Search results

  1. A

    Watanzania wanne wafanyabiashara wauawa Msumbiji na majambazi kwa risasi

    Inauma sana kwa kweli! Wanatutenda kama yatima hawa watu. Juzi India leo Msumbiji na hawa watu tuko nao humu Tz wanaishi k2a raha na heshima zote. nadhani serikali zetu zinapaswa kuandaa propaganda za kujenga mahusiano kwa individual people. Yaani maybe movies ama documentaries za kutuweka juu...
  2. A

    Mwanamke umeolewa angalia marafiki wa kuwa nao

    Mashosti muhimu tena uwe na rafiki wa kila aina: majambazi, mapolisi, machangu, walevi, wacha Mungu, wenye maendeleo, matajiri na maskini. Kila mmoja ana nafasi ya kukusaidia. Cha msingi uwe ma msimamo. Stand firm on what you believe. Na pia epuka washirikina kabisaa. Wengine wote halaal
  3. A

    Dr. Slaa atakuwa live Star TV, leo Oktoba 7, 2015 - saa tatu Usiku

    Aisee tuko wengi tumefikia maamuzi kitambo sana, sema labda wewe na wenzako ndio bado!
  4. A

    Esther Bulaya awekwa mahabusu kwa kumtukana mkuu wa kituo

    Aisee kweli kabisa yaani
  5. A

    Kama unampenda mume,mke/mpenzi fanya hivi

    Alikuwa nayo tangu juzi ndio kanirudishia jioni hii. Nimpe tena?
  6. A

    Vincent Nyerere na Wenje waishangaza Musoma mjini leo

    Sawa tumekusikia na tumekuona ila MBUNGE WA NYAMAGANA NI EZEKIAH WENJE 2015-2020, NK Keep that in mind , ok!
  7. A

    Uwanja wa Mashujaa Moshi umetapika, Dr. Magufuli kuhutubia

    Hamna. Tuko wengi kura zetu kwa lowasa .....ukiwemo na wewe!
  8. A

    Hii ni Neema kwa Wanafunzi wote vyuo vikuu! Msipuuzie!

    Ngoja tukusaidie kufikiri maana khali yako haikuruhusu kufikiri. Ni hivi: unapoambiwa elimu bure ni kwamba hiyo gharama sasa inabebwa na serikali. Ada yako italipwa na serikali na sio wewe ama mzazi wako. Kwa hiyo mambo yote yataendelea kama kawaida isipokuwa serikali itaipa elimu kipaumbele...
  9. A

    Nimeamua kubadili mfumo wa maisha yangu, nimeamua kuanza na vikwazo hivi viwili

    Pia ni muhimu kutambua kwamba hiyo azma ya kubadilika na kusutwa rohoni/nafsini ni Mungu anakuvuta maana Neno la Mungu Biblia inasema kuwa Mungu hataki mtu yeyote apotee bali wote waifikie toba ya kweli. Mradi umejitambua, ungama na tubu makosa yako ujipatanishe ma Muumba wako. Yeye atakupa...
  10. A

    Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

    Si bure lakini una ugonjwa wa akili wewe. Chaguo lako wewe na mafisadi wenzako ndio gufuli lakini sio wa Tz wote. Pia mungu wenu mungu moto/mwenge alieitwa molech tangu enzi za kale bado mnamthamini eh.
  11. A

    Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

    Una laana weee. Norway, libya ya ghadafi,etc ni baadhi tu ya nchi zinazotoa elimu bure based on oil exports only. Tanzania ina kila kitu, isipokuwa uongozu makini tu ndio umekosekana. Lowasa na UKAWA wanaonyesha kuwa the impossible is possible so myie mlioshindwa pisheni wapite. Kelbu
  12. A

    Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

    Shikamoo mkuu! Hahahhahahaha yaani umenifurahisha sana sana.
  13. A

    Ndoa sasa zimekosa thamani kwa hali hii

    Ndoa hazifanani. Cha muhimu jenga yako katika kuheshimiana, uaminifu na mapenzi ya dhati. Tangu nimeolewa yapata miaka sita sasa sijawahi kuchepuka na mume wangu huwa ni mtu wa safari kwa sana. Nampenda na namuamini na naamini nilivyo hivi na yeye yuko hivyo hivyo yaani mwaminifu. Pia...
  14. A

    Ahadi ya viwanda vya mgombea wa CCM

    Yaani hata mimi huwa najiuliza swali kama hili mara kwa mara na siku hizi nimeona niangalie zaidi kuhusu kumuomba Mola msamaha atuhurumie tu kwa wingi wa Rehema Zake maana tuko kama nyoka mwenye kichaa anaejing'ata mkia ilihali ana sumu kali sana. Kama Mwenyezi Mungu akitupa pumzi, basi Oktoba...
  15. A

    Ahadi ya viwanda vya mgombea wa CCM

    dah nasikitika kukubaliana na unaesema kwamba watamfukuza kwa kisingizio cha kise.....ngerema! Mungu atunusuru na janga hili la ufisiemu
  16. A

    Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    heheheh umaarufu ameupata kipindi sahihi kabisa maana 25 october ni keshokutwa tu
  17. A

    Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    Hahahhaah From Great Thinker to Great Stinker!!!!! Stinky mouth:A S wink:
  18. A

    Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    Nimejitahidi sana kujizuia lakini wewe una ukelbu mkubwa sana!!! Una akili za ajabu sana wewe. Aliekuambia kwamba Lowasa anatuambia hakutakuwa na haja ya kufanya kazi tutaishije? Unadhani wana UKAWA na mandondocha kama mafisiemu yanayoiba vya wavujajasho? Tutafanya kazi ila mazingira ya kazi...
Back
Top Bottom