Search results

  1. MastaKiraka

    Kuiga biashara ya mwenzio ruksa ila kuwa na adabu usipitilize hasa kina dada

    Ukitaka kuleta monopoly kwenye ulimwengu wa biashara nyakati hizi usiweke tamaa mbele, watu wana taarifa nyingi kuhusu bidhaa wanazohitaji hususani suala la bei. Tazama huyo rafiki yako anakuzidi wapi kisha rekebisha. Wateja wa sikuhizi hatubembelezi muuzaji ilimradi tukijua bidhaa fulani duka...
  2. MastaKiraka

    Madeni Yanakutia Stress? Fanya Hivi...

    Atleast leo nimekutana na thread ya maana.
  3. MastaKiraka

    Serikali imdhibiti Maulid Kitenge na kundi lake la wahuni wanaojiita Wasafi Jogging Group

    https://www.jamiiforums.com/threads/mwanza-watu-6-wafariki-kwa-kugongwa-na-gari-wakifanya-mazoezi.2120890/
  4. MastaKiraka

    Laki Moja yako itakupa milioni 3 kwa miezi 3 tu

    Biashara za Kusimuliwa huwa zina faida sana
  5. MastaKiraka

    Rais wa Senegal (elect) kaingia na wake zake wawili kwenye sherehe ya kupongezwa ushindi

    Siku ya kuapishwa mama nilitegemea atamualika na mwenzie lakini ndio hivyo tena, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
  6. MastaKiraka

    Kadri unavyochelewa kuoa hili jambo linazidi kutokea kwako

    Ndio unapotakiwa uwekeze nguvu zako huko
  7. MastaKiraka

    Kadri unavyochelewa kuoa hili jambo linazidi kutokea kwako

    Unakumbuka Mzee wetu Mzee mengi alimuoa binti K-Lyn akiwa mbichi mbichi kabisa?!
  8. MastaKiraka

    Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

    Kwahiyo unataka kusema akitoka madarakani anafuta deni lake??!!
  9. MastaKiraka

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Makonda amerudia aliyowahi kuyasema Ndugu pole pole, hii bado ni awamu ya tano, ni wahuni wachache tu ndio wanajifanya hawatambui hilo na kuiita awamu ya sita.
  10. MastaKiraka

    Kazi ya mke ni ipi nyumbani?

    Kukuuliza ukifa utamuachia/utawaachia nini?
  11. MastaKiraka

    Landmark za Hayati Magufuli zinazowatesa wale jamaa ambao hawakuacha chochote

    Huyo Ndio Chuma JPM, Chawa wana weweseka hawajui wamsifie au wamponde, kote kote ana watwanga konzi za utosi. Ndio mara ya kwanza kushuhudia binadamu aliyefariki akichanganya walio hai miaka mitatu mfululizo. Hakuna wa kumjibia kila baya asemwalo lakini cha ajabu watu wana jijibu wenyewe...
  12. MastaKiraka

    Looking for a Husband

    Ngoma imefika pale kwenye 'Ilimradi awe anapumua tu' hakuna cha Tall, dark and handsome tena. Life's a bich
  13. MastaKiraka

    Jela miaka 20 kisa vipande 14 vya pofu

    Kwenye issue kama hizi huwezi sikia feminist kama kina jokate na carol ndosi wakipaza sauti, ila angekuwa ni mwanamke sasa binie kidoti tayari angekua ameshafika na v8 lake kwenda kupiga piga picha na mtuhumiwa. Ukizaliwa mwanaume PAMBANA hakuna wa kukuonea huruma
  14. MastaKiraka

    Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Tafuta kazi ya kufanya mkuu na kuwa busy na majukumu ya msingi, mimi pia ni mdau ila kuna mipaka na ratiba. Njia niliyotumia kupunguza kununua ni: Kuepuka kwenda viwanja vya mbali na nyumbani, mara nyingi siku hizi kama nisipopiga bia nyumbani basi option ya karibu niliyonayo ni kijiweni kwa...
  15. MastaKiraka

    Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Hao jamaa ukiwapatia uhakika wa ubwabwa tu wanaweza kubwabwaja lolote.
  16. MastaKiraka

    Dkt. Ndugulile: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, siungi Mkono kupita bila kupingwa

    Huyo jamaa anafahamu kuwa kiongozi mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni alipita bila kupingwa??!!
Back
Top Bottom