Search results

  1. LAPUA MAGNUM 338

    Nature vs science

    Ndege hai aina ya Kipanga "Peregrine Falcon" anasifika kwa kasi yake, hufika zaidi ya kilomita 320 kwa saa (200mph) wakati wa kupiga mbizi angani (Aerodynamic Dive). Kinadharia kwa kasi hii, hewa inatosha kupasua mapafu yake lakini ndege huyu huweza kufunga au kufungua kinundu kwenye pua yake...
  2. LAPUA MAGNUM 338

    Mbinu alizokuwa anatumia TB Joshua kugushi miujiza ndizo zinazotumiwa na Manabii nchini kwetu

    Mimi wote ninaowafahamu walioenda kwa Mwamposa hakuna hata mmja aliepona na hawataki hata kwenda tena lakini kila siku anaonekana anafanya miujiza.
  3. LAPUA MAGNUM 338

    Maziwa ya mpenzi wangu yamelala sana nifanyaje, bado nampenda

    Ngoja wife amalize kuosha nywele akupe ushauri
  4. LAPUA MAGNUM 338

    Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

    Lakini mimi Njiro huwa napaogopa naona kama kun baridi sana kama Njombe
  5. LAPUA MAGNUM 338

    Mkeo akikubambikia mtoto ambae si wako utachukua uamuzi gani?

    Mama yako ndo ndugu yako, dingi ni msela wako tu
  6. LAPUA MAGNUM 338

    Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

    Kabisaa Hata kama mkeka na awe peke ake sio rahisi
Back
Top Bottom