Search results

  1. K

    Elections 2010 Takwimu za waliopiga kura 2010 - Angalia, Fikiria, Amua

    Mimi sio Rais wangu kwa maana tangu anaingia madarakani sijawahi kumpigia kura. Siwezi kumpa kura yangu mwizi na anayekubali wezi wenzie wazidi kuibia Watanzania. Hafai kuwa Rais anafaa kuwa chekibobu na kukenua kenua tu.
  2. K

    Namchukia Jakaya Kikwete

    Mwenye matatizo utamjua kati ya wote waliochangia ni wewe tu. Utazoea wewe na familia yako sie tunamchukia kweli kweli. Aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. K

    Namchukia Jakaya Kikwete

    Mimi hata la kueleza sina ila namchukia kuliko, nadhani wengine wanajaribu.
  4. K

    Elections 2010 Takwimu za waliopiga kura 2010 - Angalia, Fikiria, Amua

    Taarifa na takwimu uchaguzi wa Tanzania Watanzania walipiga kura tarehe 31 Oktoba 2010. Uchaguzi huo ulikuwa muhimu kwa nchi hii hasa kwa kuwa chama tawala hakijawahi kutolewa madarakani tangu ilipopata uhuru mwaka...
  5. K

    Elections 2010 Hongera mh. Dk. Jakaya M. Kikwete

    Kweli wewe ni "Shake well"
  6. K

    Dr. Slaa afanya mazungumzo na Balozi wa Marekani

    Coby: Hata mimi nataka yawe hivyo magumu magumu sana ili yawafundishe wasiofundishika. Vilaza wapo wengi.
  7. K

    Elections 2010 Mpendazoe apinga matokeo mahakamani

    Big up Mpendazoe. Kaza buti.
  8. K

    Baada ya yote

    Mpe maneno Dena Amsi nadhani haelewi.
  9. K

    Baada ya yote

    Kama ni nyumba ndogo kweli! Umechoka kuishi nadhani. Unatafuta kifo kwa lazima. si vema
  10. K

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    Ritha Mlaki tena du! Hana jipya huyo.
  11. K

    Elections 2010 Tuwachambe Nakaaya na Mtatiro

    Kila mtu atarudi kundini.
  12. K

    Elections 2010 Tuwachambe Nakaaya na Mtatiro

    Sensa mwenyewe shoga. Nilishakuona hata mimi ya kwako matatizo mbona ulishindwa kuyasolve.
  13. K

    Elections 2010 Mrema aapa kuivuruga Chadema

    mtoto wa miaka 4? Miaka 4 ni mingi sema wa mwaka 1 miezi 8.
  14. K

    Elections 2010 Dr. Slaa nyanda za Juu Kusini: Songea, Iringa, Mbeya (picha na habari)

    Najisikia mwenye furaha na kupata burudani sana. Dr. Slaa SHINDA SHINDA TENA KWA KISHINDO. Hakuna ubishi hapa. Kikwete hatukuhitaji tena tumechoka na ahadi hewa. Tunahitaji mabadiliko. Elimu bure. Dah! nani zaidi.
  15. K

    zumas family tree

    Umenena mzee. Ni ukweli kabisa.
  16. K

    zumas family tree

    Hii inatia fola wajameni. Watanzania msiige tabia ya namna hii. Haipendezi hata kidogo.
  17. K

    Mrembo amependeza sana

    sijaona alichopendeza bana.
  18. K

    Elections 2010 Uozo CCM! Mgawanyiko, kupoteza viti

    mwaka huu CHADEMA. Hakuna ubishi anayekataa na akatae. DR. Slaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom