Search results

  1. T

    Vurugu iringa mjini

    mungu na wanadamu poleni sana jamani,jana ilikuwa ubungo
  2. T

    Vurugu iringa mjini

    Kaniambia mjomba wangu,ila cm ilikatika na hapatikani tena,mabomu ya machozi yalikuwa yakipigwa
  3. T

    Vurugu iringa mjini

    Mwana jamii,mwenye habari kamili atujuze,maeneo ya hapo ipogolo,aliyenipa taarifa cm inawezekana imezima charge.kabla ya kumalizia akapotea hewani
  4. T

    Huyu ndiye mtoto aliyenusurika na ajali ya Majinja, Changarawe Mufindi

    Waacheni watoto wadogo waje kwangu,maana ufalume wa mbinguni ni wao,
  5. T

    Kuwasha taa za gari 'full light' mijini ni ushamba au kutoelewa?

    NDIVYO ALIVYO FUNDISHWA,GARI ZIPO KWENYE FOLENI NA AMESIMAA LAKINI KAWASHA TAA Full light,
  6. T

    Madereva wa bodaboda

    Serikali fuatiliyeni haya,kuna baadhi za pikipiki zinatoa mlio kama wabunduki anapo achia mafuta,hii ni hatari huwezi kujua ni bunduki au pikipiki,na imekua ni fasheni sasa
  7. T

    Ufisadi Iramba Kiomboi, mamilioni yatumika kunyamazisha Madiwani

    Hawa ndio mchwa wa chama chetu bhana,
  8. T

    Siku ya mwanamke duniani

    Dakika tisini ndio mwamuzi wa nani atumie siku hii leo,
  9. T

    TCRA tusaidieni hili

    SMS za Simutv kwenye mtandao zinatumalizia charge, kwa siku utakuta unatumiwa zaidi ya SMS zaidi sita au nane, na ni kila siku!
  10. T

    Askari Polisi avuliwa nguo na kuachwa mtupu Singida, wanne Mbaroni

    Hiyo picha haifai hata kidogo,kuangaliwa na mtanzania mwenye akili vizuri,inatia huruma bhana,
  11. T

    Mimi nadumisha mila

    Ila watoto watatu wapo ziwani wanavua,mikoani ucseme
  12. T

    Road Safety: Stika za Nenda kwa Usalama ni wizi, tuungane kuupinga

    Haya kwa wengine ni majungu,ukitaka usimbuliwe nunua stk,
  13. T

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    vyombo vya habari vimesema marehemu komba,ameacha mjane mmoja na watoto 11,je wote ni mama mmoja?
  14. T

    Mwalimu wa Kibasila aishi na kinyesi chumbani kwake kwa miaka miwili

    Inawezekana alikuwa anafanya utafiti,mmemharibia utafiti wake
  15. T

    Kituo cha Mabasi Ubungo kutokuhamishwa

    Wanataka kura tu,ngoja uchaguzi umalizike utawaona,hawana tofauti na CDA dodoma,
  16. T

    Kipa Mbeya City Asimamishwa

    Bado hiyo ni salamu za jangwani
  17. T

    Serikali Msitudanganye Fedha za ESCROW ni za Umma

    Hiyo cyo pesa ya umma,ila niya uchaguzi mkuu 2015
Back
Top Bottom