!!! Zitto auawe kwa lipi, na hata akifa chama cha chadema bado kimesimama imara, na ukiangalia kwa makini huyu zito ni MAMLUKI anatakiwa avuliwe uanachama, kama mtakumbuka aliwahi kusema kuwa kwa sasa anagombea mbunge na mwaka 2015 atagombea urais kwa chama gani hasa. Ndiyo maana na sema...
Ndg yangu Leornado, nakupongeza kwa topic yako yenye kuleta ujasiri. Ndg zangu wapenda maendeleo, Wengi wameongea mengi kuhusu Tanzania yetu kuhusu utawala ulioko madarakani, mengi yamesemwa na yanaonekana kwa macho.
Watu wengi wanateseka ktk nchi hii na hawana mwelekeo ktk maisha yao ya kila...
Mbeya to chine! Tanzania technology inakuwa, inawezekana huyu binti ni kweli alikuwa anasafiri na babu yake lakini kutokana na maadili wameamua kuficha hapo. Mafisadi sisi wachawi sisi mengine tufiche.
Wabongo wanalilia mahakama ya kadhi, mbona wanajipalia mkaa kwenye kidonda? Wangapi watapona hapa Bongo. Kwa sababu watu wengi wanapenda tundi na wanafanya kila kukicha. Nampongeza kikwete kukataa hiyo mahakama, lakini kunatetesi wamejipanga tena kumwomba JK aipitishe. Yetu macho.
Dear Penny,
pole kwa kuumwa. Penny hakuna haja ya kuogopa kwa sababu unaweza kupigwa sindano ya ganzi shingoni na ukafanyiwa oparation bila tatizo. Kwa sababu unavyozidi kusogeza tarehe ndivyo ugonjwa unavyozidi kukuwa. Mimi nakutakia upone haraka urudi JF Ukiwa mzima. BEST WISHES AND GET WELL...
Kaka mi mwili wote umekufa ganzi kwa kuyasikia hayo, najua iko siku ambayo haina jina Mimi na wewe tutakuwa huru na zaidi ya yote kwa Mkono wa Mungu tutashinda.
Wapendwa wanajamii, naleta kwenu malalamiko yangu kwa masikitiko makubwa, kuhusu hawa dada zetu wanaojiuza nyakati za usiku. Upelelezi wangu umekamilika ndio maana naleta hoja,hapa Tanga nimejaribu kumhoji dada mmoja ambaye hujishuhulisha na kazi hiyo. Na nilipo muuliza kwa nini anajiuza kwanza...
Hi, wanajamii.
Nimekuwa nikifikiria kwa siku nyingi, tokea Mwl. J.K.Nyerere atutoke, Mwl aliiacha nchi ikiwa na neema na upendo, hakuna ukabila wala ubaguzi. Kwanini sasa uharibifu unatokea kila kona? Je ndio kusema Mwl ameondoka na yake kwa nini basi viongozi wa leo wanadai wanayaendeleza...
Uhuru wa mtu haununuliwi kwa pesa, mambo ya kula nyumbu shku moja na kuteseka miaka 5 wakazi wa Arusha sasa basi.
Uhuru wa mtu haununuliwi kwa pesa, mambo ya kula nyumbu siku moja na kuteseka miaka 5 wakazi wa Arusha sasa basi
Yap, ni kweli hayo yametokea sio fire kama mdau alivyosema ni kata ya olasiti, na gari liko police limevunjwa vioo. Na chadema wako Unga limited leo wanafanya mkutano, mmh ni bado dk chache mkutano uanze, sina uhakika sana kama mh Lema atazungumzia sakata hilo nitawajulisha zaidi wana JE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.