Search results

  1. Z

    Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

    Je ni busara kutumia handle ya wizara ya afya kutoa ujumbbe wa kidini? WAZAZI NA WALEZI WASIMAMIENI WATOTO KUSOMA DINI Na. WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaasa wazazi na walezi nchini kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ya Dini ikiwemo kuwasomesha Qur’an sambamba na...
  2. Z

    Wonder Oil

    Lavish, versatile multi-use oil for massage, bathing or a pre-shampoo treatment for dry hair. With Hydracare+, antioxidant, tonic Ginger Oil, nourishing Coconut Oil, Vitamin E and Sweet Almond Oil to beautify and improve texture Ina matumizi mengi: Kama sabuni ya kuogea Inaboresha nywele...
  3. Z

    Offer: Forever Living Product

    Forever Multi Maca
  4. Z

    Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Ni hapa Bamaga,Traffic wa kike alikuwa anajaribu kusimamisha gari kumbe lilikuwa nyuma ya msafara. Pamoja na kumgonga, msafara haukusimama
  5. Z

    Msaada Printers/Graphic design softwares

    Wadau, Nilikuwa naomba msaada kidogo kwa wale wenye uzoefu wa haya mambo. Ni printers za aina gani za size ya kati(siyo heavy duty wala tudogo kabisa) ambazo zinafaa ku print brochures/vipeperusi vikaonekana vimetengezwa professionally… Na kati ya hizi software za ku design graphics ni ipi...
  6. Z

    Nani vinara wa Tanzania

    Wakuu, Naomba msaada wenu katika hayo mambo niliyoyaorodhesha hapo chini ili kufanikisha utafiti wangu mdogo kuhusu Internet Business hapa TZ 10 Most popular Blogs 10 Most popular Community Websites/ Online Forums 5 Most popular E-Business websites 5 Most popular Travel Websites- Hizi ni...
  7. Z

    Msaada wa haraka...... Antivirus!

    Wakuu nilishawahi ona thread yenye software na keys zake. Kama kuna mtu anaikumbuka naomba anipe link yake ...nilikuwa natafuta antivirus software haraka iwezekanavyo!
  8. Z

    Wamiliki wa baa Zanzibar watakiwa kuzilinda

    Mwandishi wa Polisi, Zanzibar JESHI Polisi visiwani Zanzibar, limewaagiza wamiliki na wafanyabiashara wa baa visiwani humo, kuchukua tahadhari kwa kuweka walinzi imara katika maeneo yanayozunguuka nyumba za biashara hiyo, ili kuepuka matukio ya uchomaji wa baa zao. Rai hiyo ilitolewa...
  9. Z

    Hebu nisaidieni!

    Leo wakati najikumbushia program fulani ya computer nilikutana na formula ya kupata mwezi wa pili una siku ngapi kati ya 29 au 28 katika mwaka husika. Nimejiuliza sana ....hivi kama ulizaa mtoto tarehe 29 february 2000 leo hii huyo mtoto atakuwa na miaka mingapi? 11 au 2 au 11 toa siku chache...
  10. Z

    fainali copa america

    Wakuu hii fainali inachezwa kwenye saa ngapi hivi kwa muda wa Tanzania??
  11. Z

    Miamba ya mitihani

    Walipasua daraja la kwanza kidato cha sita Wazawadiwa kitita cha fedha, kompyuta Watambulishwa bungeni, Bunge larindima Wanafunzi 20 waliofanya vizuri katika mtihani wa Taifa wa kidato cha sita mwaka jana wakiwa Bungeni ambapo walizawadiwa jana bungeni mjini Dodoma na Waziri...
  12. Z

    Polisi kumkamta Mbunge kwa nguvu

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza huenda likamkamata Mbunge wa Busega kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Titus Kamani, ili kumhoji kuhusiana na tuhuma za kutaka kumuua aliyekuwa Mbunge jimbo hilo, Dk. Raphael Chegeni. Tayari Jeshi hilo limekwisha kumwandikia barua Katibu wa Bunge la...
  13. Z

    Viongozi wa dini: Tumechoka wageni kunufaika na rasilmali za Watanzania

    VIONGOZI wa dini mbalimbali nchini wamesema wamechoshwa kuona wageni wakinufaika zaidi na rasilmali za taifa kama madini ambazo ni mali ya Watanzania huku wakiwaacha wananchi wakibakia kwenye umaskini wa kutisha. Katika tamko lao la pamoja lilitolewa jana na kuhusisha viongozi wa...
  14. Z

    Wachina wamchapa makofi mkuu wa kituo cha polisi

    VURUGU kubwa zilizuka juzi kwenye kituo cha Polisi Babati Mjini mkoani Manyara baada ya wafanyakazi wa kampuni inayojenga barabara ya Chico, raia wa China kumpiga mkuu wa kituo hicho, ASP Shaaban Minginye na mkuu wa polisi jamii mkoani humo, ASP Morris Okinda. Tukio hilo lililodumu kwa saa...
  15. Z

    CCM wapanga kuhujumu CHADEMA

    MKAKATI wa makusudi umesukwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kudhoofisha jitihada za kisiasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), MwanaHALISI limeelezwa. Mkakati unalenga kuzuia viongozi wakuu wa CHADEMA kufanya kazi za kisiasa na hata za kibunge; kwa kuwapotezea muda katika...
  16. Z

    Mauaji ya Nyamongo: CCM wawaunga mkono CHADEMA

    Wenyeviti wa vijiji vitatu vilivyopo Kata ya Nyamongo, wilayani Tarime wametua jijini Dar es Salaam na kueleza wanaunga mkono viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutetea haki za wananchi wa eneo hilo. Wakizungumza katika kikao cha pamoja na wananchi wa Nyamongo wanaoishi...
  17. Z

    Shamba linauzwa

    kkkkkkkkkkkk
Back
Top Bottom