Search results

  1. SIR_KIMANYO

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Hofu yangu ni kwamba asije akajikuta anatumia zaidi ya anachoingiza.
  2. SIR_KIMANYO

    Taarifa ya Jeshi la Polisi kukanusha taarifa ya gazeti la Jamhuri

    Vichaa siku hizi wanapelekwa Muhimbili? MILEMBE imepotelea wapi?
  3. SIR_KIMANYO

    Lema aumbuka! Namba ya simu aliyodai ya Mulongo ilikuwa ni Uzushi

    polisi umebaini kua chanzo cha ujumbe huo mfupi haikua kampuni ya simu husika kwa vile Central no. iliyo tumika kutuma ujumbe huo mfupi wa maneno ni 44780200332 sasa ni kampuni na sio Magesa MULONGO?? HATUDANGANYIKI.
  4. SIR_KIMANYO

    Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Mtandao kumbe upo tanzania tu. Au ni kujikosha tu kwa aibu. jipange upya.:yell:
  5. SIR_KIMANYO

    Tunda la wanawake

    Listen to Tunda la Wanawake Komamanga on Hulkshare - Free Music Streaming & Download
  6. SIR_KIMANYO

    Ni kweli kuna umri ukifika wadada wanakua na inside pressure ya kutaka kuolewa

    Labda ndio ushahidi kudhibitisha kwamba Wana 'Exp Date...'
  7. SIR_KIMANYO

    Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

    Sisiwmu nao waanzishe TV sasa
  8. SIR_KIMANYO

    Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

    Kama kutakuwa na Redio za Vyama, Redio za Dini, redio za watu binafsi Redio za Jamii, Redio za Serikali Redio za Kimataifa basi kuna siku hata Makabila yatasajili Redio zao.
  9. SIR_KIMANYO

    Laki nne anasema ni ndogo kwake na haimtoshi,hataki kazi hii,hii imekaaje ndugu??

    Jamaa asije akasahau kwamba 'hata milioni ilianza na moja'
  10. SIR_KIMANYO

    ni vyakula vipi vinampa mwanaume pumzi ktk uwanja wa 6 kw 6?

    Pata muda wa kupumzika pitia hapa whttp://2girlsteachsex.com/ utapata maujanja
  11. SIR_KIMANYO

    Swali la Shyrose kwa Sophia Simba lazua kasheshe katika Mkutano Mkuu UWT

    kanunuliwa huyo! watasema:thinking:
  12. SIR_KIMANYO

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Eti USANII nape arudi chekechea akajifunze kwanza kwanza Kiswahili Mfa maji haachi kutapatapa.
  13. SIR_KIMANYO

    Mpenzi wangu ananitisha nisaidieni..

    Mapenzi ni tofauti na tamaa za mwili, Acha kuangalia mapenzi kwa mambo yanayoonekana kwa macho. Mapenzi hayalinganishwi na kitu au pesa. Mpe mpenzi wako anachotaka. Anakupenda nawewe mpende mpendane.
  14. SIR_KIMANYO

    Vincent Nyerere amstaafisha rasmi Ben Mkapa siasa

    Ukubwa wa mwili ungekuwa ni wingi wa akili mbona wengi wangejinenepesha ili wafaulu mitihani!
  15. SIR_KIMANYO

    Miaka hamsini ya uhuru na ufagio wa chelewa!

    miaka hamsini ya uhuru tutafika lini hapa?
  16. SIR_KIMANYO

    Rais Kikwete sio kigeugeu!

    UNITEDREPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATEOF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S OFFICE...
  17. SIR_KIMANYO

    Radio France Internationale Kiswahili kutimiza mwaka mmoja

    Idhaa ya kiswahili ya RFI KIswahili inatarajia kuadhimisha mwaka mmpja tokea kuanzishwa kwake , ikiwa imekita mizizi yake jijini Dar es salaam Nchini Tanzania mnamo 5July. Ili kusikiliza matangazo Tembelea karibu | RFI Sir_Kimanyo
Back
Top Bottom