serikali huwa ni mbovu...
  4. Mechanist

    Hatimaye mwaka umeisha bila ya kujichua Glory to God!!!

    Habari za saa hii wana MMU! Leo nimekuja mbele yenu kuwashuhudia wema ambao Mungu amenitendea. Nilipokuwa likizo mwaka juzi nilijikuta naanza kamchezo ka nyeto baadae kakaninogea but kwa bahati nzuri mwenzenu nimejifunza kumcha Mungu jambo ambalo limekuwa likipelekea napata guilty kila nikipiga...
  5. Mechanist

    60% ya watanzania wanatibiwa na waganga wa kienyeji; this is a big shame!

    Hivi Karibuni waziri wa afya katamka bungeni kuwa asilimia 60 ya watanzania wanatibiwa kwa tiba asili ambayo kwa sehemu kubwa hutolewa na waganga wa kienyeji!! Kwa hesabu ya kutoa ni asilimia 40 ndio hutibiwa katika zahanati, vituo vya afya na hospitali! Swali langu: Hivi hii Wizara inapenda...
  6. Mechanist

    Tigo wamezidi kuniibia, nimechoka!

    Jamani ni takribani miezi miwili sasa kila ninapoweka salio hawa jamaa hunikata Th. 350 au 150, ukiwapigia kuwauliza watakwambia huenda ulikopa! Ki ukweli mimi sina tabia ya kukopa wala kujiunga na vihudumahuduma vya ajabu. Mpaka sasa nashindwa kuelewa huu uhuni nani ni mhusika mkuu. Nawasilisha.
  7. Mechanist

    Msukuma: Mimi na 'Prof' Maji Marefu ndio waganga wa timu ya Bunge

    Katika hali ya kuchekesha, jana usiku, mbunge wa Geita vijijini wakati wa mahojiano na kituo cha television cha startv amejinasibu kuwa miaka ya themanini alikuwa mchezaji mahiri na hajaona mchezaji wa sasa wa kufikia kiwango alichokuwa nacho. Kuhusu timu yao ya bunge amedai kuwa yeye ni...
  8. Mechanist

    Mtazamo: Huduma za afya Tanzania

    Wanajamvi habarini za asubuhi. Katika siku ya leo nnapenda kuwashirikisha katika mada hii kuhusu huduma za afya katika nchi yetu ya Tanzania hususani zitolewazo katika hospitali na vituo vya afya vya umma. Tukienda katika uhalisia huduma zinazotolewa na hospitali na vituo vya afya vya umma...
  9. Mechanist

    Wanawake na uchungu wakati wa kujifungua

    Kwa kawaida wanawake(wamama) huhisi uchungu wakati wa kujifungua. Hii hutokana na uterine contraction inayosababishwa na hormones kama vile oxcytocin ili kusukuma mtoto . Wanawake hudai kuwa wakati wa kujifungua uchungu huwa ni mkali sana. Swali langu ni kwamba; kama uchungu ni mkali mbona...
Back
Top Bottom