Search results

  1. G

    Kabati na washing machine vinauzwa

    Habari za asubuhi. Ninauza kabati la milango mitatu, material ya MDF kwa sh. 350,000 Pia nauza washing machine kwa sh. 550,000 Dolphin, automatic, 12 kg Inafua, kukamua, na kukausha kwa 90% Ina miezi miwili tangu inunuliwe na haina shida yoyote Vyote vinapatikana Sinza kwa Remi Wasiliana...
  2. G

    Naomba wasifu wa gari aina ya Toyota Rav 4 kill time

    Nipo interested na gari la ina hii. Naomba wenye uzoefu waje kushare Gharama, Uzuri na Ubaya wa gari hili n.k
  3. G

    INAUZWA Vifaa vya mazoezi vinauzwa

    Plate 8 za 5kg Barbell ya 1.5 metres Bars ndogo mbili kwa ajili ya dumbbell Bei: 250,000 Zipo: Sinza Remy Mawasiliano: 0685661790
  4. G

    INAUZWA Kabati la nguo linauzwa

    Ni la milango mitatu Material yake ni mdf Bei ni 350,000 Lipo Sinza Remy Mawasiliano: 0685661790
  5. G

    Naulizia Oatmeal. Wapi naweza kupata

    Habari za jioni. Natafuta hii kitu inaitwa Oatmeal, ni nzuri sana kwa mahitaji ya Protein mwilini. Wapi zinauzwa niweze kununua
  6. G

    Watoa huduma ya internet ya fiber Sinza

    Habari za asubuhi. Naomba kufahamishwa watoa huduma ya internet kwa fiber wanaofika cover maeneo ya Sinza
  7. G

    Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

    Habari za jioni. Nna uhitaji wa huduma ya kupata internet unlimited ambayo nitakuwa nalipia gharama fixed kwa mwezi. Nimechoshwa na vifurushi vya mitandao yetu
  8. G

    Naomba ushauri juu ya kifaa nnachohitaji hapa

    Nina TV yangu Hisence LED. Nataka niipe uwezo wa kuwa smart TV. Interest yangu ni kuwa niweze 1. Kuaccess Netflix 2. Kuaccess youtube na kustream huko 3. Kuaccess football streaming applications kwa ajili ya kuangalia mechi mbali mbali za mpirs nje ya dstv Naambiwa nahitaji kuwa na android tv...
  9. G

    Naomba ushauri, gari ipi nichukue kati ya Toyota Voltz na Toyota Ractis 2011

    Katika pita pita zangu nimetokea kupenda gari hizi 1. Toyota Voltz 2. Toyota Ractis 2011 Naomba pros and cons za hizi gari. Mimi shughuli zangu ni hapahapa mjini, sina safari za mbali. Zote mbili naweza kuzimudu mafuta na matengenezo. Ipi inafaa hapo?
  10. G

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Buguruni

    Habari za jioni. Karibuni kununua kiwanja chenye nyumba ndani, kipo fenced. Eneo ni Buguruni Kisiwani. Bei ni millioni 70. Kwa atakayependelea awasiliane kwa namba 0784307401. Huyu ni mmiliki mwenyewe wa kiwanja.
  11. G

    Naomba kujuzwa taratibu za Ku-renew leseni ya Udereva

    Habari za jioni, Naomba kufahamishwa utaratibu. Nina leseni ya udereva ambayo niliipata mwaka 2014, ika-expire 2017. Nilipitia driving school na kupata cheti kabla ya kupata leseni. Tangu 2017 sikuwa na gari na hivyo sikwenda kurenew leseni yangu. Sasa nimepata gari na nahitaji kupata leseni...
  12. G

    Sijajua mnajikinga na nini au mask zimekuwa ni fashion tu?

    Mtu amejitoa ameshonesha barakoa kali za kitambaa au kitenge au amefanikiwa kuoata surgical mask au hata n95. Ila muda mwingi unakuta barakoa imeshushwa chini haifuniki pua kabisa na wakati mwingine hata mdomo haifuniki. Sijajua mnajikinga na nini au mask zimekuwa ni fashion tu. Tatizo...
  13. G

    Utaratibu wa kupata huduma za afya umekuwa mgumu sana siku hizi

    Utaratibu wa kupata huduma za afya umekuwa mgumu sana siku hizi, imekuwa balaa kwa ndugu zetu wanaoumwa. Ndani ya huu mwezi nimeshuhudia rafiki yangu akimpoteza binamu yake na babu yake bila kupata matibabu yoyote. Wagonjwa wanakataliwa kwenye mahospitali na wanazungushwa sana. Huyo binamu...
  14. G

    INAUZWA Dumbbells zinauzwa

    Habari za jioni mabibi na mabwana. Matumaini yangu mko salama salmin. Ninaleta kwenu hizi dumbbells zangu ninazoziuza. Sifa: 1. Ni pair moja ya dumbbells branded 2. Ni adjustable, unaweza ukaongeza au kupunguza plates hadi kufikia uzito unaotaka 3. Zimetumika kama 6 months hivi 4. Inakuja...
  15. G

    Swali kuhusu suala la uraia wa Tanzania

    Habari za usiku mabibi na mabwana wa JF. Kuna jambo ambalo ningependa kujua kutoka kwa yoyote mwenye ufahamu nalo. Kuhusu Uraia wa Tanzania, nimesoma Citizenship act ya Tanzania kuwa inatambua uraia wa aina tatu: Wa kuzaliwa (citizenship by birth), citizenship by descent na by...
  16. G

    Tubadilike. VVU/UKIMWI havitakuja kuisha kama tutaendelea kuendekeza haya

    Habari za asubuhi. Ni matumaini yangu wenzangu ni buheri wa afya. Kuna hii kitu nilikuwa natafakari jinsi hali ilivyo kwa sasa katika jamii yetu. Kuna trend ambazo naziona ambazo zinaturudisha nyuma katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu. UKIMWI upo jamani. Sisi tunaofanya kazi sekta ya afya...
  17. G

    Damn your eyes

    I can do what I want, I'm in complete control That's what I tell myself I got a mind of my own, I'll be alright alone Don't need anybody else! I give myself a good talking to No more being a fool for you I remember how you made wanna surrender Damn your eyes They're taking my breath away For...
  18. G

    Kwa wale ambao hatupendi kazi tunazofanya tukutane hapa

    Najua watu wengi sana ambao wapo katika kazi au ajira fulani ambayo kiukweli hawaipendi/hawaifurahii. Je unapambana vipi na changamoto unazokumbana nazo? Umeweka mikakati ipi kuweza kujinasua? Mimi nimesomea sekta ya afya na naimudu kiukweli upande wa ujuzi na utaalamu. Najitahidi sana kufanya...
  19. G

    Hii inamaanisha nini

    Nampenda ananipenda. Tumefahamiana kwa muda kama wa mwezi mmoja. Siku hiyo ananialika nyumbani kwake tuonane baada ya kutoonana muda mrefu. Najiandaa freshi naenda. Njiani napitia keki na yoghurt kama zawadi. Nafika kwake ananipokea kwa fujo, kiss na hugs za kutosha. Ananilisha keki na...
  20. G

    Wanaume karibuni tutengeneze na kunywa juice ya mchanganyiko huu

    Mahitaji: Vitunguu swaumu kadri uwezavyo Tangawizi kadri uwezavyo Asali mbichi kwa ajili ya ladha. Andaa viungo vyako (vitunguu na tangawizi), weka kwenye blender na maji ya kutosha. Saga hadi itengeneze juice/uji fulani hivi. Chuja kwa kutumia chujio upate juice. Weka asali kwa kiwango...
Back
Top Bottom