Search results

  1. M

    Elections 2010 Ninaomba kura zenu ili niwe Rais wenu

    Nakutakia kila la kheri mungu akiwa upande wako nani atakuwa kinyume chako?
  2. M

    SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi

    Mkuu, +358 FINLAND AND THE NEXT 8 IS OULU CITY International Dialing Code & Telephone Area Codes for Finland ) +358 -FINLAND+ City Area Code e.g 8 is OULU + Local number e;g (976578) Finland Telephone Area Codes Aland Islands 18 Hamina 5 Helsinki 9 Hyvinkää 19 Häme 3 Imatra 5...
  3. M

    Elections 2010 Nilichokiona kwenye mikutano ya Dr. Slaa

    Ahsante sana ndugu Mubezi kwa uchambuzi wako, bila shaka huyo mama ulimlipa ndizi zile.
  4. M

    RIZ1 Kikwete anamiliki nyumba aliyonunua bilioni 1?

    Inasemekana Riz1 alinunua nyumba ya thamani ya Tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki, Swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? au ndo maana familia nzima inapambana kurudi Ikulu?. Mwenye huakika atujulishe.
  5. M

    Elections 2010 Kikwete: Gharama hizi za nini?

    :mad2: Enzi za Mrema Bwana Mkapa (kipindi cha kwanza) aliingia ikule kwa asilimia 61(61%) na kipindi cha pili aliingia kwa asilimia 72 (72%) kuonyesha kwamba alipanda chati. Ndugu huyu (JKkikwete) aliingia kwa asilimia 86 (86%) kipindi cha kwanza anaogopa kupata chini ya hapo ambayo ni ishara ya...
  6. M

    Elections 2010 Nani kama Jakaya Kikwete kwa maendeleo?

    KIONGOZI BWM vs.. JK MWAKA 2000 -2004 vs. 2005-2009 2000 -2004 vs. 2004 -2009 Ongezeko kwa %. Unga 460 vs. 1000 = 217% Mchele 600 vs. 1200 =...
  7. M

    Elections 2010 CHADEMA stop the campaigns NOW!!!!

    Je hii ya katiba ya nchi kuhusu kumtangaza rais na hakuna kuhojiwa na chombo chochote cha sheria tumejipangaje nayo? Utaratibu wa uchaguzi wa Rais Sheria Na.20 ya 1992 Na.20 ib.5 Sheria Na.34 ya 1994 Na.34 ib.10 41 (6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais...
  8. M

    Elections 2010 Kombora la Mbatia kwa Marando na Slaa ni kweli hawafai kuwa viongozi

    Inasikitisha kuona mtu kuwa nyuma ya mtu ambaye tumetangaziwa kuwa ana ulinzi wa majini. Majini yana mashariti nayo ni kupata damu, msishangae kuona umwagaji damu kwa njia zozote zile kwani itakuwa ni kafara kwa ajili ya ulinzi wa JK; Ila kwa maombi ya wacha Mungu hayatapata hiyo damu na mwisho...
Back
Top Bottom