Search results

  1. PillowTalk

    Nauza samaki kutoka Ziwa Victoria

    Mimi nahitaji nipe mawasiliano
  2. PillowTalk

    I'm looking for a Personal Assistant/Intern

    Its precisely that mentality that make us perform so poorly in the labour market especially when we compete against our east african neighbours!We want everything to be "vodafasta",we dont want to build,we want things ready made for us to just reap the dividends!Well,The real world is so much...
  3. PillowTalk

    I'm looking for a Personal Assistant/Intern

    I'm looking for a smart, versatile and committed Personal Assistant. Must be female aged 20 to 30 years with a background in the private sector especially Project Management, Planning or Development related interventions. Knowledge of law and or how government machinery works in processes such...
  4. PillowTalk

    GARMIN etrex VENTURE GPS INAUZWA BEI CHEE!

    The eTrex Venture offers a worldwide database of cities and increased internal memory. The one megabyte memory capacity allows the eTrex Venture to accept downloaded information from Garmin's new MapSource Points of Interests CD-ROM . The eTrex Venture uses a rocker switch, like a computer's...
  5. PillowTalk

    Camera aina ya Canon inauzwa

    Ninauza Camera mpya aina ya CANON yenye uwezo wa kuchukua picha kama video pia. Aina:CANON PowerShot Model: ELPH 330HS 10X OPTICAL ZOOM FULL HD WiFi Bei: 200,000 Kwa mawasiliano: 0654 817575
  6. PillowTalk

    Nauza line za tigopesa na mpesa fasta

    Ninauza line za uwakala wa mitandao hiyu hapo juu kwa dharura.Bei iko fair sawa wanajamvi.Kama kuna mtu anahitaji Nitafute kwa namba 0654 817575 First come first served.
  7. PillowTalk

    Natafuta laini ya M-Pesa, Airtel Money na Tigopesa

    Nitafute kwa 0654 817575 tuongee
  8. PillowTalk

    Airtel kuna nini rekebisheni network mnatesa watumiaji wenu

    Kwa wenzetu wenye akili timamu saa hizi robo ya wateja wangesha hamia mtandao mwingine for good.Mimi binafsi nime activate line yangu ya vodacom iliyokuwa quarantined. Huwezi ukawa na tatizo la kiufundi kwa masaa 24 bila kutoa taarifa za kueleweka kwa wateja wako na kuweka mkakati wa kuwa...
  9. PillowTalk

    ITV na mahojiano kati ya Dr.Slaa, Mzee Philip Mangula na Mtangazaji!

    Bahati mbaya sana sikuangalia. Ila ukweli ni kwamba waendeshaji/watangazaji wa vipindi hivi vya television hapa kwetu wengi wanapwaya sana.Kwa mara nyingine niliangalia kipindi cha dakika 45 jumatatu iliyopita ambapo mgeni aliachiwa huria kujieleza kama vile yuko peke yake anahubiri.Kwa ufupi ni...
  10. PillowTalk

    Ninauza line ya uwakala wa M-PESA fasta.

    Nashukuru kwa wajasiriamali wote walio wasiliana nami.Hii ni kuwataarifu kwamba nimekwisha uza huo uwakala.Asanteni sana.
  11. PillowTalk

    Ninauza line ya uwakala wa M-PESA fasta.

    Habari wanajamvi, Kwa wale wajasiriamali ninauza line ya uwakala wa M-PESA haraka kwa bei rahisi kabisa ya Tshs 140,000/= tu. Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa simu namba 0689 868640 Karibuni.
  12. PillowTalk

    Star times D 2

    Ushapata? Kama bado ni PM
  13. PillowTalk

    Help Needed - Soil Analysis

    Mkuu, Maabara ya Taifa ya uchunguzi wa udongo iko ARI Mlingano pale Tanga.Ni PM nikupe ushauri zaidi na/au contact za watu ambao ni wahusika wa hapo.
  14. PillowTalk

    Gari Ssangyong Korando Jeep KJ6 ya 1990 inauzwa haraka

    Wadau, Gari Ssangyong Korando Jeep KJ6 ya 1990,Diesel,Manual transmission 5 gear,LHD,Lina hali nzuri na linatembea linauzwa.Lina power windows,4WD,2.3lt engine,metal grey colour. very peworful machine.Excellent fuel consumption.Bei 4.5ml negotiable.Kwa mawasiliano ni PM. Ideal kwa kazi za...
  15. PillowTalk

    Ushauri kuhusu mkopo wa gari

    Impressive! Inafurahisha mtu anayeelewa jambo anapochangia.Being a professional in my own field niko impressed mzee. Thanks.
  16. PillowTalk

    Gari linauzwa bei nzuri sana

    Gari Ssangyong Korando Jeep KJ6 ya 1990,Diesel,Manual transmission 5 gear,LHD,Lina hali nzuri na linatembea linauzwa.Lina power windows,4WD,2.3lt engine,metal grey colour. Bei 4ml negotiable.Kwa mawasiliano piga simu namba: 0654 817575
  17. PillowTalk

    Wadada naombeni jibu!!!!

    Sijawahi tembelea hili jukwaa, lina sifa kama jukwaa ka kikubwa
  18. PillowTalk

    Jumuiya ya Kikristo yamtaka Kikwete ataje viongozi wa dini wanaojihusisha na madawa ya kulevya

    Swala hapa si ubinadamu wa wachungaji wala mashehe!Swala ni kupwaya kwa nafasi ya urais kama taasisi.Hivi yeye akilalamika bila kuchukua hatua wananchi wa kawaida tufanyeje?Mbona kwa babu seya na wanawe hakuwaomba wajirekebishe wenyewe?
  19. PillowTalk

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    Dumped..eeehh sorry...buried at sea!! Excellent strategy hii maana inazuia watu kujenga shrine ya kumwabudia!
  20. PillowTalk

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    Ndugu yangu salaama, Mara nyingi ukweli hujidhihirisha wenyewe.Na kwa hili la madawa ya kulevya tusimtetee Rais wetu. Ukweli ni kwamba Rais wetu anakera anaposhindwa kuchukua hatua za kizalendo na kijasiri na badala yake anajaribu kuwatupia watu wengine lawama. Na hili limewakera maaskofu kwa...
Back
Top Bottom