Search results

  1. kamdudu

    TANESCO Simiyu Bariadi imekuwa kero sana

    Habari Wanajukwaa wa JamiiForums ? Natumai mko salaama. Leo ni nina kero ya muda murefu sana kutokana na umeme wa huku Bariadi Mkoani Simiyu ambao umekua ukikatika na kurudi kila wakati kutwa nzima usiku kucha kama ka mchezo flani hivi. Yaani umeme umaweza ukawaka kama dakika 30 hivi au lisaa...
  2. kamdudu

    Nifanyeje Laptop yangu battery yake iweze kukaa miaka mingi

    Jaman naombeni msaada kwa wale watalam wa computers ! Nifanyeje Laptop yangu battery yake iweze kukaa miaka mingi bila kupungua uwezo wa kutunza moto ?
  3. kamdudu

    Tetesi: KUHUSU BOKSA

    Habari zenu humu ndani . Mimi kuna maneno nimeyasikia sana mitaani kuhusu hizi boksa tunazovaa wanaume watu wakidai eti ukizivaa kwa muda mrefu zinapunguza nguvu za kiume ! Mwenye ukweli kuhusu hilo tafadhali !
  4. kamdudu

    Wale wachepukaji wenzangu

    Jamani mimi hua nabishana na watu sana kuhusu michepuko ! Eti mchepuko inatakiwa awe mkali kuliko mke/mume wako ? Au inatakiwa awe anazidiwa na mke/mume wako ? Kwa nini ?
  5. kamdudu

    iPhone 6s inauzwa

    Nauza iPhone 6s GB64 gray iko kwenye hali nzuri sh. milioni 1 kwa mawasiliano +8613320286695 (whatsapp) niko Mwanza
  6. kamdudu

    Icloud removal on all i.o.s devices 2015-2016

    Habari ! Mimi ni mtalaam wa ku unlock icloud kwenye iPhone na iPad aina zote ila bei ni kubwa wenye moyo ndio hua nafanya nao kazi. Niko jijini Mwanza wasiliana na mimi kwa namba +8613320286695 na 0719258733(whatsapp only) usipige simu tafadhali.
Back
Top Bottom