Search results

  1. QUALITY

    Serikali ya Che Che Me inahusika na vifo vya watoto wachanga Ngara

    Serikali ya Chama cha mapinduzi (Che Che Me) inahusika kwa kiasi kikubwa na vifo vya watoto wachanga na wengine wanaopata ulemavu unaotokana na magonjwa yanayozuilika kama kupooza na kifua kikuu. Uchunguzi nilioufanya mimi binafsi katika wilaya ya Ngara (jana na leo) kati ya vituo vya afya...
  2. QUALITY

    Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    Wana JF, Salamu. Ni jana tu nilipata fursa ya kuongea na vijana wawili kutoka Mbalali, mkoani Mbeya na kunielezaa kuwa huko kuna CCM tu na hakuna chama kingine chenye nguvu. Mimi nikataka ushahidi lakini hawakuwa nao. hata hivyo niliichukua kama point nikataka kujua kwa wana JF mnaoifahamu...
  3. QUALITY

    Ngara: Polisi wavamia kijiji usiku wa manane na kuondoka na mmoja

    Polisi wilayani Ngara wamevamia kijiji cha Mgoma, kata ya Mgoma na mkamata ndugu Peter Safari wa Kijiji cha Mgoma, kata ya Mgoma saa 8 za usiku wa kuamkia leo na kuondoka naye kusikojulikana. Wakati huo huo, walifika nyumbani kwa William Marco, ambaye walikuta hayupo nyumbani kwake usiku huo...
  4. QUALITY

    Udanganyifu wa kampuni ya madini (WAANIKWA)

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDANGANYIFU ULIOBAINIKA KUFANYWA NA KAMPUNI YAUCHIMBAJI IITWAYO AUREUS LIMITED AMBAYO ZAMANI ILIKUWA IKIJULIKANA KAMAMINEXTECH Utangulizi Kampuni ya Aureus Limited(zamani ilikuwa ikiitwa Mineral Extraction Technologies Ltd (Minextech)) nikampuni inayojishughulisha na...
  5. QUALITY

    Mahakama ya The Hague == Kura yako ni muhimu. Piga Kura yako sasa

    Naomba IT watutengenezee "voting forum kama hii... https://secure.avaaz.org/en/save_the_maasai_a/?afASrdb" ili watanzania wote wapenda amani duniani tupige kura kuhimiza kesi hii kufunguliwa ili JK na makamanda wake wote waweze kukutana na mkono wa sheria. Mod usichanganye thread hii ni muhimu...
  6. QUALITY

    Swali: Je Wabunge wana-influence kwa kiasi gani bajeti ya Serikali?

    Kila mwaka kuanzia mwezi Juni hadi August Bunge letu hukaa dodoma kwa kiasi cha siku zisizopungua sitini huku wakijadili makadirio ya mapato na matumizi na kupitisha makadilio hayo kuwa bajeti ya serikali katika wizara mbalimbali. katika vikao hivyo, tunaona sura za kisiasa na chuki dhidi ya...
  7. QUALITY

    Kitabu Kipya - Tanzania Tunayoitaka

    Ndugu zangu wana JF, Leo nimebahatika kupata kitabu hiki hivyo nikaona niwashirikishe. Hii si kwa sababu wengine wote hawajawahi kukiona wala kukinunua bali nahisi kuwa wengi hatujakipata. Huvyo naleta kwenu ili atakayekihitaji, ampigie mwandishi ili aweze kupata nakala ya Kitabu hiki.
  8. QUALITY

    Mkutano wa hadhara CCM kata ya Mganza wakosa watu

    Wana CDM wenzangu, kufuatia mikutano tuliyofanya wilayani Ngara mwezi Mei 2012; CCM nao wameanza kujipima nguvu kwa kuitisha mikutano ya hadhara. ili kukwepa aibu, jana CCM iliitisha mkutano wa hadhara katika kata ya Muganza ambako CDM hatujafanya mikutano rasmi ila katika baadhi ya vijiji tu...
  9. QUALITY

    Abdul Aonekana Ubalozi wa Afrika kusini

    Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria). Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi...
  10. QUALITY

    Kwanini wabunge hawagomei vikao?

    Unafahamu, huwa najiuliza mbona wabunge hawajawahi kugoma kwenda Dodoma? Ukiongea na waheshimiwa Wabunge, wanalia njaa pamoja na posho za kila siku hiku wakitimiza wajibu wao. Vikao vya Bunge ni sehemu ya wajibu wao lakini wanapokaa pale, fedha haikosekani wala bajeti yao huwa haipungui ili...
  11. QUALITY

    Udhaifu wa Serikali ya CCM wazidi kuwekwa wazi== Kutekwa kwa Dr. Ulimboka

    Kama serikali ya CCM inajihusidha na utekaji, upigaji na jaribio la kumuua kiongozi wa madaktari nchini, dr. Ulimboka kwa hali inavyoonekana, udhaifu wa CCM imezidi kujidhihirisha. Watanzania naomba tuamke tupambane hali si hali. mauaji ambayo serikaali ya CCM imehusishwa nayo ni kama...
  12. QUALITY

    Serikali itafaidikaje na Takwimu ya udini?

    jana katika taarifa ya TBC1, Shekhe Simba alitoa kauli ya kuwataarifu waislam kushiriki katika sensa baada ya serikali kukubali kuingiza kipengere cha dini katika hojaji ya sensa inayotarajiwa kufanyika August 2012. Swali kwa serikali ni kwa namna gani tutatumia takwimu za udini wa mtanzania...
  13. QUALITY

    CCM yazidi kubomka Ngara; jembe jingine lahamia CHADEMA

    CCM yazidi kubomoka Ngara; jembe jingine lahamia CHADEMA Katika hali inayoonesha kuendelea kufa taratibu kwa chama cha mapinduzi, Jumapili wiki iliyopita (10/6/2012) kulifanyika mikutano mikubwa miwili katika kata za Rulenge na Benako zote za wilayani Ngara, mkoa wa kagera. Mkutano wa Rulenge...
  14. QUALITY

    CHADEMA yazidi kuvuna wanachama

    ZAIDI ya wanachama 1000 kutoka vyama mbalimbali wengi wao wakiwamo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamevihama vyama vyao na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbali na wanachama wa CCM, wengine waliovihama vyama vyao ni kutoka NCCR Mageuzi, TLP na CUF katika mkoa wa Kagera...
  15. QUALITY

    Uchambuzi: Lema ni hatari, arudishiwe Ubunge

    WAna JF Tuna kumbukumbu wakati Lema amekataa kudhaminiwa akaingia mahabusu, karibia wafungwa na mahabusu wote walitaka kujiunga na CDM na hadi mkuu wa polisi mkoa wa Arusha RPC alifika gerezani kuongea na Lema ili atoke maana gereza lilikuwa linageuka uwanja wa siasa. Sasa wamemvua Ubunge na...
  16. QUALITY

    Nimegundua zilikotumika zile trioni walizoiba mawaziri

    wana JF baada ya gazeti la Mwananchi la Alhamisi iliyopita kuanika kiasi cha fedha zilizoibwa na mawaziri wa JK, nilianza uchunguzi wa chini kwa chini kujua kiasi hicho kikubwa cha fedha kinaweza kuwa kimetumika namna gani. Nimegundua kuwa fedha ziliibwa mwaka wa uchaguzi ambapo tarifa za...
  17. QUALITY

    Tume ya Uchaguzi Itaajiri lini?

    Kumekuwa na Tetesi kuwa Tume ya Uchaguzi itaajiri wakurugenzi wa uchaguzi katika kila Halmashauri ili kumwondoa Mkurugenzi wa Halmashauri katika michakato ya uchaguzi. Nataka kujua kama kuna anayejua mchakato huu utaanza lini ili professionals tuchangamkie. Natumaini hawatabase kwenye itikadi...
  18. QUALITY

    Tanzania: Bunge Bila wabunge wa CHADEMA lingekuwaje?

    Jana nilimsikiliza Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa makini. Nimeona umuhimu wa kuwa na wabunge kutokea CHADEMA. Pia nimeamini kuwa Kuwepo kwa mbunge mmoja wa CDM ni sawa na kuwa na wabunge 20 wa CCM/Magamba. Lakini swali katika tafakuli hii ni Kama wabunge wa CDM wasingekuwepo Bungeni, hali...
  19. QUALITY

    CHADEMA - Wagombea wenu Bunge la Afrika Mashariki ni nani?

    jana gazati la Nipashe liliandika kuwa leo jumatatu mtafanya mchakato wa kupata wagombea wenu. Mpaka sasa hatujasikia kilichojiri. CDM makao makuu mnaweza kutupa kilichojiri au zoezi halikufanyika? Quality
  20. QUALITY

    Washabiki wa Abdoulaye Wade washangilia mitaani; Kikwete amejifunza nini?

    Maajabu!!!!! Wakati aliyekuwa Rais wa Senegal amekubali kushindwa Urais na mpinzani wake Macky Sall, wale wote waliokuwa wakimshabikia Wade, wamejitokeza mtaani kushangilia ushindi wa Sall. Hii ukiiangalia kwa haraka, unaweza kuchanganyikiwa. Sababu unaweza kuona watu wamekuja kwa wingi...
Back
Top Bottom