Search results

  1. Waziir Hamad

    MSAADA : Diagnostic Machine

    Naomba kujua baadhi ya mashine ulizozitumia ku diagnose,hiyo DLC yake ni OBD II na inasupport.
  2. Waziir Hamad

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Noah 1AZ

    1AZ FSE ni engine nzuri ikiwa utakuwa makini kiutunzaji,Nina experience na hizi engine,zimekuwa zikisumbuliwa na mfumo wa mafuta mara nyingi zikizingua,hivyo basi hakikisha unaweka petrol safi,pili zina overheat Ila ni uzembe wa wamiliki. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Waziir Hamad

    IGP Sirro: Nitachukua hatua ndani ya siku tatu kutekwa kwa MO Dewji

    Nitaiona haki pale IGP atakopowajibika,hizi sarakasi zinachezwa,naikumbuka ile siku kamanda Siro alipokutana name wanahabari kuzungumzia swala la Mo kutekwa,hakuonyesha weledi kwenye kazi yake na baadhi ya maswali aliyajibu kwa shortcuts kama kwamba kuna kitu alikuwa anakwepa kukiweka wazi,leo...
  4. Waziir Hamad

    Prof Kabudi kauanza mpira kama Ajib

    Prof Kabudi!! kweli ni professor aliyebobea katika sheria,lkn juzi kile alichokiongea mbele ya MP sikumuelewa kama ninavyomfahamu kwamba ni prof,ila najiuliza ndiyo types prof of tz,au aliamua kujifanya kilaza,sijapata jibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Waziir Hamad

    Lissu usiishie kusoma Ibara ya 18 ya Katiba, Soma na ya 30

    fact Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Waziir Hamad

    Msaada uume wangu umekuwa mdogo sababu ya kufanya punyeto

    Nilikuwa muathilka wa kufanya punyeto mpaka uume wangu ni mdogo kuliko kawaida kuna uwezekano wa uume kurudi katika hali yake ya kawaida?naomba msaada Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Waziir Hamad

    Kwako Balozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa

    Siasa za Tanzania ni sinema,sizitofautishi na michezo ya kuigiza.
  8. Waziir Hamad

    Umuhimu wa kutumia original plugs... kwa gari hii ya Toyota.

    Tafuta Irridiam @Tsh50,000 bei za mikoani sijui dar.
  9. Waziir Hamad

    Suzuki escudo inakula mafuta sana

    kuna mambo mengi ya kuongeza unywaji wa mafuta kwenye gari bila shaka gari lako litakuwa na miss,waweza pia kutumia hii namba ipo whatsapp 0782738750. Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  10. Waziir Hamad

    Suzuki escudo inakula mafuta sana

    Hyo gari haiwezi kuwa na fuel conception ya hivyo hata iwe mbovu kiasi gani,mambo ya kuzingatia hakikisha hai smoke nyuma kwenye exhaust,then kama ina moshi mweusi kutakuwa engine missfuring.au tuwasiliane 0716295687. Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  11. Waziir Hamad

    Nissan Patrol main tank gage fault

    unit kwenye tank in mpya na wiring from tank to dash ziko vizur Ila ttzo limo kweye dash,sijui nn kinazisumbua nyingi zinaharibika dash na zote case ni gage,upo mkuu?
  12. Waziir Hamad

    Nissan Patrol main tank gage fault

    [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] mm mwenyewe CHADEMA
  13. Waziir Hamad

    Je, limbwata lipo?

    pole sana mkuu
  14. Waziir Hamad

    Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

    Kama wife hajakwambia ujue tayar,wakiitoa huwa hawasemi
  15. Waziir Hamad

    Nissan Patrol main tank gage fault

    Habari wana jamvi? naomba kuwauliza hasa wataalam wa umeme wa tattzo la gage kwenye dashboard(cluster) za nissan patrol yenye main na sub tank husabishwa na nn? na linatatuliwa kwa ambao wameshakutana nalo? Mimi ni fund wiring zamimi zimekuwa zikinisumbua sana sana,naombeni mawazo yenu kwa wenye...
  16. Waziir Hamad

    Pete tosh the forever living legend

    Tosh alikuwa poa kweli,sema Mimi Bob nilimuelewa sana ndani ya Wailers
Back
Top Bottom