Search results

  1. M

    Natafuta dentist mzuri

    Jamani mwenzenu nina meno kama sita hivi yametoboka na tayari nishang'oa manne kwa sababu tofauti tofauti.Mawili yalikuwa yameota vibaya na mawili yalikuwa yametoboka haswaa hata kuziba hayafai. So naombeni msaada wa dentist mzuri wa kuyakarabati na si kung'oa maana nitakuwa kibogoyo.
  2. M

    Msaada wa Act, Amendment and/ case law kuhusu a qualified Doctor kujaza Pf3

    Nahitaji msaada wa Act, amendment, au Case law ambayo inatoa qualifications za Daktari ambaye anaruhusiwa kujaza pf3 and/or postmoterm. Maana huku nilipo Clinical officers wengi ndiyo wanaojaza pf3 na kisheria hawaruhusiwi. Kwa sasa Daktari mwenye Cheo kuanzia AMO na kuendelea ndiyo wanaruhusiwa...
  3. M

    Ningependa kujua kisheria ni daktari mwenye sifa zipi anaruhusiwa kufanya postmoterm

    ninavyosikia Daktari mwenye cheo kuanzia cha AMO, MD nakuendelea ndo wanaoruhusiwa kufanya postmoterm. sasa ningependa kujua ni sheria ipi au kanuni zipi zina wapa power ya kufanya postmoterm. Ningependa kujua Sheria au kanuni haswa, kwasababu hapa nilipo nafanya reserch. So majibu yenu...
  4. M

    Kisheria ni daktari mwenye sifa zipi anaruhusiwa kufanya postmoterm

    kuna sheria inaitwa Inquest Act ambayo inasema Medical Practitioner atafanya "postmoterm". Now the question is who is medical practitioner. according to Medical Practitioners And Dentist Act R.E 2002, Medical practioner in summary ni mtu anaye practice medicine or surgery. In practice, baada ya...
  5. M

    Maduka gani wanauza Nigerian foods Dar

    Habari wanajamii forum, naomba msaada wa kujua ni wapi naweza kununua vyakula vya kinigeria. Nina rafiki yangu nilisoma nae huko nchi za watu,amekuja kikazi TZ sasa angependa kujua kwa Dar hivyo vyakula vinauzwa wapi ili awe anajipikia mwenyewe. Ninaomba msaada kama kuna watu wanajua vinapouzwa.
  6. M

    Mwajiri wangu hataki kunilipa mishahara nifanyaje?

    Mimi ni mwajiriwa wa College flani hapa mjini Dar es salaam. Nimeajiriwa mwezi wa tisa mwaka jana kama mwalimu wa Diploma na Certificate. Mkataba wangu ni wa mwaka mmoja na niko kwenye probation ya mwaka mmoja. Hapa nilipo nimelipwa mshara nusu wa mwezi wa kumi na moja, mwezi wa kumi na mbili...
Back
Top Bottom