Uchawi waliotumia wenzetu nikukataa kuwa mawakala wa shetani, kila mtu analazishwa kufanya mambo kwa kiasi, kutenda haki na kutoa sadaka siyo kusubiri kupewa, Sasa sisi tupo kinyumenyume, kuwa na familia kubwa sana mpaka tunakosa kutoridhika muda wote unataka mpaka vitu visivyovyako, hatufanyi...
Sasa wazae waongezeke waijaze nchi sawa, ila aliyepewa akili ni binadamu, aliyepewa upendeleo wa kuhudumia vitu vingine ni binadamu, aliyeambiwa afanye kazi ni binadamu Sasa kama na wewe unataka kuwa kiumbe hai usiye na akili huoni hutajitendea haki? Binadamu ameambiwa atafute maarifa ili awe na...
Hakuna laana Bali tangu mwanzo msingi uliwekwa kwenye uvivu, utegemezi yaani waliopaswa kujenga watu kwenye msingi wa nguvu ya mtu wao waliwajenga kwenye utegemezi ili nawao waje kunufaika na utegemezi huo, mfano jinsia ya kike isisome ili ikatumike kuleta mali kwenye familia kiasi Cha jamii ya...
Hakuna haja ya kuboresha umalaya, umalaya ni weakness na anguko la mtu yeyote, huyo Malaya hawezi kuwa mtu yeyote wa thamani mbele ya safari yake ya maisha, imagine Malaya anaweza kuwa raisi kweli? Vitu vilivyoshushwa hadhi na Mungu vijibebe venyewe vitavyojua kujithamisha na sauti za waovu...
Hiyo inaitwa nguvu ya maamuzi, yanaweza kuwa na matokeo mabaya au mazuri, na hili linagonga pande za zote, mipango ya kila mtu iwe katika msingi wa Mungu ili hata maamuzi mabaya yakija Mungu akulinde nayo.
Umughaka, Wala usijidharau wewe kama wewe hata ni miongoni mwa waafrika kiasi Cha kuacha kujisifu wewe jisifu kama mwafrika anajitambua na kutambua jinsi ya kutumia nguvu yake aliyopewa na Neema yoyote unayopata jiwekee msingi imara na mambo yako yatakuwa sawa.
Twende kwenye hoja ya unyonge wa...
Hebu niumbie mtu kama wewe anayekula na kwenda choo, na ukimaliza uniumbie Galaxy Moja tu kwa njia ya sayansi uniwekee maji, jua, mwezi na asili zote uje unikabithi, hivi hujiulizi hao wanasayansi kama wanauwezo wa kuumba galaxy Sasa kwanini waishi katika huu mfumo wa shidashida? Si...
Basi hao waafrika waumbe mtu mpya maana kizazi kimetoka kwao, Mtu ameubwa na Mungu na mwanadamu hawezi kufikia huo uumbaji, zaidi wewe unaangalia mwili wa nyama na damu, lakini huo unatoka kwa viuno vya wazazi wako, ila pumzi yako inatoka kwa Mungu.
Hiyo sayansi inatumia mifumo ya Mungu yote nakuhakikishia hakuna sayansi iliyo nje ya mfumo wa Mungu, Tena ukomo wake unamipaka unabaki kuzunguka mulemule kwa kuboresha tu, mfano udongo aliotumia Mungu kuumba mwanadamu ni wa kipekee hakuna sayansi imeupata, maji nje ya mfumo wa Mungu huwezi...
Wewe hujui kizazi kilichopo Sasa kinaanzia kwa nuhu? Na ndo maana ujenzi wa dunia ulianza upya? Na kadri muda unavyokwenda habari nyingine zinabaki kuwa historia na maandiko yanabaki kuwa msaada wa kujua wema na ubaya ni njia inayoelekea wapi na siyo mashindano ya kukalili hiyo biblia na...
Sasa nguvu ya asili hiyo imeumbwa na Muumbaji, na hata ukitumia vitabu vya dini bila sayansi Bado Mungu ataoneka, Sasa tutumie logic ya dini, Mungu aliumba mwanadamu akamweka sehemu isiyo na ubaya wowote iliitwa edeni baada ya uasi akatolewa edeni na Sasa yupo sehemu yenye shida anahitaji...
Ukiwa unaota ndoto za watu unaowajua waliokwisha fariki maana yake jiombe wewe Kuna watu unaowafahamu wapo kinyume na wewe katika ulimwengu wa kiroho, vunja mipango ya maadui yako na hiyo ndoto inapotea, ukiona Tena jua wameanza tena.
Aliyepewa mamlaka na upendeleo ni binadamu, na binadamu kaelekezwa atunze nature ili nature imtendee pia haki kama anavyoitendea na kuithamini, wanyama wao wapo chini ya binadamu kutawaliwa na kutumiwa hivyo huruma Yao ipo level ya binadamu yaani binadamu ndo anatakiwa ajue jinsi ya kupanga...
Viumbe Gani mfano? Wanyama wa porini wapo chini yako ni wewe tu kuwadhibiti wasikudhuru Bali wakusaidie tu, wanyama wa kufungwa ni binadamu mwenye nguvu ya kuwafuga nakuwacontrol na hata ulinzi na kula wanamtegemea binadamu awahudumie, juu ya binadamu ndo Kuna Mungu ambaye anajeshi lake la...
Najizungumzia mimi maana mimi ndo mtawala wa hivyo vitu, iwapo tukiishi kwa kuheshimu nature na vitu vingine vitakuwa salama, upendo wake upo sana tatizo ni ukaidi wa watu ndo unaleta majanga.
Wengine wapo kujifunza baada ya uwezo wao wa akili kukoma, hivyo Kuna tunaochukuliana nao hivyo hivyo, kama ni fungu la uovu basi wataishia hukohuko walikojifunganisha lakini Kuna anayepata kujifunza mapya nje ya uelewa wake anabadilika kurudi kwa Muumba wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.