Search results

  1. M

    Askofu Stephen Munga: Je, Musiba amekuwa Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana?

    ASKOFU MUNGA ANAONGOZWA NA BIBLIA AU HISIA Na Mwamba wa Kaskazini, Ngarenaro Leo nimesoma andiko la kiongozi wangu wa kiroho lakini akinena ya kidunia zaidi Baba Askofu Dkt. Munga. Nikiwa muumini wa KKKT ni shuhuda wa uwezo na kipawa cha kiroho alichonacho Baba Askofu Dkt. Munga. Hata hivyo...
  2. M

    Askofu Stephen Munga: Je, Musiba amekuwa Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana?

    Askofu Dk.Stephen Munga,Mkuu wa KKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (Tanga) Wewe Baba Chagua kuwa Mchunga Kondoo ama Mwanaharakati,Usiliingize Kanisa kwenye Utashi Wako Inashangaza sana kuona Baba Askofu tena Daktari unashindwa kutambua wadhifa na mamlaka uliyonayo na kutotambua kuwa kauli...
  3. M

    Watumishi kwani Huyu Magufuli tulimkosea wapi..!??

    KITU CHA MAANA SIYO KUPANDISHWA MSHAHARA. KITU CHA MAANA NI JE MSHAHARA WAKO UNAWEZA KUFANYA NINI ? KWA MWENENDO WA RAIS MAGUFULI KAMA AMBAVYO SOTE NI MASHUHUDA, VITU NA BIDHAA HAZIPANDI BEI NA HIYO MAANA YAKE HAKUNA MFUMUKO WA BEI. KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI NI MUHIMU SANA KULIKO MSHAHARA...
  4. M

    Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

    ACHA KUPIGA RAMLI WEWEEEEEE. TATIZO LENU MNAANGALIA MALALAMIKO YA WAPIGA DEAL KUFANYA TAHMINI YA KUKUBALIKA KWA JPM. MAGUFULI YUPO STRAIGHT NA WANANCHI TUMEAMUA KUWA STRAIGHT BAAADA YA KUONA SHORT CUT HAZINA FAIDA. ACHANA NA WAPIGA DEAL WANAKUPOTEZEA MUDA NA KUKUHARIBIA MAISHA TUUU
  5. M

    Mzee Mwinyi amlaumu January Makamba kwa kutumia picha yake wakati huu

    UHARIBU WEWE HALAFU PICHA UNIWEKE NA MIMI IMETOKA WAPI HIYO ?
  6. M

    Mzee Mwinyi amlaumu January Makamba kwa kutumia picha yake wakati huu

    UHARIBU WEWE HALAFU PICHA UNIWEKE NA MIMI ILI IWEJE ? HATA MIMI NAKATAAA.
  7. M

    Mzee Mwinyi amlaumu January Makamba kwa kutumia picha yake wakati huu

    KUFIKIRI KITENDO HICHO KILIKUWA SAHIHI INADHIHIRISHA NAMNA AMBAVYO AKILI ZAKO NI FUPI NA HUJALELEWA NA WAZAZI WENYE MAADILI MEMA. POLE SANAAAA
  8. M

    Tafakari: J. Makamba kaposti picha akiwa na mzee Mwinyi, akikubali kwa moyo safi kufutwa uwaziri, ukiacha maneno,picha ina ujumbe gani?

    ASANTE MAKAMBA KWA KUAMUA KUONDOA PICHA YA MZEE MWINYI. ASANTE KWA KUTAMBUA KUWA ULICHEMKA KWA KUFANYA MAAMUZI YENYE HASIRA. NINI KIMEMFANYA AFANYE HIVYO MAJIBU YAPO HAPA
  9. M

    Tafakari: J. Makamba kaposti picha akiwa na mzee Mwinyi, akikubali kwa moyo safi kufutwa uwaziri, ukiacha maneno,picha ina ujumbe gani?

    Nadhani kichaa ni wewe maana umeamua kumfukuza chizi baada ya kuchukua nguo zako ukiwa unaoga. Usaliti huu hapa kwa nafasi yako
  10. M

    Tafakari: J. Makamba kaposti picha akiwa na mzee Mwinyi, akikubali kwa moyo safi kufutwa uwaziri, ukiacha maneno,picha ina ujumbe gani?

    YETU MACHO!!!! PETRO ALIMSALITI YESU AKASAMEHEWA NA LEO HII YUPO MBINGUNI ANAISHI. YUDA ALIKUWA MNYENYEKEVU PIA LAKINI ALIKUWA MSALITI NA MNAFKI. HAKUNA KITU KIBAYA UKIFAHAMU UNAEMWAMINI SIKU NYINGI NI MNAFKI.
  11. M

    Tafakari: J. Makamba kaposti picha akiwa na mzee Mwinyi, akikubali kwa moyo safi kufutwa uwaziri, ukiacha maneno,picha ina ujumbe gani?

    JANUARY MAKAMBA AMEFANYA HIVYO AKIAMINI KUWA KILICHOMTOKEA KWA RAIS MWINYI AKIWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NA KUSABABISHA AKAJIUZULU KWA SABABU YA MAUAJI YA SHINYANGA BASI NA YEYE JANUARY ITATOKEA HIVYO KWA KUWA NDOTO YAKE NI KUWA RAIS 2025. KITU AMBACHO BADO HAJAELEWA VYEMA JANUARY, NI KWAMBA...
  12. M

    January Makamba tutakukumbuka

    ACHA KUPOTOSHA WEWEEE !! JANUARY MAKAMBA AMEKUWA MKWELI KWA LIPI ZAIDI YA KUONESHA KUWA NI MSALITI. HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUMVUMILIA MSALITI. HUWEZI KUWA KWENYE CABINET HALAFU UNASHIRIKI NJAMA DHIDI YA BOSS WAKO. DAWA YA WASILITI SIKU ZOTE NI KUONDOLEWA TUUUU. ZITTO ALINUNULIWA NA JACK ZOKA -...
  13. M

    Kinana ana siri nzito kifuani ikiwa ni pamoja na idadi halisi ya kura alizopata Magufuli 2015

    MAJIBU MAZURI YAMETOLEWA NA MBUNGE WA MTERA MHE. LIVINGSTONE LUSINDE AKA KIBAJAJI. KWAMBA WANACHOFANYIWA WAKINA KINANA NA MZEE MAKAMBA WALIKIPANGA WAO. NANI ASIYEJUA MAKAMBA ALIMFANYIA DHARAU MZEE MALECELA ? NANI ALIYEMWAIBISHA MZEE MALECELA ? MBONA MALECELA HAKULALAMIKA WAO WANALALAMIKA NINI ...
  14. M

    Benki ya Dunia: Mafukara waongezeka Tanzania

    Ripoti za Benki ya Dunia ni ripoti za kibeberu na zenye lengo la kukandamiza nchi ambazo zimeamua kujitambua. Kama wewe hujajitambua utasifiwa kila siku. Ni sawa na mwanamke malaya kinachomfanya aendelee kuwa malaya ni kila mwanaume lzma amsifie. Sasa kama wewe siyo malaya kwa nini usifiwe ? Ni...
  15. M

    Tetesi: Ijue siri ya muhitimu wa UDSM kujiua.

    UPDATES: Kijana Aliyejiua Mwanza Alikuwa na Pesa, Alizidiwa na Stress* Na Blogu ya Jamii, Mwanza Saa chache baada ya kijana aliyejiua Mwanza, marafiki wa karibu wameshangazwa na polisi Mwanza kushindwa kufuatilia ukweli wa sababu za kijana aliyejiua katika jengo la Rock City Mall na kutaja tu...
  16. M

    MEMBE ALONGA: Ashangazwa na namna alivyoitwa na Bashiru, amuita Musiba mwongo, mzushi na mfitini

    ZITTO NA MEMBE NA JITIHADA ZA KUTURUDISHA TANZANIA YA "SHAMBA LA BIBI ". Tanzania ya "Shamba la Bibi " ilianzia kwenye CCM shamba la bibi na Upinzani shamba la bibi, kwa ujumla vyote vilizaa matunda ya Ufisadi, wizi, uhuni, utapeli, ukosefu wa maadili na kustawisha shamba la bibi kwa muonekano...
  17. M

    Hivi Rais Magufuli anaona kumteua mtu kuwa Waziri ni kumpa ujiko?

    Kwa akili zako kuwa ndogo ndy maana unachukua muda wa siku 3 kutafakari upuuzi. Kiongozi anachagua mtu atakayefanya nae kazi FINISH. Huwezi chagua au kuteua mtu ambaye huwezi kufanya nae kazi unless wewe chizi. Sasa ukiona unatumia muda wa siku 3 kutafakari upuuzi jiulize swali utatumia siku...
  18. M

    Part of the TANZANIA SGR will be a 2.5 km overpass to avoid city traffic

    HII NDIYO HABARI YA MJINI.
  19. M

    Denmark withholds aid and cancels minister visit to Tanzania over human rights situation

    Tatizo la watu wenye kutegemea misaada ndy hilo. Sasa kama wamekataa kuna tatizo gani ? nani aliyewaomba hiyo misaada ? Tutapata suluhisho la fedha kutoka kwa watanzania wenyewe na siyo wageni hao.
  20. M

    Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

    Hata kama angekuwa hajapotezwa na chadema, bado ni mtu wenu, viongozi wenu hawafanyi sawa kuendelea na maisha as if hawajapotelewa na mtu muhimu kama Saanane. Kuna kitu mnaficha ndio maana akitokea mtu kukumbushia suala hilo mnatokwa mapovu mengi na mishipa ya shingo inawasimama
Back
Top Bottom