Search results

  1. Duduvwili

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Wivu wa kike tu kutoka kwa huyu shoga watu sio wastaarabu kabisa humu kuna ndugu zake jamaa nk kwa nn uje na kauli chafu hivi kwa marehemu kama sio wivu?
  2. Duduvwili

    Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

    Huna ubavu wa kipato hata cha laki3 we jamaa kwa maandiko yako mengi unaonekana ni jobless
  3. Duduvwili

    Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa

    Njaa kaka na kujisogeza na connection hamna cha dini wala nini wote wachumia tumbo tu
  4. Duduvwili

    Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    Awamu hii watatafutana tumechoka sie ndio maana kampeni nyingi mara tunachapisha fomu moja tunaomba hoja za Mpina zijibiwe msitutoe kwenye reli
  5. Duduvwili

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Kilainishi ni muhimu ndugu yangu tembea na mafuta hata kidogo kila uendapo utakuja kunishukuru baadae kwa sababu kwa dhuluma uliyoifanya ni wazi lolote linaweza kukutokea
  6. Duduvwili

    Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    Hii ilikuaga oysterbay kama sijakosea
  7. Duduvwili

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Sema tu ni mzee ila wa town
  8. Duduvwili

    TANZIA Mwalimu maarufu wa Geography, Mtegetwa Mng'ala Afariki Dunia

    Uwe unaficha basi ujinga ndugu yangu kwenye post serious mbona unakua na tabia za kishamba hivyo?
  9. Duduvwili

    Dr Kigwangala: Binafsi nitailinda na kuzipigania Haki ya Mange Kimambi kupinga na kutofautiana Mtazamo na Chawa wanaosifu kila kitu Cha Serikali!

    Kwanza ni aibu kwa Big kama yule kujiweka wazi kuwa ni mdau wa da Mange mnafeli sana ma Don wa kibongo ukisikia mambo ya kiwaki ndio hayo sasa
  10. Duduvwili

    Ramadhani ile haipo

    😂😂😂😂😂
  11. Duduvwili

    Ramadhani ile haipo

    Mambo gani sasa haya?fikeni mahala mbadilike dunia inabadilika hii
  12. Duduvwili

    Wastara Juma na huyu jamaa wa Keshas Salon nini kinaendelea kati yao ,maana huyu jamaa ni hatari skendo yake bado ya moto

    Umewaza kama mimi aisee tena mibonge bonge kama wastara hivi maweee 😋😋
  13. Duduvwili

    Lema ampa makavu Ally Hapi. Amwambia kuwa hii nchi siyo ya mama yake

    Lema kuna chawa anaitwa Mwashambwa neno kwake ingependeza katika kumpa Darsa kidogo
Back
Top Bottom