Search results

  1. Mtuflani

    CHADEMA yawa sehemu ya ufisadi

    Inasikitisha kuona chama kilichojipambanua kupinga ufisadi kikishirikiana na watu kinaowasema mafisadi katika kuwaibia watanzania kupitia mafao ya kikomo cha ubunge bila hata kuifikiria nchi na watumishi wengine wa umma jinsi walivyo na maslahi duni. Sasa naanza kuelewa kwa nini Zitto Kabwe...
  2. Mtuflani

    Msaada: Printing Company

    Habari Wadau. Ninapenda sana hapo baadae nifungue kampuni ya printing itakayotoa huduma zifuatazo: Kuprint banners,calenders,magazines,billboards,tshirts,n.k pamoja na kufanya graphic designing. Naomba kujua mchanganuo wake uko vipi hasa kuhusu bei ya mashine ya kuniwezesha kuprint magazines...
  3. Mtuflani

    Kipi bora ?

    Habari wadau. Hebu tujadili wadau. Kipi bora kati ya hivi katika kuanza maisha, Kukaa gheto na mshakaji wako ili kupunguza gharama au Kukomaa mwenyewe peke yako ? Hii ni pale unapokua ndo unaanza maisha. Naomba tujadili wadau.
  4. Mtuflani

    Msaada: Mafua yananitesa jamani

    Habari wadau. Mwenzenu toka nizaliwe mafua yananipa shida sana hadi nmekua mtu mzma sasa naona ni kero. Naombeni ushauri ni dawa gani nitumie kutuliza au kuponya kabisa hii kitu coz inanikera yaani vumbi kidogo,harufu ya perfume,upepo,manyoya vinaniletea taabu. Naomba msaada wanajamvi.
  5. Mtuflani

    Ahsante MUNGU, Utumishi wameniokoa.

    Ndugu zangu, Namshukuru sana MUNGU leo nmepata kazi kupitia utumishi katika moja ya taasisi za serikali. Ningependa kuwatia moyo wenzangu kwamba msikate tamaa muendelee kutafuta na kumuomba MUNGU sababu hata mimi nmeapply kazi nyingi sana mpaka kuja kupata hii. Nawashukuru sana kwa michango...
  6. Mtuflani

    Lips kukauka na kutoa magamba

    Habari Wadau. Nna tatzo toka nmezaliwa lips zangu zinakauka na kutoa magamba hivyo inabidi niyatoe kwa kukwangua na mkono au kung'ata lips. Je kuna dawa ya kutibu hii kitu coz inanikera kwa kweli.
  7. Mtuflani

    Msaada biashara ya usafi kwenye maofisi

    Habari Wadau. Nna wazo la kufanya biashara ya usafi kwa maofisi kwa kufungua kampuni ya usafi. Naomba mchango wenu wazoefu wa biashara hii hasa uendeshaji wake na jinsi ya kupata clients. Thanks in advance.
  8. Mtuflani

    Msaada: Instructor

    Habari wadau. Nimeitwa kwenye interview ktk post ya Instructor kwenye moja ya chuo flani hivi. Naomba kujua je nikijiendeleza naweza kuwa nani kwenye sekta ya elimu ? GPA yangu ni 3.4
  9. Mtuflani

    MUST waanza kuita

    Interview tar 20/10 saaa 2 asubuhi. Kuna mdau mwenye info zaidi ??
  10. Mtuflani

    Nimr nimr nimr

    Kuna yoyote aliepata updates kutoka kwa hawa jamaa ?
  11. Mtuflani

    First Class

    Habari Wadau. Leo nimekuja kusisitiza jambo moja tu kwa wanachuo nalo ni kusoma kwa bidii na kuweka nia ya kupata first class coz najua ukilenga first class, upper second utaipata kwa bahati mbaya. Ajira zimekua ngumu sana na ufaulu wako bila kujali chuo wala course ndio vitakavyokupa value na...
  12. Mtuflani

    Msaada: Mbinu za kupata kazi

    Dah! Wadau game tyt mno hizo kazi za kwenye matangazo nimeapply kibao ila naona kimya tu. Wadau wenye uzoefu naomba mnisaidie mbinu za kupata kazi naona sasa hadi nakaribia kuwa chizi kwa ujobless. Thanks in advance.
  13. Mtuflani

    Rasello ya Tanzania yazidi kupaa. Sasa ndani ya Forbes

    Kampuni ya kitanzania ya Rasello inazidi kupaa kimataifa baada ya kuwekwa na jarida la Forbes katika list ya makampuni matano bora kutoka Afrika katika upande wa technology na innovation. Kwa taarifa zaidi soma hapa...
  14. Mtuflani

    Kampuni ya Tanzania yafanya maajabu Marekani

    Habari Wadau. Kampuni ya Kitanzania ya Rasello imefanya maajabu kwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania taji la Kampuni bora inayochipukia yaani StartUp. Ewe Mtanzania mwenzangu onyesha uzalendo kwa kuipigia kura kupitia hapa http://webitcongress.com/en/webit/2013/startupvote.html/264...
  15. Mtuflani

    Msaada: Nahitaji kusoma Bachelor degree ya pili

    Habari Wadau. Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine. Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida. Thanks in advance.
  16. Mtuflani

    Msaada mishahara sekta ya Ujenzi

    Habari Wadau. naomba kujua mishahara sekta ya ujenzi kwa wenye degree na kuendelea especially upande wa construction economics and management
  17. Mtuflani

    Upatikanaji wa Kazi

    Habari wadau! Rafiki yangu yupo dissapointed sana anasema amepata GPA ya 3.4 kamaliza Compute Science degree anauliza kama anaweza kupata kazi kwa hizo grade maana anasema amesikia kwa watu kwamba bila Upper second kazi hapati. Ushauri wenu muhimu wakuu.
  18. Mtuflani

    Wapingaji wa Serikali Tatu wanahoja nyepesi!!!

    Habari Wadau. Nmesoma hoja nyingi sana za wanaopinga serikali tatu na "to be honest they are very weak" kutokana na sababu zifuatazo: 1.Hoja ya gharama Ukimsikiliza mwenyekiti wa tume amebainisha dhahiri jinsi mgawanyiko wa wizara utakavyokuwa na jinsi gharama zitakavyopungua kutokana na hayo...
Back
Top Bottom