Search results

  1. mmura

    Dotto Wangwe, (mke wa marehemu Chacha Wangwe) ateuliwa kuwa mwenyekiti wa kina mama ACT-Tanzania

    Ha ha ha kuelekea 2015 tutashuhudia mengi, anataka kutembelea kivuli cha marehemu sio! ACT hawana nafasi mkoa wa Mara
  2. mmura

    Kikwete atunukiwa tuzo ya demokrasia Afrika

    tuzo ya kweli ni ya MO IBRAHIMU, hizi zingine ni longolongo tu
  3. mmura

    Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

    itafute The Blacklist
  4. mmura

    Getrude Mongella amvaa Rais Kikwete

    mbona mwanae John Mongella alipopewa U DC hakulalamika na watoto wa walalahoi wapewe hizo nafasi, yeye atulie zama zake zishapita
  5. mmura

    Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

    gazeti la waganga njaa
  6. mmura

    Maajabu ya bongo movie..

    hizo takwimu za Bil. 12 umezipata wapi? hakuna mtu mwenye akili timamu ataenda kuangalia Bongo Movie after all watazamaji wakubwa ni ma house girl
  7. mmura

    Rais Kikwete safarini Marekani

    jana jioni chupuchupu msafara wake kugongwa na treni maeneo ya gold star kamata
  8. mmura

    CUF wamshauri JK aunde serikali ya mseto

    bora maana, anaona Urais hapati mwenzie Seif kala shavu Znz
  9. mmura

    Rais Kikwete ni Kiongozi mashuhuri Duniani.

    what so special?
  10. mmura

    Picha: Kinana akiwa ziarani jijini Mbeya

    Kandoro mwenyewe kavaa gwanda kwa kuwa anajua Mbeya hawadanganyiki ni wanamageuzi wa ukweli. Kinana na Nape wanafanya tu mchezo wa kuigiza, mara wapande baiskeli, mara wapande bajaj, mara wale wali maharage, wale chai na vitumbua wamekaa chini, wabebe vitofali na kulima na jembe la mkono, yooote...
  11. mmura

    Tamko la Wanachadema Mkoa wa Mwanza - Sababu zilizotolewa na kamati kuu hazikubaliki

    Huyu Gwanchele anafurahisha sana ukisoma hapo kwenye red unaweza kuona ni jinsi gani alivyo mbabaishaji, anaongelea umoja ambao yeye mwenyewe kwenye paragraph ya kwanza anakiri ya kwamba ndio umeanzishwa. Anawataja waasisi wa chadema kanda ya ziwa akiwemo Zitto, anadai wameonewa sana ndio maana...
  12. mmura

    Ratio ya wabunge wa cdm kigoma v/s kura za urais 2010

    Na anapojaribu kulinganisha kura za kigoma na kaskazini anataka ku justify nini? Kama yeye ni maarufu sana na kigoma walimpigia kura doctor slaa kwa ajili yake, basi akaanzishe chama chake si ana uhakika na kura za kigoma. Umaarufu ulimvimbisha kichwa akasahau kuwa yeye sio maarufu zaidi ya...
  13. mmura

    Mchungaji Peter Msigwa awadhihaki Zitto, Kitila na Mwigamba. Muendelezo wa majungu

    Msigwa is absolutely right, chadema itabaki kuwa ni taasisi na hakuna mtu maarufu kuliko chadema kama yeye ni maarufu akaanzishe chama chake, after all uamuzi huu umechelewa sana
  14. mmura

    Msaada ku update software ya Z10

    nina simu yangu ya blackberry Z10 sasa hivi sipati application ya whatssApp, inaniambia ni update software yake kwa kutumia wi-fi nimejaribu kufanya hivyo imegoma, msaada kama yupo mwenye idea yeyote
  15. mmura

    Nahitaji chumba na sebule vya kupanga

    Bajeti yangu 300,000/-, incase ni hiyo 350 kodi anachukua ya miezi 6?
  16. mmura

    Nahitaji chumba na sebule vya kupanga

    Urgent, nahitaji nyumba iwe 2 bedrooms, jiko na choo, iwe maeneo ya makongo juu, survey, mwenge, changanyikeni na mbezi tanki bovu, ikiwa na fence ni vizuri zaidi
  17. mmura

    Utafiti: Wasio na elimu waongoza kumpenda Rais Jakaya Kikwete

    ulitakaje sasa, wahojiwe watu wote milioni 44? huo ndio utafiti wa wapi? na nini maana ya sample?, after all kwani JK kachaguliwa na watu milioni 44?
  18. mmura

    Dr. SHEIN: ZANZIBAR SASA NI SALAMA kwa WAGENI na WENYEJI

    aache siasa usalama uko wapi watu kila kukicha wanamwagiwa tindikali
  19. mmura

    Mangula: Najuta kuishi jimbo la Halima Mdee

    si ahamie Kinondoni,Temeke au Ilala kama shida yake ni kukaa jimbo linaloongozwa na CCM
Back
Top Bottom