Search results

  1. Duduvwili

    Kero kwenye mifumo ya malipo katika huduma za Afya

    Wakuu Shalom, Kichwa cha hoja hii kinajieleza nipo katika moja ya Kituo Cha afya nimemleta mtoto akiwa amebanwa na kifua lakini cha ajabu mpaka dakika hii sijpatiwa huduma kwa sababu mfumo haufanyi Kazi naomba ufafanuzi kwa mamlaka husika je huu ni ungwana? Kwanini kama mambo haya hatuyawezi...
  2. Duduvwili

    Mawasiliano ya Bank ya Posta Mwanza

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada jinsi ya kupata mawasiliano na Bank ya Posta Mwanza Kuna mambo nahitaji kusaidiwa
  3. Duduvwili

    Idara ya Elimu Msingi wilaya ya Kwimba huu ni Uhuni na Udhalilishaji wa Walimu

    Wakuu shalom! Husikeni na mada tajwa hapo juu Suala ni kwamba idara hii kwa makusudi kabisa imeamua kukausha na malipo ya baadhi ya walimu waliohusika katika kazi maalum ijulikanayo kitaalam kama SFNE ambapo kuanzia semina walimu walijihudumia wenyewe kwenda kwenye kazi kwa pesa yao huku...
  4. Duduvwili

    TANESCO wilaya ya Kwimba shida ni nini mbona mnatuua kiuchumi?

    Salamu kama kichwa Cha Uzi huu kinavyojipambanua nikiwa kama mfanyabiashara ambae nimekua nikifanya shughuli zangu katika minada mbalibali wilayani hapa kwa kweli mnachokifanya kuhusu umeme sio ustaarabu kabisa na sielewi serikali ya wilaya inalichukuliaje hili huduma zinasimama kwa siku mbili...
  5. Duduvwili

    Ni kweli Simba waliovamia Iringa vijijini wamefika maeneo ya karibu na mjini?

    Nikiwa katika matembezi yangu hapa Iringa Mjini nimepata kusikia habari za uwepo wa makundi mawili ya Simba wanaosadikika kutafuna mifugo katika maeneo mbalimbali ikiwemo maeneo ya Lupembe lwa senga na vijiji jirani Kama kuna mtu anaweza kuwa labda kashuhudia au muhanga tunaomba taarifa rasmi...
  6. Duduvwili

    Naomba ufafanuzi kuhusu ulazima wa mwalimu kulipia mchango wa Mwenge

    Wakuu, sina haja ya kuwasalimia kutokana na mvurugo bila kusahau matusi ya Mkuu Mpwayungu naomba kuuliza wajuvi hivi mwalimu akishindwa kuchangia mchango wa MWENGE ambao ni shilingi elfu tano katika halmashauri hii anakuwa amemkosea nani kwa sababu naona ni wazi tunatafutana lawama. Kuna...
  7. Duduvwili

    Taasisi ya MABOTO badilikeni, mbona mnatufanyia uhuni?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Taasisi ya MABOTO Microfinance imekua ikilalamikiwa sana na wateja wake kuhusiana na maswala ya kutoa Barua za Balance ili kuwawezesha wateja wake kulipa deni na kuendelea na taratibu zingine lakini Taasisi hii imekua ikifanya uhuni kwa kuchelewesha barua...
  8. Duduvwili

    Tibisiii vipi?

    Wakuu mama anahutubia meimosi kitaifa ila hawa jamaa sauti imekata ghafla na hamna notification hii niaje?inasikika adhana tu Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  9. Duduvwili

    Ukiritimba umekithiri Hospitali ya Wilaya Misungwi

    Wakuu Umuofia, Kama heading inavyojieleza hapo juu napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa yeyote anaehusika nimewasili katika hospitali hii ya wilaya kwa minajili ya kumtibia mke wangu lakini cha ajabu ni kwamba ni zaidi ya saa mbili sasa hakuna huduma yoyote niliyopatiwa zaidi ya kukabidhiwa...
  10. Duduvwili

    Kero ya kelele katika kijiji cha Nhungumalwa, Kwimba, Mwanza

    Wakuu salaam, Bila kupoteza muda niende kwenye mada mimi ni mkaazi wa kijiji cha Nhungumalwa kinachopatikana kati ya Maganzo na misungwi sasa kumekua na tabia sugu ya kupiga muziki kwa kelele zinazoleta kero kutoka kwenye Bar inayojulikana kama Malando night club (haina sifa ya kuitwa night...
  11. Duduvwili

    Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

    Wakuu Shalom naona mubashara hapa RC Matata Bwana Makonda akidai kua anafurahia sana kwenda kumtunza Mwanae na kwamba hajapoteza lolote na amedai70% ya wananchi wa Dar ni wambea uzi tayari ntazidi kuwajuza. ======= NISAMEHENI NILIPOENDA KINYUME NA MAPENZI YENU. MAADAMU YESU NINAYE, MUSIWE NA...
  12. Duduvwili

    Uhaba wa Petrol na Diesel wilayani Kwimba kulikoni?

    Wakuu mabibi na mabwana kumekua na sintofahamu kuhusu upatikanaji wa mafuta haya kwa kipindi cha karibia siku tano sasa tunanunua mafuta kwa kupimiwa kwenye vibaba badala ya Petrol Station kama ilivyozoeleka swala linalopelekea mafuta kuuzwa mpaka shilingi elfu 3 kwa lita moja hasa Petrol. J...
  13. Duduvwili

    IBADA YA MAFUTA

    Wakuu nipo katika moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini katika mihangaiko ya maisha sasa kuna kituo kimoja cha radio ambacho kinamilikiwa na mtumishi Dk Boaz solo nimekua nikisikia matangazo kuhusiana na ibada ya mafuta ambapo waumini watakanyaga mafuta hayo ili kujitakasa na kuondokewa na...
  14. Duduvwili

    MREJESHO UWEPO WA CHUMBA NAMBA 13

    Wakuu habarini za jioni kuna mdau alileta swali kwa nini hakuna chumba namba13 katika nyumba za wageni naomba kutoa ushuhuda hapa nilipo nipo katika chumba no13 kwenye lodge moja mjini Singida naomba kujuzwa kama naweza kupata madhara yoyote kwa kupitisha usiku huu nikiwa mahali hapa ikumbukwe...
  15. Duduvwili

    Tafakuri baada ya habari

    Wakuu namsikiliza hapa huyu bwana anasisitiza wasanii wasiimbe mapenzi bali mafanikio tunayoyapata kama Nchi sasa swali langu ni je anatambua maana halisi ya burudani ya mziki na kauli ya mziki ni biashara? Na ningependa kumfahamu huyu bwana ambae hua analeta hii tafakuri ni nani tumtambue kwa...
  16. Duduvwili

    Wapi Sugu?

    Wakuu nipo mjini mbeya hapa ni mara mbili sasa Mh Raisi JPM anamuulizia kijana wetu Sugu awasalimu wananchi lakini kijana hataki kujitokeza lakini pale Songwe alisadikika kuwepo hii imekaeje wadau?
  17. Duduvwili

    Diwani huyu ni kero kwa watumishi

    Wakuu nalazimika kuandika haya kwa uchungu na hasira kumekua na diwani mmoja ambae sitamtaja Chama chake kuepuka kuonekana labda nimelizungumza hili kwa kuangalia itikadi ya Chama Chake. Kifupi ni kwamba amekua na tabia ya kuwafwatilia watumishi wa Umma hasa walimu na kuwachongea mambo ya...
  18. Duduvwili

    Muhudumu huyu vipi?

    Jamani wanajamvi kama nusu saa imepita nimepiga simu kwa ajili ya maelekezo fln kwenye kampuni ya tigo kuna kaka kapokea simu yangu na kabla sijamuelekeza tatizo kakata simu kama mnakua na stress acheni kazi hyo ni baada ya kupiga ile nmbr100 ambayo hua inaunganishwa baada ya kusubiri sana...
Back
Top Bottom