Search results

  1. K

    Ratiba ya leo ni wapi?

    Wakuu ningependa kujua ratiba ya kujivua gamba kwa leo iko pande gani?
  2. K

    Mtoto wa Rupia Banda anatafutwa Kenya

    Mtoto wa aliyekua raisi wa Zambia Rupia Banda anatafutwa na polisi nchini Kenya baada ya kutoroka nchini Afrika Kusini kufuatia tuhuma zinazomkabili kuhusiana na matumizi mabaya ya fedha wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita nchini Zambia, polisi nchini Kenya wamethibitisha. Source ...
  3. K

    Ushauri unahitajika tafadhali

    wakuu naombeni ushauri nilikua na msichana wangu (naweza kumwita mchumba) tulifikia hatua ya kutambulishana kwa wazazi na kupata baraka zote, tulipanga kuanza taratibu za kupeleka mahari na katika kipindi cha zaidi ya miezi 7 hatukuwahi kufanya tendo la ndoa hadi mwanzoni mwa desemba 2011...
  4. K

    Ushauri

    Habari wandugu, nilikua na mpenzi wangu kipindi cha nyuma miaka 8 iliyopita kwa bahati mbaya tulitengana baada ya mimi kusafiri kwa muda wa kama miezi 6 kurudi nikapata tetesi kuwa anatembea na mshikaji wangu mtaa wa 2 ambae mimi ndie niliemtambulisha,sikua na papara nilifanya uchunguzi...
  5. K

    Ushauri wakuu

    Wakuu naombeni mnishauri Naishi nyumba moja na dada mmoja ambaye nimetokea kumpenda (na sio kumtamana) sababu nataka kumuoa tatizo nashindwa kumweleza jinsi moyo wangu ulivyomdondokea kutokana na historia yangu,siku za nyuma nilikua naingiza mademu mara kwa mara na anashuhudia ila kwa sasa...
  6. K

    msaada wandugu

    Habarini za asubuhi wandugu,naombeni mnisaidie:nina umri wa miaka 38 jinsia yangu ni ya kiume niko single nimechagua wadada wee mwisho naona umri unataka kunitupa mkono la ajabu sasa kila demu ninaetaka kumuoa ananitolea nje nina kazi katika kampuni binafsi ya matangazo (advertising) hapa dar...
  7. K

    hi

    hizo ahadi za uchaguzi mwaka huu ni epusha kombe mwanaharamu apite au inakuwaje? mbona simuelemu muheshimiwa sana. kwa nini asiwe musitaharabu wa kuwaachia wengine mambo yanapokuwa magumu. sana sana kinachofuata ni aibu. sisi tunakaa pembeni tuepushe msong'omano.
Back
Top Bottom