We boya mpira hujui, Ghalagah ni mchezaji wa hovyo,mchezaji anakimbia kimbia tu uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa unasema anacheza vizuri?!!. Yeye ndio alikua anafanya wakina Caceido na Enzo waonekane wavovu
Tutajie penetration pass hata moja tu, moja tu! aliyowahi kupiga tokea ameanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.