Search results

  1. mmbangaya

    Msemo mpya kabisa waibuka kwenye mitandao ya kijamii unaujua?

    Wanamaanisha: mwanakalitafuta mwana kalipata
  2. mmbangaya

    Hizi biashara za vyakula hazisambazi covid-19 kweli?

    Mie haya mahindi ya kuchoma wanayouza kwenye magari hata kabla ya corona nilikuwa sinunui. Emagine mtu na mikono yake haujui ameshika nini na wapi anayashika shika wala hanunui wewe unakuja kuununua unakula tuu. Muhindi mmoja unashikwa za zaidi ya abiria kumi wa kumi na moja ndie ananunua. Hii...
  3. mmbangaya

    Mzigo kutoka Madagascar ushawasili TZ

    Hivi hata sio mgonjwa wa covid 19 unakunywa tuu?? Au kabudi nae alikuwa anaumwa???
  4. mmbangaya

    Professional Wordpress Website Designing Service

    Okey. Pia kama wewe ni mtaalamu kutengeneza hiyo website gharama yako ni how much???
  5. mmbangaya

    Professional Wordpress Website Designing Service

    Gharama ya kulipia website kwa mwaka ni kiasi gani???
  6. mmbangaya

    Arusha: Kigogo wa madini ya Tanzanite amtwanga risasi Mkewe na kujaribu kujiua

    Moyo kupenda hadi kufikia nijiue??? Sio mimi never
  7. mmbangaya

    Arusha: Kigogo wa madini ya Tanzanite amtwanga risasi Mkewe na kujaribu kujiua

    Utasikia sababu ni wivu wa kimapenzi. Mtu una mkwanja wa kutosha unashindwa kuachana nae utafute mwanamke mwingine maisha yaendelee???
  8. mmbangaya

    Bila shaka Saeed Kubenea ndo atafuata

    Sah Sahihi kabisa mkuu
  9. mmbangaya

    Bila shaka Saeed Kubenea ndo atafuata

    Wahame wote mpaka na mbowe. Upinzani hautaisha hata iweje
  10. mmbangaya

    Projects kubwa ziwe na wahandisi wa nje!

    Toa mfano wa daraja moja lililovunjika nikuambie sababu ni nini halafu ndio uje na conclusion yako. And do you know what miradi yote inayofanywa hapa tz na hao wa nje inasimamiwa na wataalamu wa kitanzania. Unaweza kusimamia kitu usichokijua. Hapa achana na mamiradi kama ya umeme bwawa la...
  11. mmbangaya

    Projects kubwa ziwe na wahandisi wa nje!

    Acha kuamini watu wa nje wewe. Unadhani vitabu vya nje na ndani ni tofauti?? Skills ni zile zile. Point hapa ni ufinyu wa budget tuu hamna kingine usidanganyike ndugu
  12. mmbangaya

    Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Alipitiwa tuu. Na ukumbuke Ummy sio daktari amevamia tuu fani za watu
  13. mmbangaya

    China yote ina wagonjwa wa Corona

    Tumuombe sana Mungu hili janga likiingia hapa kwetu tutakufa wote. Na hivi tunavyojua kupuuzia mambo sijui
  14. mmbangaya

    Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

    Hiyo sheria bado haijapitishwa wala haijaenda bungeni. Zanzibar ndio wanatka kuipitisha kule na wala sio bara
  15. mmbangaya

    Amini nawaambia siasa ni mchezo mchafu

    Wanajificha nyuma ya keyboard. Au bado haujaelewa???
  16. mmbangaya

    Amini nawaambia siasa ni mchezo mchafu

    Kama unadhani ni chadema peke yao wanamtaka membe haujitambui mkuu. Wa ccm wengi ndio wanamtaka membe ila kufungua mdomo ndio shida. Chadema wao wanaongea ila upande wa pili ongea uone
  17. mmbangaya

    Nyumba inauzwa

    Kama hii milioni 350 basi nyumba yangu ya mbezi ni 2bil. Kuweni serious kipindi hiki hali ni tete
  18. mmbangaya

    Tanzania itakwenda kuchukua Raia wetu China?

    Mkuu usifananishe maisha ya binadamu na maujinga yako.
Back
Top Bottom