Search results

  1. D

    Elections 2010 Utafiti wa TCIB: Dk. Slaa aongoza

    GREAT THINKERS? AIBU! IFUATAYO NI ORODHA YA WATU WA CHADEMA WALIOHUSIKA KWENYE UTAFITI MOJA KWA MOJA. 1. HALIMA MDEE .................................HUYU NI MJUMBE WA BODI YA TCIB 2. EDWARD KINABO............................HUYU NI MWENDESHA MAFUNZO KWA VIJANA WA CHADEMA. ENEO LAKE LA...
  2. D

    Kilaini: Kikwete bado ni chaguo la Mungu

    dr. Slaa kafanya kazi kwa uadilifu? Vipi ruzuku ya chama iliyopekea roho ya chacha wangwe ikaondoka duniani? Vipi wakina 'sisimizi' kafulila?
  3. D

    Elections 2010 Ushahidi wa CUF ni CCM B; huu hapa

    kweli chadema mko desparate! Taasisi iliyofanya utafiti chadema ina vested interest. Hivi mavuvuzela hamjui kuwa halima mdee ni mjumbe wa bodi kwenye hiyo taasisi?!!! Na hamjui pia kuwa leo mchana kumefanyika kikao makao makuu ya chadema ambako 'mafisadi' makanjanja wa habari walioandika...
  4. D

    Why Nyerere wouldn't have okayed many candidates!

    NYERERE NDIYE CHIMBUKO LA MATATIZO YOTE YA NCHI HII!!! Kama si kweli naomba mtu mmoja tu ajaribu kunielimisha ni vipi basi wakati anaondoka madarakani nchi ilikuwa virtually BANKRUPT? Msije mkasingizia watendaji kwa sababu kila mtu anajua kuwa NYERERE alikuwa ni DIKTETA na alichotaka yeye ndicho...
  5. D

    Naomba ushauri: Technolojia ya ujenzi wa gharama nafuu Tanzania

    Labda inawezekana. Walau muanzisha topic amekuwa honest na kuzungumzia kuwa kabla ya yote unahitaji kuwekeza ili uweze ku-mine coal na Uranium kwa ajili ya kuzalisha umeme wa uhakika, n.k. Aidha amekuwa honest kusema kuwa pamoja na yote hayo, still bei ya kiwandani itakuwa ndiyo hiyo TZS...
  6. D

    Elections 2010 Hivi CHADEMA haina wataalamu, au viongozi wake ndiyo wasioambilika?

    Huna hoja zaidi ya hiyo? Nakuonea huruma! Kama thinking power unayo-display inawakilisha 'wasomi wetu' walio wengi, basi haishangazi kuwa nchi hii inazidi kuzama siku hadi siku! Kama 'wasomi' wetu ambao hamuwakilishi hata 10% ya population ndiyo mentality mliyonayo, vipi hawa 90% ambao 'siyo...
  7. D

    Elections 2010 Hivi CHADEMA haina wataalamu, au viongozi wake ndiyo wasioambilika?

    KWELI UKIPENDA, CHONGO UTAITA KENGEZA! Of course kuwa na treni ya saa tatu DAR -MWANZA inawezekana kama conditions ziko right, hoja ni kwamba hivi sasa conditions haziko right kabisaa! (Tafadhali rejea kuipitia mada) HUENDA SIKU: Kila Mtanzania atakapokuwa na uwezo wa kula milo mitatu kwa...
  8. D

    Elections 2010 Hivi CHADEMA haina wataalamu, au viongozi wake ndiyo wasioambilika?

    Malengo ya article siyo kutengeneza urafiki na wasomaji. Malengo yake ni kutoa changamoto kwa wachangiaji waongeze matumizi ya akili zao badala 'KU-COMFORM' tu, hata pale Walalahoi wa nchi yetu wanapodanganywa mchana kweupee! Wabunifu wa forum hii wameiita kuwa ni 'HOME OF GREAT THINKERS'...
  9. D

    Elections 2010 Hivi CHADEMA haina wataalamu, au viongozi wake ndiyo wasioambilika?

    Hivi sasa tunaishi katika kipindi ambacho wataalamu na wanahistoria ya maendeleo ya kitekinolojia katika ulimwengu wanakiita 'information age', yaani kipindi cha 'habari na mawasiliano'. Kwa mujibu wa wataalamu na wanahistoria hawa, kipindi hiki kimeanza mwanzoni mwa miaka ya 1990, na kuchukua...
  10. D

    Elections 2010 Je, unawajua wanaoleta uchochezi kwenye uchaguzi mkuu?

    Mafisadi siyo hao mnaowataja pekee. Naamnini mafisadi wanajumuisha na hawa wafuatao: 1. Mahakimu na makarani wote wa mahakama ambao wamegeuza mahakama kuwa minada ya haki za watu. 2. Wafanyakazi wote wa maofisini ambao wanaishi kwa 10% na kuchakachua zabuni. 3. Madaktari wote na manesi ambao...
  11. D

    Kilaini: Kikwete bado ni chaguo la Mungu

    Kwa taarifa yako: 1. CUF ina sura ya kitaifa mara elfu moja kuliko CHADEMA - Tofauti na CHADEMA, CUF Ina strong presence pande zote mbili za muungano 2. Pili, CUF ina mtandao ulioenea nchi nzima na hakitegemei kununua viongozi wa vyama vingine kufacilitate mikutano yake kama ilivyokuwa inafanya...
  12. D

    Kilaini: Kikwete bado ni chaguo la Mungu

    Umesema Lipumba na Georgina? Ni lini Lipumba alifunguliwa kesi mahakamani kwamba katorosha mke wa mtu? Au ni lini Lipumba aliishi na kimada, akazaa naye kisha akamtosa na kuvamia mke wa mtu mwingine? Tena bila kujali kuwa huko nyuma alishakula nadhiri ya useja? Ukisikia utovu uliokubuhu wa...
  13. D

    Kilaini: Kikwete bado ni chaguo la Mungu

    Ina maana Obama na ndugu zake weusi kule Marekani waliuzwa kule kutokea Zanzibar? Very Funny! Zanzibar ya kiislamu ina share yake katika utumwa kama ilivyo kwa wakatoliki na waprotestant wa ulaya ambao nao wana share yao pia. Hivi unadhani watu weusi kule Marekani, West Indies, Carribean na...
  14. D

    Kilaini: Kikwete bado ni chaguo la Mungu

    Hao ma-genious unaowazungumzia wa marks 120 kati ya 150 ndiyo waliotuulia nchi. Leo hii reli hamna, maji hamna, umeme hamna, barabara zote alizoziacha mkoloni zikiwa na lami zimekuwa kama zimepigwa mabomu nakadhalika. Miji inapanuka lakini badala ya kuwa na barabara inakuwa na vichochoro kama...
  15. D

    Kilaini: Kikwete bado ni chaguo la Mungu

    Dr. Slaa huyu ALIYEKI-BLACKMAIL chama chake kimlipe Tzs 12,000,000/= kwa mwezi ndipo akakubali kugombea uraisi?!!!!!!!!!!!. HUYU NDIYE ALIYEJITOLEA MUHANGA KUKUKOMBOENI KWELI? DON'T MAKE ME LAUGH!!! Tzs 12,000,000/= ni zaidi ya 15% ya ruzuku ya CHADEMA kwa mwezi! CHADEMA itapata wapi fedha za...
  16. D

    Kilaini: Kikwete bado ni chaguo la Mungu

    Mwaka 2005 maaskofu walijifunga vibwebwe na kufanya kile ambacho kisingetarajiwa kifanywe na viongozi wa dini. Bila kujali kuwa walichokuwa wanakifanya ni kinyume kabisa na maadili ya 'FAIR PLAY', yaani kutocheza rafu ya makusudi, walijitoa hadharani na kudai kuwa Taifa lilikuwa linahitaji...
  17. D

    Elections 2010 Vombo vya habari viache kupotosha wapiga kura

    Kiasi cha miaka kumi na tano iliyopita niliwahi kuona filamu moja inayoitwa 'THE PANAMA DECEPTION', yaani 'UDANGANYIFU WA PANAMA', kwa tafsiri isiyo rasmi. Filamu hii haikuwa ya kuigiza; ilikuwa ni muunganisho wa picha mbalimbali za televisheni zilizopigwa wakati wa operesheni ya uvamizi wa...
Back
Top Bottom