Search results

  1. B

    Wana-Yanga tumedhulumiwa na TFF tukapoteza mechi ya leo na wekundu wa Terminal

    TFF inajua kabisa Machi 8 ni Sikukuu yetu wana-Yanga halafu wanatupangia mechi leo! Mwanasheria wa Prison Jeni Muro tusaidie..
  2. B

    Kwa waliomaliza shule ya msingi kwandele 1986

    Namkumbuka sana mwalimu peter carol aka pc,shine,tesha,swai na maparachichi kwa mashango je kuna mwingine ana zaidi?
  3. B

    Naomba kujua tafadhali

    Poleni kwa majukum wadau naomba kujua club yenye mafanikio tz kimataifa kwa mpira wa miguu natanguliza aksante
  4. B

    Maprofesa je?

    Profesa mbilinyi,profesa muhongo,profesa tibaijuka du! bora kuuza pipi na kudili na miamba
  5. B

    Imekaa vipi?

    Enz za utoto dada alivunja ungo akafanyiwa sherehe nami kwa wivu nikaingia ndani nikavunja chupa ya chai nilipigwaje?
  6. B

    Nimeweza?

    Nilikuwa najaribu tu kama nami naweza 7bu nimejiunga jana tu kumbe nami nimekubaliwa
Back
Top Bottom