dah watu wengine hamnazo kabisa..Ninachofahamu neno Tanzania lina maana kubwa sana BONDENI..wanatuheshimu sana sababu wakati wa harakati za uhuru tuliwasaidia..sasa mnaposema wamemshangilia mtu nawashangaa...pale watu wa south wameshangilia nchi kupitia rais wetu.
ana kiwango gani cha utaalamu? basi mwambi kuna wataalamu zaidi yake na wanatumia vifaa vya kisasa ambavyo hajawai hata kuviona wala kuvisikia...Tuvute subira
naheshimu mawazo yako.. ila jaribu kujiuliza ni kweli mbowe anaweza akawa na nguvu ya kuwaambia ulinzi wote usiwepo siku ya tukio, pili Mbowe anaweza akawa na uwezo wa kuzitoa cctv cameras??..swali lingine naona bila uwepo wa Mbowe baada ya tukio Lissu angeweza kuwa hai hadi sasa?? mimi nina...
wakuu nianze na salam..Nina banda la mpira na nimekua nikitumia Tv za HISENSE LED 55'. kutokana na hali ya usalama inanilazimu kila siku nizihifadhi tv sehemu salama baada ya game. sasa nimepata changamoto,Hizi Hisense hata zikiguswa kidogo tu kwenye kioo hazifanyi kazi..yani kawino kadogo tu...
nianze kwa kukuambia umekosea sana...tatizo umeangalia option ambazo zimekaa kimbea na umeacha kujadli option za whatsapp GB ambazo zinaifanya iwe bora sana...kwanza ina uwezo wa kutuma video zenye size kubwa kuliko whatsapp ya kawaida...pili unauwezo wa kuweka status video hadi yenye dakika 7...
Tafadhali naomba msaada wa kupata fundi au mahali ntakapoweza kubadili kioo cha hisense tv 55'..nakaribisha ushauri
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.