Search results

  1. C

    Nauza machine ya kufuma Sweta na overlock yake.

    Nipo Mwanza nauza machine ya kufuma Sweta ya nyuzi nyembamba milioni sita vyote kwa pamoja, vyote bado vipya. Pm Kama unahitaji.
  2. C

    Joint Venture ya biashara ya ushonaji

    Habari! Wana JF, Ujasiliamali, Mimi nina ujuzi wa kubuni na kushona mavazi ya kike, ila sina vitendea kazi so natafuta mtu wa kuweza kununua vifaa vya Garment tushirikiane kwenye biashara hiyo. Nawatakia wakati mzuri.
  3. C

    Overlock machine ya kushona NGUO!

    Habari Jf, nahitaji hiyo. Machine hapo juu na gharama yake.
  4. C

    Nahume za kushonea nguo Kwanza.

    Wasalamu! Naomba kufahamishwa sehemu gani Mwanza mjini naweza kupata machine za kushonea nguo na bei zake, e.g Cherehani na overlock machine. Mbarikiwe kwa muda wenu mtakao nisaidia.
  5. C

    Kazi ya ualimu wa chekechea

    Mimi ni msichana Wa umri Wa miaka 24 natafuta kazi ya ualimu Wa chekechea Arusha Kwa mwajiri yeyote mwenye uhitaji naomba aniajiri nifundishe watoto. Sintaweka namba hapa Ila PM kwamwajiri atakaye hitaji mwalimu Wa chekechea.
  6. C

    Hakuna uganga wa kweli!

    Habari wanajamii wenzangu. Nimeamini hakuna uganga wa kweli huku usukumani maana katikapitapita zangu kwa hawa wanaojiita waganga kila unayekwenda kumuona anakuambia umpe matatizo yako sasa kwanini asikupime yeye mwenyewe alafu akakuambia ukweli. Na mbona anakuambia vitu ambavyo havipo na...
Back
Top Bottom