Search results

  1. alphoncee

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    MGOMBEA urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Dk Willibrod Slaa amesema, atayakataa matokeo ya urais yatakayotangazwa na Tume ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa kumefanyika wizi mkubwa wa kura.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Dk Slaa alisema, kama...
  2. alphoncee

    Elections 2010 Kutokujiamini kwa watanzania

    that is the perfect comment, ccm si wazazi wetu so haki kwanza ndio twahitaji
  3. alphoncee

    Elections 2010 Sheria kumi za uchaguzi

    Jumapili, Oktoba 31, tunapokwenda kupiga kura kuwachagua rais, wabunge na madiwani tufanye hivyo kwa kuzingatia sheria kuu kumi zifuatazo: Tambua kwamba kura ni silaha takatifu inayokuwezesha kumchagua Yule unayeamini kwamba unaweza kumkabidhi sehemu ya maisha yako na ukawa salama. Tumia...
  4. alphoncee

    Dr Kikwete Kumteua Dr.slaa kuwa MBunge?

    mbona bado watu wako kwenye mbio za uraisi, jk kamaliza lini hizo mbio za uraisi? au ndio tayari kazoea kuitwa raisi basi kamaliza kwa kusema anaanza kuchagua wabunge
  5. alphoncee

    Makampuni ya madini kufukuza wafanyakazi wanaounga mkono CHADEMA

    hebu tuacheni watu wasuport wanachopenda, kam mtu hapendi kula ugali ni lazima umlazimishe? jamani viongozi wa makampuni acheni wafanyakazi wafanye kazi na siasa ziacheni kam zilivyo
  6. alphoncee

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    awe mwadilifu na upendo kwa watanzania na rasilimali zake. apate uchungu anapoona watu wake wakilalamikia hali ngumu kimaisha. sio kuwa shujaa wa kutoa ahadi zisizotekelezeka huku mtanzania akipata mlo mmoja kwa siku ama kwa siku mbili
Back
Top Bottom