Search results

  1. GodfreyTajiri

    Kwa kusimamisha wagombea wawili wa urais, Je ccm imevunja katiba?

    wana jf, kwa kipindi cha zaidi ya wiki moja tumesikia madai ya ccm kwamba dr. slaa ni mwanachama mwenye kadi (inayolipiwa) wa ccm. pamoja na mengi yanayozungumzwa kuhusu hili lipo jambo ambalo naona wengi hawalizungumzii. nalo ni hili, kwa kukiri hadharani kwamba dr. slaa ni mwanachama wa ccm...
  2. GodfreyTajiri

    nimsaidiaje?

    binti mstaarabu kanizimikia. kanieleza ukweli wa moyo wake na kwamba anatumaini tunaweza kufunga ndoa. binti ni mrembo wa haja na anaelekea na wife material. anasema ameniona mimi ni mtaratibu na mstaarabu. tatizo japokuwa naonekana mtaratibu ukweli mi ni silencer na muharibifu flani hivi. sioni...
  3. GodfreyTajiri

    ngo ngo ngo

    hodiii! wananiita GodfreyTajiri. nami nimeamua kujiunga na jukwaa hili makini na maarufu. natanguliza shukurani kwa kunipokea vyema
Back
Top Bottom