Ni kweli kabisa. Hapa Kimara Korogwe vibanda vinauza pombe kali pamoja na bia saa za usiku hadi mapema asubuhi. Yaani hiyo sheria ni kama haipo.
Yote haya na uoza mwingine ni matokeo ya serikali mbovu ambayo imelala na inafanya kazi kwa mtindo wa "bora liende." Sidhani viongozi wanafahamu hata...
Mimi naunga mkono kila jitihada inayopelekea kuleta maelewano katika uwanja wa siasa. Itakuwa kosa kubwa Sana kwa CDM kutokutumia fursa ya kuleta maridhiana ya kitaifa kuhusu jinsi ya kuendesha siasa nchini. CCM ni chama sawa kabisa na CDM. Hakipaswi kunyimwa haki za kuendesha siasa kwa mujibu...
Yanapungua kwa kura za kwenye mabegi na sio za wananchi. Kama CCM ni chama pendwa kwa nini hawataki Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama ilivyopendekezwa na Time ya Jaji Warioba.
Tanroads na Mamlaka nyingine hebu zuieni wehu na uharibifu huu . Tuta la barabara hii muhimu linachongwa na vijana ili kujenga vibanda vya biashara. STOP THIS MADNESS FOR HEAVENS SAKE.
Should I sympathize with a government that disregards, not only international law, but even the laws that are promulgated by the very government, not to mention the Constitution of the country. THE ANSWER IS NO.
You cannot demonstrate in the face of a brutal police force. You cannot demonstrate in the face of a regime which brooks no democratic opposition. Grow up.
I on my part see no govt strategy on fighting this pandemic. We, the public, are getting confused by a diversity of views from the same government. The Dar RC says one thing, the Mbeya RC says another, the President comes out with statements that contradict steps that have been taken. Then comes...
johnthebaptist, Sumaye, hizi siasa watazifanya wapi wakati mikutano ya siasa hawaruhusiwi kufanya. Badala yake kesi mfululizo, na ukiukwaji wa sheria zinazo simamia siasa nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli huu ni ulevi wa madaraka. Na nimemsikia Jerry Muro akisema kwenye luninga eti Arumeru wao wanampango maalum kwa makosa fulani, mkosaji hapewi dhamana. Nikajiuliza sana hivi yeye ndio mahakama!
Amekwambia kwamba ametoa kwenye Biblia. We vipi? Askofu pia ni raia kama wewe na yuko huru kutoa mawazo yake. Isichanganye mambo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.