Search results

  1. L

    Wanasiasa tuokoke kama Jerry Muro.

    Leo 1/04/2018 Jerry Muro ameudhuria mambi Nigeria kwa Tb Joshua. Ktk kanisa la SCOAN dah, wacha na mm niache kutukana wapinzani wa Rais nimurudie Mungu wangu.
  2. L

    Sasa ni muda mwafaka kwa makampuni ya mafuta na gas kuingizwa kwenye Dar Stock Exchange

    Salaaam wanajamvi! Mimi kama ilivyo ada thread zangu ni chache lakini inalenga mule mule...... Ni muda sasa maswala ya uchakachwaji mafuta na ukwepaji kodi limekithiri hapa nchini na kuletea uharibifu wa magari na uchumi kuumia. Hivo basi kumaliza tatizo ili Mh.Rais amrisha waziri wa fedha...
  3. L

    Makongoro Nyerere anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa

    Kwako M/Kiti Taifa, Salaaam, Mimi kama mwanachama hai wa CCM na mtiifu kwa chama changu, naomba kutoa pendekezo la kumteua Bwana Charles Makongoro Nyerere kuwa katibu mkuu wa chama chetu, naamini ktk weledi wake na uwezo wa kujenga hoja za kisiasa hususani uwezo wa kujibu na kuhimili hoja za...
  4. L

    Adui yako leo anaweza kuwa mwokozi wako kesho

    Wasaalam, Your enemy today can be your savior tomorrow! Jamani tusambaze upendo pamoja na uzalendo kwa inchi yetu. Wote tunaotawala na tunaotawaliwa. Hakuna hajuae kesho ila ni Mungu tu. bali sisi wanadamu tunajua leo na jana. Mfn. watu kama akina Diallo, Magesa etc, na akina Lowasa, Dr. Sila...
  5. L

    Polisi msitoe siri ya nani kawatuma au nani kawapa habari

    Wasalaam, WanaJF, sijawahi hata siku moja kuisema polisi wetu ila sasa imebidi niliongelee hili jambo kidogo. Polisi wetu wakienda kufanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria, kama ku-arrest,kuvunja shughuli ya watu au mikusanyiko, ku-pigwa fine n.k watakuambia wametumwa na mtu fulani. Sasa...
  6. L

    Kiongozi mzuri ni yule ayehakikisha wateuzi wake wanajiamini na hawayumbishwi

    Wasalaaam, Ukiwa kiongozi ni sharti unapomteuwa mtu wakukusaidia mahala fulani ni lazima umpe mandate na uwezo wa kujiamini mahala pa teuzi yake. Na siyo unamwacha huku akiogopa aliowakuta na wanaomsakama kwa maslahi yao binafsi. Nimepata funzo nzuri sana kwa serikali hii ya awamu ya tano...
  7. L

    Moto wa Rais Magufuli ndani ya TANESCO ni hatari

    Wasalaam, Ndugu wanaJamiiForums, katika pita pita zangu nimeona na kugundua kazi kubwa, na mbegu mpya na bora ya uaminifu na uwajibikaji ktk nyanja zote, yaaani kwenye kilimo, biashara na kazini anayoipandikiza Mh.Rais ndani ya mioyo ya wananchi anaowaongozaa. Sasa mtu akipatwa na njaa haliyi...
  8. L

    Dr. Magufuli yuko sahihi na serikali yake, tubadilike

    Wasalaam, Juzi hotuba ya Mh.Rais kuna baadhi ya watu wanaiponda, mimi nashangaaa sana hivi watanzania tukoje? Nchi hii jamani tulifikia pabaya sana kwa serikali kuendeshwa kwa ghiliba, uongo, udanganyifu, unafiki, na kupakaziana bila kuwa wakweli, tukaomba tumpate Rais atakae kuwa mkweli...
  9. L

    Anga la Tanzania kiuchumi limefunguliwa, hongera Dr. Magufuli

    Wasalaam, Mungu ni Mkuu, kwa maana kilio cha watanzania na Afrika nzima ilikuwa ni juu ya uongozi Bora wenye maslai mapana kwa wananchi wa kipato cha chini, Baada ya kizazi cha viongozi waasisi wa mataifa mengi ya Afrika kama JK Nyerere, Nelson Mandela, Nkuruma,P Lumumba,Obote na wengine wengi...
  10. L

    ACT - Tanzania sasa yakanwa hadharani

    Jana 1/4/2015 baadhi ya wabunge CHADEMA waliohusishwa kujiunga na ACT waliikana tena kwa kusema kuwa waliowashutumu kujiunga ni wazandiki! Mh. John Paul Shibuda ALISEMA HAGOMBEI Ubunge maswa na ahami CDM , Mh.Halima Mdee alisema naipenda chadema zaidi ubunge na watu wanaojiita ACT wanajoin...
Back
Top Bottom