Search results

  1. Zainab Tamim

    Fuso crane (reconditioned) inauzwa.

    Fuso crane (3 tons crane capacity) long body. Reconditioned. Nzuri sana ya kuiingiza barabarani na kuanza kazi. 45m. Ipo kibaha Misugusugu. Unaweza kuletewa popote kuikagua kwa gharama zako au karibu uikague hapa kwetu. Piga 0769302206 kwa maelezo zaidi.
  2. Zainab Tamim

    Sasa tumewaletea uwekezaji mpya unaolipa kihalali

    Kwa wale wenye uzoefu wa taaluma za "finance" na uwekezaji wataelewa kuhusu "capital pool" au mutual fund. Huo ni uwekezaji wa kuchangia mtaji kwa faida ya wengi ambapo aidha unapunguza makali ya mtu mmoja au kikundi kuwekeza kwenye uwekezaji kipekee, kwa faida ya wengi. Baada ya kufanya...
  3. Zainab Tamim

    Fuso Mayai Inauzwa

    For Sale... Fuso mayai, long body na crane.. Engine, gear box, dif, safi kabisa... Inahitaji tairi 6 zilizopo zimechoka na rim mbili, crane inahitaji matengenezo ya kuweka crane wire mpya na pulleys mbili. Body nyuma inahitaji floor mpya. Inahitaji show ya mbele. Bei 40m kwa aliye serious...
  4. Zainab Tamim

    Habari njema kwa wafugaji wa ng'ombe, mbuzi na kondoo

    Ugonjwa unaowaathiri sana ng'ombe, mbuzi na kondoo kwa kushambulia kwato na miguu yao, ujulikanao kama foot rot (kuoza kwa miguu) sasa umepata suluhisho kwa tiba asilia 100%. Baada ya hiki kipindi cha mvua, ng'ombe, mbuzi na kondoo wengi huwa wanapata ugonjwa huo unaowaletea usumbufu sana wa...
  5. Zainab Tamim

    Mwenye Kijiko cha kupakilia mchanga...kazi ipo

    Wadau, Yeyote mwenye kijiko cha kupakilia mchanga kwenye malori, ipo kazi hapa kwetu Misugusugu, Kibaha. Kazi itadumu kwa miezi miwili au zaidi kwa kupakilia eka mbili au zaidi za mchanga, kina kirefu hakipungui mita moja na nusu. Mchanga ni mzuri mweupe, watujazie wa mchanga wapo wengi...
  6. Zainab Tamim

    Diaspora, Wanasiasa, Wajasiriamali... Fursa

    Kwanza napenda ku "declare interest". Kama kuna ex-diaspora basi mimi nime qualify. "Opportunity is rare, grab it when it appears". Hivi karibuni tulianzisha mjadala wa tulioupa kichwa cha habari "Fursa ya kukopa kukopesha kwa faida bila riba". Mjadala huo na baada ya kukutana na wadau wengi...
  7. Zainab Tamim

    Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba

    Kama nilivyoahidi katika post yangu hii: Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo kuwa tutafungua mjadala kujadili vipi tunaweza kuanzisha mpango wa kukopa / kukopesha / kuwekeza bila riba. Duniani kwa sasa kumekuwa na wengi wanaousikia na wengineo wameshaanza kuutumia mpango wa "islamic Banking"...
  8. Zainab Tamim

    Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji...

    Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji, na wengineo wote wataoina fursa hii, katika uwekezaji wa kati ambao unatarajiwa kuwa mkubwa sana kwa kipindi kifupi sana. Yeyote katika hao ambae ana uwezo wa kuwekeza Shillingi millioni kumi au zaidi anakaribishwa katika...
  9. Zainab Tamim

    Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

    Leo nawaletea fursa ya kuwekeza salama kabisa. Kama una fedha zimekaa bure au unaziweka benki basi hii ni fursa ya kujiongezea kipato bila jasho, kwani kazi zote za kuwekeza tutazifanya sisi, wewe unawekeza fedha zako na zinakuzalia. Tunakuhakikishia pesa utazowekeza zitakuzalia 100% kwa mwaka...
  10. Zainab Tamim

    Jipu la utapeli Chuo Kikuu Dar (UDSM)

    Nimeamua kwa roho safi kabisa kuliweka hili hapa JF kwani sielewi pengine pa kulipeleka. Napenda ieleweke kuwa mimi ni muhanga wa hili tukio na kwa kuwa nilihusika na mume wangu, nimemuomba aelezee yeye kisa hiki, ingawa amenisihi kuwa "achana nao" lakini nimeona kuwa si vyema kuliacha tu kwani...
  11. Zainab Tamim

    Dereva wa muda (temporary driver)

    Tunatafuta driver wa muda. Kazi zitahusu kwenda kibaha (Misugusugu na kurudi) na hapa hapa mjini Dar kwenda huku na kule. Awe muaminifu, gari zipo ndogo na Hilux 2.8 pickup iliyo choka choka (ya kuendea shamba). Na akifanya vizuri kwa baadae anaweza pia kuhamia kwenye Fuso crane (permanent)...
  12. Zainab Tamim

    Kazi Kazi Kazi

    Tunatafuta kijana wa kike au wa kiume ambae anabidii ya kujiendeleza, muaminifu, sharp, mwenye uwezo wa ku manage kazi tofauti tofauti na kuji manage mwenyewe, awe highly organized. Huyu atakuwa personal assistant wa Mzee Abdul. Mzee Abdul ana uzoefu wa miaka mingi sana wa management kwenye...
  13. Zainab Tamim

    Shinyanga: Aunt Zainab's 100% Natural Super Clay

    Sasa udongo wa Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Shinyanga. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote. Kwa maelezo zaidi usome hapa (bofya link): Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana Wenye Matatizo ya Chunusi na Zaidi: Aunt...
  14. Zainab Tamim

    Singida: Aunt Zainab's 100% Natural Super Clay

    Sasa udongo wa Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Singida. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote. Kwa maelezo zaidi usome hapa (bofya link)...
  15. Zainab Tamim

    Car4Sale Nissan Patrol Bei Poa

    Nissan patrol, Manual Gear, Diesel, TD - F intercooler, engine RD 28 Model. Year 1999 Leather seats, very good condition. Bei 23M Only. Very Good Condition. Haijatumika Tanzania. Call Mzee Abdul 0756803528. Must Go. Bei Poa Kabisa.
  16. Zainab Tamim

    Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi...
  17. Zainab Tamim

    Msaada wa technician: Laptop Dell XPS L502 X

    Laptop yangu Dell XPS L502 X, Core i7 Inaniletea message kuwa Hard Disk (Toshiba) ina matatizo. Na imekuwa slow sana wakati wa kuiwasha na kuitumia. Ninatafuta technician ataerekebisha haya: - Hiyo hard disk - Speaker zake sijui zimechanika kwa ndani hazitoi sauti kama zamani na zinakoroma...
  18. Zainab Tamim

    Bure: Fursa ya mwaka, pima afya yako

    Hakuna kitu chenye umuhimu kwetu binaadam zaidi ya afya zetu. Afya njema haina thamani ya kuinunulia (priceless). Usione taabu wala uvivu kupima afya yako. Sasa una fursa ya kupimwa bure kabisa, itumie fursa hii kama unajijali. Kupima afya yako si lazima uwe mgonjwa au unaumwa, tunaweza...
  19. Zainab Tamim

    Anayejali afya yake: Slimming Tea

    Aunt Zainab sasa anawaletea bidhaa mbadala za Eternal na mtiririko huu utakuwa wa bidhaa tofauti kwa ajili ya wale wanaojali afya zao: Slimming Tea ni majani ya chai ya asili kutokea China, yana uwezo wa kuyeyusha mafuta ya ziada mwilini na kutoruhusu mafuta hayo kuhifadhiwa kwa wingi mwilini...
  20. Zainab Tamim

    Msaada: Natafuta fundi wa kuezeka bati Kibaha

    Natafuta fundi bati mzuri anifanyie marekebisho. Nimeezekewa bati jipya hivi karibuni na mtu aliyejifanya ni fundi lakini kaharibu. Bati jipya kabisa, mbao mpya kabisa lakini linavuja kila sehemu na ukiliona tu unajuwa kuwa huyo alikuwa si fundi bali amenitapeli tu. Kama kuna anaemjua fundi...
Back
Top Bottom