Breathe. Let go. And remind yourself that this very moment is the only one you know you have for sure.. If you are going through that then i am too.. Just looking for friend wa kubadilishashana mawazo about life experience .. Asiwe from nyanda za juu kusini because that's where I am from and am...
Habari wadau..
Kama kichwa kinavyojieleza, tuajua technology inakwenda kasi na mambo yanabadilika sana. So ningependa kujua kwa range ya budget hiyo simu gani nzuri naweza nikapata maana nataka kununua simu soon.
Asante.
MREJESHO: Kwa wale wazoefu wa smart tv, naomba ushauri juu ya hii tv.. Bei ni kama 800k.
BRAND SkyWorthMODEL43S3A31T
color black
SCREEN SIZE43 Inch
SCREEN type smart LEDHD
technology full HD
RESOLUTION1920 x 1080
SMART TV Yes
CURVE TV No
3D TV No
PRODUCT DIMENSIONS
975 x 649 x 214 (W x H x D...
Jiwe kubwa (asteroid) lililopewa jina la Apobhis kupita karibu na dunia(flyby) mwaka 2029. Jiwe hilo liligundulika na Wanasayansi wa anga mwaka 2004 likiwa na takribani mita 340 za Kipenyo na litapita karibu na dunia kiasi cha umbali wa Km 31,000 kutoka duniani.
Ingawa Wanasayansi bado...
Naomba kujua ni reliable kiasi gani... Sjawahi tumia hii kitu, nna safari ambayo ntajitahidi kuja kuchukuliwa na taxi kutoka kitunda hadi ubungo terminal asubuhi sana.. Je naweza kuiamini uber kwa maana ya ku request uber mapema asubuhi na ikafika kwa wakati maana nisije nikakaa nasubiri uber...
kwa wale wapenzi wa night-sky watching...(in fact tangu mwezi umeanza kuna sayari kama tatu zinaonekana kwa macho ukiangalia angani kuanzia jua linapozama..Venus, Jupiter na Mars..
Venus is due for a date with the moon tonight, July 15, with the two bodies appearing to dance within half an inch...
Tangu ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali yetu kutangazwa kumekuwa na watu wengi ambao wamekuwa wakiziponda ndege hizo wengi wao bila hata kujua ndege hizo ziko vipi. siko hapa kwa ajili ya kutetea upande gani ila nimeona ni vyema nilete uzi huu wa kuzieleze ndege hizi angalau kwa undani...
Nimeamini siku hizi barabarani wenye magari ni wengi kuliko madereva....Hizi tabia zina kera sana barabarani..kama na wewe huwa unafanya haya barabarani basi jua unakera wenzako:
1. Unakuta barabara ya njia(lanes) mbili halafu mtu anaendesha gari katikati ya hizo lane mbili afu unaenda...
Kwa wale wapenzi wa mambo ya kuchugulia angani..kupatwa kwa jua/mwezi, kuangalia nyota/satellite na mambo mengineyo angani najua watakuwa wanajua hii. Ila kwa wale wasiojua na wanapenda kujifunza :
International Space Station (ISS)
ni kituo cha utafiti kinachoelea angani (about 400KM above...
Kwa wale wapenzi wa mambo ya kuchugulia angani..kupatwa kwa jua/mwezi, kuangalia nyota/satellite na mambo mengineyo angani najua watakuwa wanajua hii. Ila kwa wale wasiojua na wanapenda kujifunza :
International Space Station (ISS)
ni kituo cha utafiti kinachoelea angani (about 400KM above...
Experience the soft landing of 767-300 at Arusha airport from KIA with Boeing 767-300 using flight gear..
http://youtu.be/hZsCthTBmE0
:plane: :israel: :plane:
KWA HISANI YA TANMO
Kutokana na kwamba JF imeweza kuwa mtandao mkubwa ambao imetokea kuwepo hata Masupastaa wake nadhani ni muda mwafaka kwa wajasiriamali tukaanzisha Gazeti letu ambalo litakuwa linatoa habari kuhusu watu maarufu wa Jf, nina imani tutapata soko.
hebu fikiria vichwa vya habari...
Kwa wale wapenzi wa window 8 kuna hii kitu ya Net framework 3.5 huwa inaboa sana sometimes hasa ukiwa huna internet na unataka kuinstall kitu huwa inagoma..sasa kuna hii njia nimeikuta mahali, kwa wale waliokwisha ijua hewala na kwa wale waliokuwa hawajui wabebe..
ili nisipoteze mda naomba nii...
Nna hizo software zote mbili dreamweaver cs6 na photoshop cs5. kuna ishu moja nataka kufanya ya kutengeneza kitu kama magazine hivi..kabla ya hapo nilikuwa nikitumia sana Fireworks kwa designing ya vitu vya kawaida, pia kitanbo kidogo nilishawahi kutumia sna photoshop nafkiri ilikuwa v2 au cs2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.