Search results

  1. K

    Posho ya 300,000/- kwa siku kwa kila Mjumbe wa Bunge la Katiba ni kubwa!

    Joshua Nassari Huna lolote.... Najua wengi mlikuwa mnataka 500000 il imebuma. Kama ninyi mnawatakia heri watanzania basi posho hizo chukueni nusu yaani 150000 then 150000 ingine tukamalizie mabanda ya zahanati na vituo vya afya vijijini hakika ntawapa kura yangu 2015 la sivyo ......na ninyi ni...
  2. K

    Mtikila: Hili bunge la katiba limejaa wahuni na washenzi sijawahi kuona toka tupate uhuru

    Duh hapa ndipo ntamuona mtikila ni ki***chaaa na pia ntamuona ni shujaaa
  3. K

    Mzimu wa posho za wajumbe wa bunge la katiba unaweza kuvuruga mchakato wa katiba

    Dah sasa kaka kweli tutafika?? Alafu kwa kuwa ushalamba ile 200000 nifanyie hata 1900 ya xtreme kanda ya ziwa si unajua huku tunaxtrem na ndiyo mpango mzima.....usinisahau kamwe.
  4. K

    Wazanzibar Iwapo watataka serikali 2 waache kabisa kulia lia na kero za muungano tena tumechoka

    Serukali mbili ndiyo inafaa... hawa cdm wanapotaka serikali 3 wakati huohuo wanapinga matumizi makubwa ya serikali which is crowback na unafiki....
  5. K

    Katiba mpya na uvivu wetu wa kufikiri

    Katiba ni sheria mama na kama sheria mama haitasema chochote kuhusu mapato ya nchi hakuna tutakapokwenda kwasababu baadae regulations zitakazokuja zitaishia kuwa na mianya ya wizi...mfano mdogo ni katika katiba iliyopo haitilii mkazo namna bora ya kukusanya kodi na kuzikinda dhidi ya mafisadi na...
  6. K

    Katiba mpya na uvivu wetu wa kufikiri

    Watu tumekuwa busy na katiba mpya,hilo ni zuri sana lakini tumekuwa busy na kipengere saana kimoja cha muungano na nahisi hata warioba nae akili yake iko busy kutoka siku anateuliwa mpaka leo busy na jambo la muungano kwamba tuwe na serikali 3. Ukitazama vyama vingine vya siasa kama chadema wao...
  7. K

    Katiba Mpya: Nitakuwa Tayari Kupokea Maoni Yako Kuanzia Leo!

    Kwaiyo unataka kumlazimisha sasa aseme unachotaka wewe?? Kakwambia utoe maoni wewe unaanza kumpa makondisheni ....dah .....
  8. K

    Taarifa rasmi ya kuhama CHADEMA na kujiunga na CUF.pamoja na sababu zake.

    Duh bora umewahi coz wangekukata vidole
  9. K

    KITUO cha Taarifa kwa Wananchi (TCIB) kimemshitaki Rais Jakaya Kikwete The HAGUE

    Kibamba angeanza na walosema nchi haitokalika kama hakutopatikana katiba mpya...
  10. K

    Luhaga mpina-wabunge kati ya wabunge wachache waliothubutu kusema haya hadharani

    WADAU NAOMBA NIANZE KUTOA MTILILIKO WA MICHANGO YA MBUNGE WA KISESA BW.LUHAGA J.MPINA HAPA UWANJANI NIKIWA NA MAANA YA KUKUPA MWANYA NA NAFASI WEWE KUWEZA KUMLINGANISHA MPINA NA MBUNGE YOYOTE AMA KWA MAUDHUI YA MCHANGO WAKE KWA TAIFA NA WAPIGA KURA WAKE HII YOTE KUWEZA KUWAELEWA ZAIDI...
  11. K

    Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    Mshumbusi ni muongo coz kama Mpina ndo aliufuata umati na kutaka kuugonga na gari...inamaana kuwa Mpina aliwafuata Opulukwa na Wafuasi wake kwa kuwachokoza...swali je,kama mpina ndo alikosea kwanini opulukwa mpaka sasa anaendelea kuomba msamaha,....na habaroi mpasuko ni kwamba vijana...
  12. K

    Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    It doesnt matter iwe mbeba mawe au viatu vyake but what matters mtu asidanganye umma........coz anayedanganya umma hana tofauti na :llama:......
  13. K

    Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    It doesnt matter iwe mbeba mawe au viatu vyake but what matters mtu asidanganye umma........coz anayedanganya umma hana tofauti na :llama:
  14. K

    Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    ....acha unafiki..kwani Lubiga na Mwandoya kabla ya Luhaga Mpina na sasa zinafanana?? Jimbo hilo lilikuwa upinzani na hakuna maendeleo yoyote,Lubiga kipindi cha masika wananchi walikuwa hawasafiri kwa sababu ya kuzibwa na mto lakn Mpina kawawezesha wamepata daraja la mto lubiga na safari ni...
  15. K

    Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    Hahahahahah naona ulichosema wewe unaona ni ukweli mtupu....najua umelishwa tango pori na sidhani kama ulishawahi ishirikisha akili yako kufikiri kwabi unaobekana kuwa mgumu na akili yako ishazoea kupokea maneno na kumeza kama yalivyo......kuwa binadamu fikiri kwa ulichoambiwa kwabi si kila...
  16. K

    Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    Mshumbuzi ni muongo...kama ni mkweli kwanini huendelei kutupa taarifa zinazojiri mpaka sasa? hususani vijana waliopiga mawe gari la mbunge huyo?? Je kwanini husemi kuhusu bwa-nnna ako opurukwa kwenda kuomba msamaha kwa Mpina baada ya kutuma vijana hao kwenda kumpiga na mawee???Kwanini husemi...
  17. K

    Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    ......UONGO ULIO OTA MAGAGA TOKA KWA WILLIAM MSHUMBUSI kuhusu kuzomewa kwa Luhaga Mpina Mbunge wa JImbo la Kisesa (CCM)-MEATU... Si kweli kwamba MBUNGE huyo makini toka CCM alishawahi kuzomewa si tu MEATU hata sehemu yoyote Tanzania kutokana na Umakini wake katika kuwawakirisha wananchi wa...
  18. K

    Ufisadi uliokithiri na alichokisema mbunge wa CCM Luhaga Mpina juu ya ufisadi wa kutisha serikalini

    MAELEZO BINAFSI JUU YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI. Kwa mujibu wa kifungu cha 28(8), naomba kutoa maelezo binafsi juu ya matumizi ya kawaida ya serikali kuwa makubwa kuliko mapato ya ndani na hivyo kupelekea deni la Taifa kuongezeka. Mheshimiwa Spika, wakati wa kipindi cha maswali na majibu...
  19. K

    nafasi za scholarships

    duh kazi huna mtu utakaka uendelee kusoma?
Back
Top Bottom