Search results

  1. G

    Kujenga choo ndani ya nyumba Ni usafi au uchafu?

    Ni uoga wa kutoka nje usiku
  2. G

    Biashara ya kuchonga mabodi ya mabasi ilivyokufa Tanzania

    Haya Mabasi yalikuwa na matatizo mengi, si kwamba yalipigwa marufuku , ila yenyewe yamejiua. Haya mabasi hata kama limebeba abiria watano kwenye mizani linaonyesha kilo zimezidi, hivyo kupelekea matajiri wengi kukwepa kuyanunua. na hata benki hawawezi kukopesha gari ambalo halifanyi biashara kwa...
  3. G

    Yule Jamaa aliyekataa Mshahara wa Tsh 400M kampuni yake yashinda tuzo ya Tsh 340M

    TRA wapo tu, hata wewe kama unafanya kazi au Biashara unakumbana nao tu. Kulipa kodi ndio uzalendo wenyewe.
  4. G

    Yule Jamaa aliyekataa Mshahara wa Tsh 400M kampuni yake yashinda tuzo ya Tsh 340M

    Watanzania wengi huwa hatuelewi nini maana ya mshahara. Tunadhani mshahara ni wa kula na kutanua. Mshahara inatakiwa pamoja na kula ,pia ituwezeshe kuwekeza katika katika vitega uchumi, na ndivyo wazungu wengi huwa wanafanya. wakipata vijisenti wananunua hisa kwenye makampuni. Sasa kama mtu...
  5. G

    Dangote atajwa kuwa chanzo cha kutumbuliwa kwa Kairuki TIC

    Issue hii imetoka mbali sana!!
  6. G

    PICHA: Ajali, Mtembea kwa miguu agongwa na gari la UDART Magomeni

    Mimi mwenyewe jana nimeshuhudia kwa macho yangu mama mmoja kagongwa na hayo mabasi. ni kosa la huyu mama kavuka bila kuangalia na kwa vile kulikuwa na foleni kwenye barabara za kawaida huenda huyu dereva wa basi hakumuona. Kwa kweli Elimu ya kutumia hizi barabara inahitajika sana. mtu anaacha...
  7. G

    Magu anasema Tanzania ni nchi tajiri yenye kila kitu huku anataka wananchi wake tuishi kimasikini

    Hivi kweli kwanini Tanzania ni masikini? Kwasababu matajiri hawatakiwi? Swali hili Kikwete hakulijibu pia..
  8. G

    Kampeni za CCM kwenye vyombo vya usafiri wadoda, kwa ninayoshuhudia Lowassa ni Rais

    Mkuu uko sahihi kabisa, kuna baadhi ya sehemu vijijini hawana habari na mabadiliko, redioni huko wanamsikia Magufuli tu. Kuna mtu niliongea naye nikamwambia huku ni mabadiliko tu, yeye akasema huku sisi ni dole gumba tu. tumejaribu sana kumtafuta Lowassa kwenye redio hatumsikii kabisa. @Ocampo...
  9. G

    Ukiona Picha hii, Utajua CCM wako Usingizini waondoke

    Kinana analalamika , Kikwete analalamika Magufuli analalamika wao wametoa mchango gani? Tumewapa jukumu la kukusanya michngo yetu (Kodi) Wamefanyanini na kodi yetu? Ndicho tunacholalamikia.
  10. G

    Ukiona Picha hii, Utajua CCM wako Usingizini waondoke

    Kinana analalamika , Kikwete analalamika Magufuli analalamika wao wametoa mchngo gani? Tumewapa jukumu la kukusanya michngo yetu (Kodi) Wamefanyanini na kodi yetu? Ndicho tunacholalamikia.
  11. G

    Ukiona Picha hii, Utajua CCM wako Usingizini waondoke

    Kinana analalamika , Kikwete analalamika Magufuli analalamika wao wametoa mchngo gani? Tumewapa jukumu la kukusanya michngo yetu (Kodi) Wamefanyanini na kodi yetu? Ndicho tunacholalamika.
  12. G

    Asante CCM kudhihirisha kuwa bila kuwasomba hawaji

    Naangalia kwa jicho la tatu, this time sifikirii tena, CCM wana advantage ya kupeleka ujumbe kwa urahisi vijijini kuliko ukawa, kwa kuwaleta watu kwenye mikutano yao. wale walioletwa wanakuwa wajumbe wazuri kule vijijini.
  13. G

    Asante CCM kudhihirisha kuwa bila kuwasomba hawaji

    Ila kuna kitu mimi nadhani CCM kinawapa point kutokana na kuwasomba watu kwenye maroli. Hebu fikiria kama wamesomba watu kutoka katika vijiji kumi vinavyozunguka eneo husika na kila kijiji kikatoa watu 50, kwenye roli moja , wale 50 wakirudi kijijini wakasimulia wenzao waliobaki kule kijijini...
  14. G

    Jaji Lubuva kuandika historia mpya ya Tanzania

    Ndiyo tunachokitaka democrasia ionekane, kama nashindwa nashindwa kweli huku nikijiona na ninaridhika. Ni kama vile mpira kiwanjani wote tunashuhudia dk 90 kama goli la mkono tulione live kuliko replay slow motion, ili wasiseme limeeditiwa.
  15. G

    Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

    Anauhakika watashinda hata urais, ila hana uhakika kama atateuliwa kuwa waziri.
  16. G

    Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

    Tatizo watu walishalemazwa na mfumo wa CCM. Wanadhani muhimili wa bunge ni kutetea chama chao. Bunge ni Bunge na Serikali ni serikali, Bunge linatakiwa kuisimamia serikali. Labda kama wakiteuliwa kuwa mawaziri.
  17. G

    Mrema V/s Mbatia

    Huwezi jua, huyo jamaa huwa anenda mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba. labda hapo ni moja ya mtaa. siyo kata.
  18. G

    Lowassa: Nitashusha bei ya mafuta

    Nilikuwa nasubiria kusikia habari hii. Kwa hakika kama atashusha bei itakuwa ni jambo zuri sana. Pia hawa EWURA wasiwekewe asilimia kwenye bei ya mafuta. kwa kuwa wanafaidika kutokana na asilimia, kama bei ya mafuta itakuwa chini ina maana pia pesa yao itakuwa kidogo. hapo mheshimiwa apamulike...
  19. G

    UKAWA ya Lowassa si kama UKAWA asili, tumchague Magufuli

    Kumbuka hapa tunapigia kura mambo mawili; 1. kuwaondoa ccm madarakani wametuharibia nchi yetu 2. Kuipigania katiba mpya ambayo inakidhi matarajio yetu, tukichagua ukawa tunahakika na katiba ijayo. Mambo ya Lowassa sijui magufuli sisi hatuyajui hayo. Kura ukawa full stop.
  20. G

    Kutongoza Kabla ya Simu, Facebook na Twitter

    Kuna watu wengine walikuwa wambeya akiona tu demu kapewa barua anaenda kusemea kwa mwalimu, mwalimu anamkagua demu mpaka anatoa ile barua, sikilizia kichapo. Shule nzima inaitwa mnachapwa hadharani afu mkitoka hapo aibu yake mpaka wiki ndo mtu unasahau!
Back
Top Bottom