Search results

  1. Nkobhe

    Hongera sana Hussein Bashe

    Huwa Akili inapotea wanapokuwa mawazili humuoni nape alivyo kuwa ni tofauti na sasa hivyo basi akae hivyo hivyo
  2. Nkobhe

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Niko hapa live TBC wako na hifadhi ya saadani tuuuu hakuna hata update yoyote
  3. Nkobhe

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    hapa naona ccm wanamwaga mboga kwa plan b baada ya plan a kufel
  4. Nkobhe

    Utabiri: Nape kuwa Katibu Mkuu wa CCM, aandaliwa kumrithi Kinana

    wamuweke tuuuu ule wa sadism is inevitable ule anafaaa sana ule jamaaa
  5. Nkobhe

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    kumbe ndio maana katumbuliwa na Dr kafumu na usomi wake hakupewa wizara yyte nacho myshukuru Mungu Jpm huwa anakupima uzarendo wako kwa nchi ndio unapewa wizara ukizingua tuuuu unapigwa za uso wazi wazi
  6. Nkobhe

    Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

    mhuuuuu mhuuuuuu yamekua hayo tena
  7. Nkobhe

    Kigoma JF users connect

    ubhuki ulisha indosho wi shavu ameneke
  8. Nkobhe

    Harakati za kusaka ajira zinaendelea sasa NFT

    wasiwe kama regent consultant matapeli wengi sana siku hizi
  9. Nkobhe

    Ukweli kuhusu hii company kama imesajiliwa na serikali REGEN CONSULTANTS CO. LTD

    mimi mwenyewe nimetumiwa hio email na SMS sijawaelewa kabisa Mbaya zaidi ni hio 20000 sijaijua iseeee wataalamu njooni mtusaidie na deadline ya kulipa hio hela Leo saa nimeingia kwenye website yao sijaielewa vizuri
  10. Nkobhe

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Kazi ya Mungu haina makosa apumuzike kwa aman
  11. Nkobhe

    Rais Dkt. Magufuli ahudhuria ibada ya Christmas mjini Singida, atoa Siri ya Ushindi wake wa 2015

    Hivi nyie ukawa hamnaga jema wala baya yote hivi ni sawa!!!!!!!!!!! huwa naaangalia comment zenu zote ni za kinafiki mno laaaa sijui mnataka lipi hapa Tanzania ufisadi ilikua ajenda yenu sasa hivi mnawatetea, Dr Presida kaenda kusali hamtaki, sikuhizi vya mchakato havipo nyie mnavitaka vya...
  12. Nkobhe

    Gazeti la the Citizen, Waziri Mwigulu Nchemba & JamiiForums: The 5th estate Strikes back

    Ni kweli iseee sie ambao hatuna upande tunaingia king bila kujijua wengine wakiwa kazini na tunajifanya kuchangia bila kujua impact ya baadae
  13. Nkobhe

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Pumzika kwa Amani Mzee Sitta. Pole kwa Mama Magreth Sitta na familia nzima
  14. Nkobhe

    Rais Magufuli aagiza watumishi wawili waliomdanganya JNIA kuchukuliwa hatua

    wewe nafikili hujielewi na kama ni mihemuko kahemukie kwa mkeo bwana mdigo
  15. Nkobhe

    Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    sio barua hio Bali ni hotuba sasa!!!!!!! someni nyie kwanza
  16. Nkobhe

    Prof. Lipumba atengua uteuzi wa Wakurugenzi na Manaibu wa CUF

    Nyie ingizeni mihemko tuuu prof kashachukua point Tatu za mezani na mzarau mwiba ........ Kazi kwenu yy sio mjinga kufanya hivyo kasimamia nguzo NNE hapo hayumbi time will tell
  17. Nkobhe

    Serikali ondoeni matochi barabarani magari yaende, abiria tunachoka na kukereka

    Wewe unahamu ya kufa kibudu na sio bule na unatakiwa ukapimwe Akili mapema kabla hujasabisha hasara kwa jamiii au kabisa ushikwe unyongwe kesho uwanja wa taifa kabla ya mechi ya simba na yanga ili iwe fundisho pubavu kabisa wewe
  18. Nkobhe

    Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Mlisema Rais aseme sasa kasema kazua wengine tena je angefika huko huko je c yangeongezeka wengine?
  19. Nkobhe

    Namna Magufuli alivyopimana ubavu na akina Kagame Ikulu

    Hii thread imeanza vizuri tatizo uchadema na uccm ndio umeiharibu hiii nchi nani aliye iloga jamani maendeleo hayana chama kitu chenye masirahi ya nchi tuwe tunashirikiana ndugu zanguni hiii nyumba ni yetu sote tunanyanganyana fito ili iweje?????? Nawasi wasi kama tutafikia malengo ya maendeleo
  20. Nkobhe

    NACTE DIPLOMA

    hapo unatakiwa kucheza na opportunity cost kazi kwako
Back
Top Bottom