Search results

  1. M

    CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

    CCM mnatumia nguvu sana uchaguzi huu lakini nahisi Mungu hayuko upande wenu!!
  2. M

    Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Clouds wawaulize gazeti la uhuru lisivyonunulika! Wajiulize kwa nini
  3. M

    CCM imefanya nini hata tuichague tena?

    CCM haina mikakati mipya katika nyanja zote hizo na zingine! Tuwape nafasi na wenzao ili tufanye comparative analysis full stop.
  4. M

    Kombani & Makamba VS Bomani, Manento, Warioba, Ramadhani, Shivji, & Tendwa

    Kombani anachojali ni mkono wake unaenda kinywani. kwake yeye wanaodai katiba mpya should go to hell! Makamba is an outdated human remnant. Hawezi kuwa na jipya na sijui kwa nini chama kama ccm wanaweza kuvumilia kuwa na katibu mhafidhina kama yule katika ulimwengu wa kisasa. aibu!!!!
  5. M

    Wananchi waanza kuiogopa Chadema kama ukoma

    What a sweeping statement! "Wananchi walio wengi" is very subjective - wawili, watatu, kumi, 100, 1000, milioni? Usijindanganye ndugu fanya kazi uendeleze familia yako badala ya kuishi kwa matumaini.
  6. M

    "kwa nini CUF tumeshirikiana na CCM"- Hamad Rashid

    HAMADI unachosema ni unafiki tu. Serikali ya mseto ni matokeo ya tamaa ya madaraka. waliopo madarakani hawapo tayari kuondoka hata kama wameshindwa kwenye uchaguzi na wapinzani nao hawako tayari kushindwa hata kama wameshindwa kweli. Matokeo yake mnaamua kugawana ulaji kwa kisingizio cha matakwa...
  7. M

    REVEALED: Degree ya Waziri William Lukuvi ni feki!

    Hii ndiyo Bongoland! Tunachakachua kila kitu including URAIS, sembuse UWAZIRI? Matokeo yake ni haya: Tanzania haiwezi ku-excel kwa kila kitu: Kiuchumi ni maskini kisiasa kila mtu anajua kimichezo kichwa cha mwenda wazimu kielimu mambo mnayaona Kilimo sema wewe madini Mungu anajua Kila kitu BORA...
  8. M

    Propaganda za kidini zaanza Zanzibar

    Huyo mwandishi amesoma shule ya kata. Hiyo style ya uandishi haina INSPIRATION ya roho mtakatifu. Aliyeandika ni mtu wa dini nyingine mwenye kiu ya kunywa damu ya binadamu wengine. Bahati nzuri Mungu ni mwaminifu hawezi kubariki ujinga kama ule.
  9. M

    Hivi CCM wanasoma alama za nyakati?

    Tatizo ccm wanategemea alama za nyota za SHEKHE Y.H! watasubiri atabiri kitakachotokea ili nao wafanye uamuzi. By the way shekhe hajasikika tena baada ya utabiri wa kifo cha mgombea maarufu wa urais kutotimia, au aliprovide majini ya kuzuia kifo hicho?
  10. M

    Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

    Why should we waste time with a street wanderer in a foreign country? He doesn't know how it feels to have a rigged election!
  11. M

    Wabunge wa CCM kuwaadabisha wale wa CHADEMA

    Wabunge wa CCM wakifanya hivyo watakuwa wamejiandalia kaburi lao 2015. Kura nyingi za "huruma" watapewa wagombea wa CHADEMA. Nawashauri viongozi wa CHADEMA kuanza operation mpya (name it) ya kuhamasisha vijana wajiandikishe kwa wingi kwa ajili ya kupiga kura 2015. Ukombozi wa nchi upo mikononi...
  12. M

    Makamba achochea wagombea wa CCM waliobwagwa Ubunge wakatae matokeo mahakamani

    MAKAMBA atalaaniwa duniani na hata mbinguni kwa kulazimisha ukweli uitwe uongo.
  13. M

    Makwaia wa Kuhenga - A letter to JK and Calls for a Constitutional Reform

    Makwaia, ni ushauri mzuri kwa KIKWETE lakini hiyo ni "wash-out". Tatizo la Makwaia ni Mdini sana. Hizo kampeni za udini zimefanywa kule anakoswali lakini atalaumu waraka wa TEC peke yake! Very unfortunate
  14. M

    Dr. Slaa asema maandamano ya wananchi kudai kura zao yapo

    Ze Marcopolo hizo ni common nonsense! It's likely that you are not a great thinker but a lunatic fan of chichiem.
  15. M

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    INANIPA SHIDA KUFIKIRIA JUU YA NANI ATAKAYELIKOMBOA TAIFA KWA KUDAI KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI KAMA ccm IMECHAKACHUA HATA "WASOMI" WASIWEZE KUWA NA UPEMBUZI YAKINIFU. WAALIMU WAO WA DEVELOPMENT STUDIES NA POLTICAL SCIENCE NAO WAMECHAKACHULIWA?
  16. M

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    KIKWETE alitafuta mlango wa kutokea baada ya kuelemewa na hoja za wapinzani waliokuwa wakimbana aeleze yako wapi maisha bora kwa kila Mtanzania. Akaamua kupoteza lengo. Hata hivyo awashukuru viongozi wa KIKRISTO waliompigia ndogo ndogo kwa kusema yeye ni CHAGUO la MUNGU. Hawezi kuwasahau kina...
  17. M

    Mtizamo wa Bloga: Uamuzi wa CHADEMA Kususia Hotuba ya Kikwete Bungeni

    I suspect Kiranga doesn't have any good intention for CHADEMA. He is simply playing with words to mud-smear CHADEMA.
  18. M

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Hawa wamesoma shule za CCM za kata. Wasomi halisi wangedai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi. Waulize akina Samwel sitta waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam enzi hizo walivyokuwa Revolutionary kwenye kiwanja cha Revolutionary Square! Wanaojiita wasomi hawana ubavu wakuhoji rushwa na...
  19. M

    Elections 2010 Jamani CCM inatisha!!!

    fikiria ccm inatangazia dunia kuwa Tz nikisiwa cha amani na utulivu. Mungu atunusuru.
  20. M

    Elections 2010 Congrats JK.... Umeweza Mdahalo/Mahojiano

    KIKWETE, once a hero now completely devastated. What if he was engaged in a 'mdahalo' - squeezed between Dr and Prof?
Back
Top Bottom