Search results

  1. saidi kalindura

    Natafuta kazi ya ya udereva

    Ndio 60 kwa siku
  2. saidi kalindura

    Natafuta kazi ya ya udereva

    Habari wandugu . naitwa saidi Rashidi napatikana wilaya ya ilala mkoa was dar as salaam mtaa wa bombani kata ya pugu. Naleta kwenu ombi langu LA kutafuta gari ya kazi aina ya Haice hesabu napeleka kwa siku 60. Kwa mwenye nayo au anamjuwa mwenyewe nayo na basi naomba tuwasiliane . 0712378559 pia...
  3. saidi kalindura

    Natafuta kazi ya ya udereva

    Habari was ndugu Mimi no dereva was gari na ni mkazi wa pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani. Naleta kwenu maombi ya connection kwa yeyote mwenye gari aina ya Noah au sienta au zinazofanana na hizo. Naitaji kwa ajili ya kazi huku wilaya ya kisalawe na hesabu kwa wiki laki mbili...
  4. saidi kalindura

    Natafuta kazi ya ya udereva

    Habari waungwana. Naitwa saidi Rashidi. Naleta kwenu ombi kwa yoyote mwenye bajaj au kuna MTU anamjuwa ana bajaj ya mkataba naomba aniunganishe nae sio lazima iwe mpya hata kama imetumika tutaangalia miezi tu. Mimi nakaa dar es salaam wilaya ya ilala eneo LA pugu mtaa wa bombani...
  5. saidi kalindura

    Natafuta gari(Noah) ya kufanyia kazi

    Nna kazi ya kutembeza wakaguzi wa shure wilayani.
  6. saidi kalindura

    Natafuta gari(Noah) ya kufanyia kazi

    Habari wandugu. Naitwa Saidi Kalindura mkazi wa Pugu mtaa wa bombani wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari aina ya noah au inayofanana na hiyo na yupo tayari tufanye kazi basi tuwasiliane ili tuyajenge. Mimi ntatoa hesabu ya wiki laki mbili. Tsh...
  7. saidi kalindura

    Natafuta kazi ya ya udereva

    Uko sawa kabisa mkuu maana usawa huu kukaa bila kazi ni mtihani mkubwa mwanzo mgumu lakini naamini ukiwa na kazi kupata kazi nyingine lahisi.
  8. saidi kalindura

    Natafuta kazi ya ya udereva

    Poa kaka nipo tayari kufanya kazi niunganishe tu na hao jamaa namba zangu ndo hizo juu.
  9. saidi kalindura

    Natafuta kazi ya ya udereva

    Leseni yangu ni daraja A,B,D,E,C,C1,C2,C3. Naombeni msaada wenu waungwana gari yoyote nafanyia kazi uber ili mradi tu uber waikubali. Mawasiliano.. 0783213411.
  10. saidi kalindura

    Natafuta kazi ya ya udereva

    Nimefanya hii kazi Kwa muda wa miaka mitatu na nimefanya trip zaidi ya elf mbili na mia sita therasin 2630.mtu pia akitaka habari zangu zaidi tunaenda kwanza uber wanampa.
  11. saidi kalindura

    Natafuta kazi ya ya udereva

    Hbr wanajamvi. Mimi ni dereva mwenye leseni deraja C Natafuta gari ndogo ya kufanya nayo uber. Nna uzoefu wa miaka mitatu na uber. Mawasiliano ni 0783213411
  12. saidi kalindura

    Tusichoelewa kuhusu Homa ya Dengue

    Sawa hapo umechanganya lugha sana amua kama kiingereza andika na kama umeamua kutumia kiswahiri tumia kiswahiri. Unajuwa unaweza kuwa ulikuwa na mada nzuri sana sasa ni jinsi gani unavyoiwakilisha kwenye jamii ndo tatizo na wengi wenu mnachemsha hapo na kiswangilish chenu.
  13. saidi kalindura

    TRL (SGR) wakazi wa Pugu station hatuwaelewi

    Asante kwa ushauli na uwe na siku njema.
  14. saidi kalindura

    TRL (SGR) wakazi wa Pugu station hatuwaelewi

    Asante kwa ushauri uwe na siku njema.
  15. saidi kalindura

    TRL (SGR) wakazi wa Pugu station hatuwaelewi

    Ipo tumeeda hawana jibu la kinachoendelea.
  16. saidi kalindura

    TRL (SGR) wakazi wa Pugu station hatuwaelewi

    Dah. Mbona kazi ipo kama hivyo.
  17. saidi kalindura

    TRL (SGR) wakazi wa Pugu station hatuwaelewi

    Habari wana jamvi humu.siku kadhaa sasa zimepita tangu hawa watu wa reli ya umeme sgr wapite mtaani kwetu na kutuwekea alama ya kutakiwa nyumba zetu tubomowe kwa kuwa mradi wa huu wa train ya umeme unapita kwenye maeneo yetu hapa pugu station na kwa maelezo yao hatutakiwi kufanya jambo lolote...
  18. saidi kalindura

    Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Mimi ni dereva wa uber nawashauli tu wadau tumieni huduma hii ni nzuri sana sisi madereva tupo kwa ajili yenu na pia nafulahia kufanya kazi na uber kwa kuwa kila kitu kinaenda kigital zaidi hakuna mambo ya kupatana bei wala kugombana. KARIBU UTUMIE USAFILI WA UBER..
  19. saidi kalindura

    Je, Rais mstaafu Kikwete, alikusudia nini kwa matamshi haya?

    Sasa mbona kiswanglish.? Amua moja kama ni kuandika kiswahiri au kiingeleza we unadhani kila mtu anaelewa hicho kimombo chako.
Back
Top Bottom